albert chalamila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-salaam, Albert Chalamila kwa kutoa amri mabasi yote ya safari za mkoani yakapaki kwenye Stendi ya Magufuli

    Habarini wana JamiiForums. Nimeleta uzi huuu kumpongeza Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-salaam, Mh Albert Chalamila kwa kutoa amri kuhusu Mabasi yote yanayofanya safari za mikoani kutoka kwenye stendi bubu za Shekilango,Urafiki,Riverside,Manzese,Magomeni,Fire n.k kuhakikisha yanapakia na kushusha abiria...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa mabasi wapewa wiki moja kurejea stendi ya Magufuli

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewapa wamiliki na waendeshaji wa Kampuni za Mabasi makubwa ya Mikoani wiki moja kuhakikisha wanaanza kurejesha huduma zao katika Stendi ya Magufuli, isipokuwa kampuni 6 ambazo tayari zina vibali vya kushushia kati kati ya mji, ikiwa ni hatua ya...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Kama unamiliki Silaha isivyo halali isalimishe haraka

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka wamiliki wa silaha kuhakikisha wanakamilisha vibali na taratibu zote za kisheria za umiliki wa silaha zao kabla ya Agosti 30, 2026, akitangaza kuanza kwa operesheni maalum ya ukaguzi wa silaha baada ya muda huo. Akizungumza na Waandishi...
  4. R

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila aagiza mmiliki na Mjenzi wa Ghorofa Masaki kukamatwa kwa kujenga ghorofa 13 badala ya 6

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ameagiza kukamatwa kwa mmiliki na mjenzi wa jengo moja lililopo Masaki, baada ya kubainika kuwa walijenga ghorofa 13 badala ya ghorofa sita zilizoidhinishwa kwenye kibali cha ujenzi. Akizungumza leo Agosti 6, 2026, wakati wa ziara ya ukaguzi wa...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Haiwezekani Watu wakakesha kwenye Ibada au Baa kila siku, uzalishaji utafanyika Saa ngapi?

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila, amewakata wamiliki na wafanyabiashara wa Baa kufanyabiashara zao kwa mujibu wa sheria na taratibu za Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Akizungumza kwenye kikao na baadhi ya wamiliki na wafanyabiashara wakubwa wa Baa...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Kuna vijana wanataka kuchoma bandari kavu, kisa foleni

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amefanya kikao na viongozi wa mkoa huo pamoja na Mkoa wa Pwani kwa lengo la kutafuta suluhu ya kudumu ya foleni katika jiji hilo. Akizungumza ameeleza kuwa foleni imekuwa mwiba na miongoni mwa visababishi imekuwa ni bandari kavu ambazo zipo katika...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Wanatamani kuleta chokochoko, nguvu tutakayotumia awamu hii kulinda amani, haijawahi kutokea

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akizungumza na Wenyeviti na Watendaji wa Mitaa na Kata leo Juni 15, 2026 amesema; "Kwasababu mmeona pia hata kwenye mitandao, baadhi ya watu wanatamani kuleta chokochoko kwenye mikoa yetu. "Na kwa bahati mbaya sana, nguvu ambayo huwa inatumika...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Mkishakuwa na majawabu kabla ni kikwazo kuharakisha uchunguzi, nimeona kwenye comment 'aliyefanya hivyo ni Mafwele'

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila akizungumza alipotembelea Makao Makuu ya TFF, Ilala, Karume, leo Mei 25, 2026, amezungumzia Matukio ya Utekaji na Mauaji akigusia Mauaji ya Mchina aliyedaiwa kuuawa na Walinzi wake pamoja na tukio la kutekwa kwa Msaidizi wa Tundu Lissu, David...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tamko la Jukwaa la Wahariri lalaani kuvunjwa kwa ofisi za gazeti la Pambazuko

    Pia soma: Ofisi za gazeti la Pambazuko zavunjwa, waibiwa Kompyuta, Kamera, Nyaraka
  10. PAYE

    JamiiForums Tanzania Chalamila: LATRA isikilize maoni ya wamiliki wa magari

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema wameielekeza Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (LATRA) kusikiliza maoni ya wamiliki wa magari baada ya kupanda kwa gharama za mafuta. Chanzo: Swahili Times
  11. B

    JamiiForums Tanzania Watoto wa marehemu Mzee Gordon Odhiambo Odiero wamlilia RC Albert Chalamila wa DSM

    Apr 10, 2026 Mikocheni, Dar es Salaam, Tanzania WATOTO WA MAREHEMU MZEE GORDON ODHIAMBO ODIERO WAVAMIWA na MABAUNSA - WATIMULIWA NYUMBANI - WAMLILIA RC ALBERT CHALAMILA WA DSM - "BABA WAMEMUUA kwa PRESHA" https://m.youtube.com/watch?v=Ee__oTJQz5w Marehemu mzee Gordon Odhiambo Odiero...
  12. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Rais Samia ni kama nabii

    "Nabii" ni neno la Kiswahili lenye maana ya mjumbe au msemaji kwa niaba ya Mungu Chalamila anamuweka samia kundi moja na watu kama Yohana Mbatizaji na wakina Musa. Hapa ndio wanaosema hakuna Mungu wanapokua na point, Kama kweli Mungu yupo, kwa damu aliomwaga anaruhusu vipi hizi dharau...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Sitamchekea mkandarasi yeyote, naweza kutumia makofi, Sisi sio wajinga

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salam, Albert Chalamila amefanya ziara ya kushtukiza katika barabara ya mwendokasi Moroco hadi Mwenge anoesha kutoridhiswa na kasi mkandarasi na kumtaka kuharakisha mradi huo na kukamilika kwa kiwango ili kupunguza changamoto kwa wakazi wa mkoa huo. Chalamila ameyasema...
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Hatua za kisheria zinaendelea kuchukuliwa kubaini chanzo na uhalali wa fedha za 'Mchina'

    RC Chalamila amefafanua kwa kina sakata la kukamatwa kwa fedha taslimu shilingi bilioni 6 zinazodaiwa kumilikiwa na raia wa China, akisisitiza kuwa hatua za kisheria zinaendelea kuchukuliwa ili kubaini chanzo na uhalali wa fedha hizo. Pia Soma: Polisi wachunguza video ya 'Mchina' aliyekutwa na...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 RC Chalamila: Hatukusema Wananchi wakae ndani

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amezungumza na Global TV na kuelezea hali ya ulinzi na usalama ilivyo jijini Dar es Salaam, amesema "Hatukusema Wananchi wakae ndani"
  16. B

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam Regional Commissioner Albert Chalamila asked about the whereabouts of the abducted ambassador Humphrey Polepole

    Dar es Salaam Regional Commissioner Albert Chalamila asked about the whereabouts of the abducted ambassador Humphrey Polepole The most contentious questions asked by the press to governor of Dar es Salaam county Mr Abert John Chalamila revolved around the intelligence failures leading up to...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 RC Chalamila: Vyombo vya ulinzi na usalama vimefanya kazi kubwa, bila hivyo Dar ingekuwa giza

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema miundombinu ya Mkoa huo imeendelea kudumu na kuimarika kutokana na ufanisi wa vyombo vya ulinzi na usalama, ambavyo vimefanya kazi kubwa katika kudhibiti athari za maandamano ya Oktoba 29, 2025. Akizungumza leo Novemba 24, 2025 katika...
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mkuu wa Mkoa wa DAR Albert Chalamila amefanya ziara kutathmini uharibifu wa mwendokasi Mbagala,aagiza mabasi yaanze kazi Novemba 20

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert John Chalamila, amefanya ukaguzi maalum katika eneo la Mbagala ili kujionea uharibifu uliotokea kufuatia tukio la maandamano lililotokea tarehe 29 Oktoba. Ukaguzi huo umefanywa kwa lengo la kutathmini athari zilizopata miundombinu ya mradi wa mabasi ya...
  19. Inside10

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Mohamed Yusufali anatumia familia ya Rais kuchafua viongozi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema mfanyabiashara Mohamed Yusufali amekuwa akitumia majina ya familia ya Rais wa Tanzania kinyume na taratibu na kuchafua viongozi. Pia soma Mjane Alice Haule arudishiwa Nyumba Mikocheni na TSh. 10 Milioni baada ya kudaiwa kuwa ni mali ya...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mjane Alice Haule arudishiwa Nyumba Mikocheni na TSh. 10 Milioni baada ya kudaiwa kuwa ni mali ya Mohammed

    Baada ya uchunguzi wa kamati iliyoundwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam katika sakata la nyumba, Alice Haule aliyedaiwa kuvamiwa na watu waliotaka aondoke kwenye nyumba hiyo kuwa iliuzwa na marehemu mumewe, ripoti ya kamati hiyo leo imebanisha kuwa nyumba hiyo ilikuwa mali halisi ya ndoa na ule...
Back
Top Bottom