Chochote unachofanya katika maisha haya, usisahau jambo moja: umaskini hauondoki kwa moto.
Unaweza kutumia siku saba usiku kucha ukipiga kelele ukitazama dari, ukitokwa na jasho chini ya madhabahu, ukifunga na kujaribu “kumfunga” shetani wa kufikirika lakini mwenye nyumba bado atafika tarehe...
Naona Kuna njama zinafanywa na jamhuri kutaka Lissu apewe adhabu nyingine ili kumdogosha Lissu. Kwa ushahidi wa Jamhuri na utetezi wa Lissu ni ukweli kwamba Mh Lissu hana hatia ya Uhaini. Hivyo wanajaribu kitafuta vikosa vidogo vidogo na adhabu za kumdhalilisha Lissu.
Kwa mfano, wanataka wampe...
Vibanda vya games vya mtaani, hasa fremu za PS, ni sehemu zinazopendwa sana na wezi
Wateja hao baadhi wakiwa wezi hupenda kupumzika vibanda vya ps lakini pia kufuatilia mazingira ya kutafuta mianya ya kuiba.
Ndio maana fremu za PS zimkuwa na matukio mengi ya kuvunjwa na wezi, na wakati...
Ewe Mzazi
Somesha mtoto kwa gharama
Nursery lipa ada (mwaka 1)
Primary lipa ada (miaka 6)
Secondary lipa ada (miaka 4)
A-level lipa ada ( miaka 2)
Chuo lipa Ada (miaka 3)
Wastani wa ada na gharama zingine kwa mwaka ni 1.5m hadi 2.5m
Jumla ya miaka ni 16
Ukizidisha range ya ada ni 24m hadi 40m...
Je,
watajiunga ADA-TADEA, SAU, CHAUMMA, AFP, CHAUSTA, LND, DP, UMD, D.MAKINI, TLP, Nccr-Mageuzi, NRA, ACT-Wazalendo, ADC, CCK, UPDP, CCM, JAHAZI Asilia, CUF, au PPT Maendeleo? Watasubiri kuanzishwa kwa chama kipya cha siasa?
Na je,
wewe unaechangia hoja hii mahususi, ikiwa ni mwana chama wa...
Hapo awali kulikuwepo na dhana potofu na kasumba kwamba Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini (Mbeya,Iringa,Njombe,Songwe,Ruvuma na Rukwa) kwamba ndio wazalishaji wakuu wa mahindi nao wakajisahau wakidhani wanategemewa saaana na Nchi kwamba Mikoa mingine ni walaji tuu.
Sasa hivi hii kasumba...
Nikinukuu mada ya mdau Synthesizer (Quote):
"Kuna account humu JF zimefunguliwa na watawala kwa ajili ya kutumiwa na group la watu wanaolipwa kwa ajili ya kujibu kukosoa kukejeli nk... Mwanshambwa sijui Tlaatlaah nk sio mtu mmoja. Ni watu kadhaa wanaolipwa na wameambiwa watumie hizo account kama...
NAS STORAGE SERVER
Hebu wazia NAS(Network Attached Storage) kama "Hard Disk" kubwa, yenye akili, na nguvu nyingi inayokaa nyumbani au ofisini kwako, lakini badala ya kuichomeka kwenye kompyuta kwa kebo/wire, unaunganisha kwenye intaneti au router yako (Wi-Fi).
Kifupi cha NAS ni Network...
Ni nadra sana katika sehemu nyingi zenye Zebra crossings ambazo hakuna traffic police karibu kukuta madereva wa magari, Bajaji au Bodaboda wakiheshimu na kuruhusu watembea kwa miguu kuvuka.
Ni wakati sasas serikali ijikite kujenga madaraja ya juu tu kuvukia badala ya hizi zebra crossings za...
Wanaukumbi.
Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Bagher Ghalibaf, amesema hakuna njia nyingine isipokuwa kukubali haki za wananchi wa Iran kama zilivyoainishwa katika pendekezo la vipengele 14 lililowasilishwa na Tehran.
Kauli hiyo ilichapishwa Jumatatu jioni kupitia akaunti yake kwenye mtandao wa X...
Wakuu,
Akizungumza leo kwenye tukio la kuaga mwili wa William Lukuvi Stephen Wasira alisema kwamba tatizo kubwa linaloikumbwa CCM ni kwamba haina viongozi mbadala
"CCM tuna matatizo kweli ya kumpata mbadala. Kwa sababu kupata mbadala wa mtu ambaye ameandaliwa na ameongoza kwa miaka zaidi ya...
Kama unatafuta business idea, angalia kwanza ni biashara gani wageni (foreign investors) wanaanzisha nchini, Kwanini nasema hivi?
Kwa sababu ÷
• Mara nyingi hawa wageni kutoka nje hutumia 6–12 months kufanya market research kabla ya kufungua biashara. Kwa kuangalia tu wanachofanya, unapata...
Sikiliza Maelezo kutoka kwa kamishina Kutoka necta mda akiulizwa swali na Naibu waziri wa Elimu Wanu Hafidh Mara baada ya kutembelea Necta
Soma: PostGE2025 - Waziri Mkenda na Wanu, wasisitiza kuendeleza mageuzi sekta ya elimu
Kutumia mbinu za kijima yaani mkono wa chuma Kwa kizazi kipya ni ku expose uzembe wa idara ya taifa husika katika kusoma alama za nyakati plus mahitaji ya kizazi husika!
Tambiko hubadilika kutokana na mahitaji ya nyakati na kizazi ili kuepuka madhara makubwa Kwa taifa!
Kama ccm ndio Tambiko...
Huu mfumo japo umekuja na mazuri, lakini kwa sasa unageuka kero kwa Watumishi kwa baadhi ya huduma kutopatikana leo ikiwa ni siku ya 2 mfululizo.
Mimi nashauri waufute huu mfumo au kuwe na mbadala pale mfumo huu unapofeli kwani unakwamisha sana mambo ya watu na kwa sasa unageuka kero badala ya...
Hili ni kumbusho kwamba Kings umeshinda tenda zote za ujenzi hapa dsm onesha uwezo wako kwa ujenzi wa barabara kuwa wa viwango na uishe kwa wakati kwani umezua taharuki kubwa hasa maeneo ya kilongawima mpaka mbezi jangwani beach.
Ni takwa la. Kisheria na kitendaji unapochepusha barabara basi...
SGR inahujumiwa waje wapewe wakezaji - na safari hii watapewa Warusi si wachina wallahi!
LEO JIONI Treni hii limeharibika RUVU PORINI huko. Abiria wameambiwa Washuke Waanze kutembea na kwamba kuna Treni inakuja kuwachukua. Wataanza na abiria wa VIP—abiria wametembea zaidi ya KILOMITA 6 hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.