usafi

The United States Armed Forces Institute (USAFI) was an educational organization that was part of the United States Armed Forces. It was founded in April 1942, as the Army Institute.Between 1942 and 1974, the USAFI provided education opportunities which included the GED, general examinations at the college level and USAFI Courses to service members in the continental United States, Caribbean, Europe, Hawaii and Japan.The headquarters of the USAFI was in Madison, Wisconsin, at 102 North Hamilton Street.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kinakusumbua zaidi unapofanya usafi wa nyumbani?

    Habari wana JF Nimeanzisha mjadala huu kwa ajili ya kubadilishana uzoefu kuhusu usafi wa nyumbani. Kila mmoja ana changamoto yake katika usafi; wengine wanapata shida kuondoa uchafu kwenye tiles na sinki, wengine kwenye nguo, huku wengine wakitafuta sabuni nzuri kwa matumizi ya kila siku...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Halmashauri na wakuu wa idara kuwekwa Selo na Mkuu wa Wilaya ya Kwimba, Ng’wilabuzu Ludigija, kwa kutoshiriki zoezi la usafi

    Mkuu wa Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza, Ng’wilabuzu Ludigija, amemuamuru Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo pamoja na Wakuu wa Idara wote kuripoti kwa Mkuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) kufuatia kukaidi kwao mara kadhaa agizo la kushiriki katika zoezi la kufanya usafi wa mazingira wilayani humo.
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi Halmashauri ya Biharamulo tunalazimishwa kufanya usafi huku tukilipa fedha za usafi kila mwezi

    Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo imekuwa ikitoza ada ya usafi kwa kila kaya, ofisi na wafanyabiashara. Wananchi wamekuwa wakilipa fedha hizo kwa matarajio kwamba zitatumika kuboresha usafi wa mazingira katika maeneo mbalimbali ya umma, ikiwemo kusafisha mifereji ya maji na maeneo mengine...
  4. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya usafi Dar es Salaam: Chalamila na Mpogolo Watoa Maonyo Makali, Faini na Jela Kuwangoja Wachafuzi

    Katika kutekeleza agizo la Rais Samia Suluhu Hassan la kufanya usafi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametoa mwezi mmoja kwa wafanyabiashara wa eneo la Kariakoo kuondoa msongamano kwenye barabara zinazotakiwa kupitisha magari, sambamba na kusafisha mitaro iliyojaa majitaka...
  5. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Kata ya Bondeni Manispaa ya Moshi kuwa kariakoo hapo baadae asema Diwani Haji Fundi Haji siku ya usafi wa mazingira

    Msikilize Diwani wa Kata ya Bondeni Manispaa ya Moshi ,Haji Fundi Haji akiwasihi wananchi na wafanyabiashara Kata ya Bondeni kuimarisha suala la usafi wa mazingira huku akiweka mikakati ya kuifanya kata hiyo kuwa kariakoo ya baadae
  6. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Diwani Haji Fundi Haji ahimiza usafi wa mazingira Kata ya Bondeni

    Diwani wa Kata ya Bondeni Manispaa ya Moshi ,Haji Fundi Haji amewataka wananchi na wafanyabiashara wa Kata hiyo kuhamasishana na kushiriki kikamilifu katika suala zima la usafi wa mazingira na kuifanya kata hiyo kuwa moja ya Kata zinazoongoza kwa usafi. Wito huo ameutoa wakati akizungumza na...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Tujadli afya kwa matumizi sahihi ya miundombinu ya maji, usafi ni utu

    Usafi wa mazingira ni ustaarabu, usafi binafsi ni utu. Tusiwe chanzo cha kero kwa wadau wengine mtaani kwetu kwa matumizi yasiyosahihi ya miundombinu ya maji au matumizi ya makusudi kwa kuharibu. Serikali inajenga miundombinu hii kwa matumizi ya wananchi wote na kuimarisha afya ya jamii yetu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania DC Shaka awataka Wanakilosa usafi uwe utamaduni wao kuanzia majumbani, maeneo ya kazi, biashara mpaka maeneo ya Umma

    DC SHAKA AONGOZA ZOEZI LA USAFI STENDI KUU YA MABASI KILOSA ~ Wananchi Wajitokeza kwa Wingi, Wampongeza kwa Uongozi wa Vitendo Macho ya abiria na wafanyabiashara katika Stendi Kuu ya Mabasi Kilosa leo asubuhi yaligeuka ghafla kuona jambo ambalo hawakulitarajia. Sio basi jipya lililowasili...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Kwa sasa vifaa vya usafi vinavyotumika ni vya kawaida, tumejipa miezi mitatu, wakandarasi watafute vifaa vya kisasa, usafi kufanyika Usiku

    Katika hili tunao wakandarasi, wakandarasi ambao wanafanya kazi ya uondoshaji wa takataka kwenye points mbalimbali. Lakini tunakiri pia kwamba teknolojia pia inayotumika ni teknolojia pia kawaida sana. Mifagio, unaweza ukafagia ama usifagie. Kwa hiyo teknolojia hii bado iko ndogo. Sasa...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DAWASA: Mradi wa Usafi wa Mazingira Afrika Mashariki wa kuchakata majitaka umefikia Asilimia 88

    Mradi wa kwanza wa kisasa na usafi wa Mazingira Afrika Mashariki wa kuchakata majitaka Mbezi Beach unaotekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) umefikia asilimia 88 ya utekelezaji wake huku ukitajwa kunufaisha kaya takribani 11,000 katika Wilaya ya Kinondoni...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Responded Rais Samia: Dar es Salaam ni kuchafu, ni aibu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekemea hali ya uchafu uliokithiri katika miji, hususan jiji la Dar es Salaam. Akizungumza Septemba 2, 2026, katika Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar, wakati akiwaapisha Wakuu wa Mikoa na Katibu Tawala wa Mkoa, Rais Samia ameeleza kuwa...
  12. BigTall

    JamiiForums Tanzania Baada ya makongamano na shughuli za ibada Tanganyika Peaks–Kawe, nani anawajibika kwa usafi wa mazingira?

    Katika kipindi cha hivi karibuni, eneo la Tanganyika Peaks–Kawe limekuwa likihudumia shughuli mbalimbali kutokana na kufanyika kwa makongamano ya kidini, hususan ibada zinazoratibiwa na Kanisa la Arise and Shine (maarufu kama kanisa la Mwamposa). Viwanja hivyo vimeendelea kuwa na shughuli mbili...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wahusika wanaosimamia Vyoo vya Stendi ya Ifakara hawajali usafi

    Hivyo ni vyoo vya Stendi hapa Ifakara na wananchi wanalipia na receipt juu lakini unaingia ndani unakuta hali kama hiyo hata usafi wa kumwaga maji ya sabuni hakuna. Pia kama una hela kuazia jero wanakata 300, ila kama una 200 unaingia kwa hiyohiyo
  14. Dr. Mariposa

    JamiiForums Tanzania Wanaume pendeni usafi, mnanuka makwapa

    Ni ijumaa nyingine tulivu kabisa, nikiwa nafukiza udi nyumbani kwangu nikakumbuka kitu hiki, ukipishana na wanaume jamani ni aidha uzibe pua au ukubali kunukishwa harufu mbaya ya kwapa, inakuaje mwanaume umevaa vizuri tu ila unanuka kwapa na kuna vikata harufu vya kila aina kwa bajeti anayomudu...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Raha ya Sex ni usafi

    Wakuu habari zenu? Nashindwa kufurahia mapenzi siku hizi , sijui niseme sina bahati. Nimetongoza mademu zaidi ya watatu, lakini wote wakati WA mechi hutoa harufu mbaya Kwa sasa nimeamua kuwa Single.
  16. zaza1

    JamiiForums Tanzania Tender za Usafi, Maintenance na Fumigation Tanzania – Post Hapa Fursa Zote

    Karibuni wanajamii, Nimefungua thread hii kwa ajili ya kukusanya na kushirikishana taarifa za Tender, Zabuni, RFQ, RFP na fursa mbalimbali zinazohusiana na: • Usafi (Cleaning Services) • Maintenance za Majengo na Miundombinu • Fumigation & Pest Control Services Thread hii ni kwa ajili ya...
  17. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wako anajali usafi au mnavumiliana?

    Ugonile, sijajua ni kwangu tu au namna gani vipi. wanawake naokutana nao sikuiz wananuka midomo ni balaa, yani kila napojiambia hii Pisi ni kali na imenyooka sana siwez kuiacha iviivi nakutana na madudu. Unaopoa bonge la Pisi unasema yes huyu leo naua kunako 5×6, mkifika ukijaribu romance...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Mayungi ashiriki zoezi la usafi Mkoa wa Mbeya

    Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Mayungi, ameshiriki zoezi la usafi katika Mkoa wa Mbeya pamoja na Balozi wa Mazingira Tanzania, Michael Msechu, vijana wa vyuo, wafanyabiashara wa eneo la Kabwe Standi, viongozi wa chama pamoja na madiwani. Zoezi hilo limeendelea kuhamasisha...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyoko Kata ya Msamala Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma vyafanyiwa usafi

    Mei 25, Mdau alipost picha za muonekano wa Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyoko Kata ya Msamala Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma, akaonesha jinsi hali ilivyokuwa mbovu na ya kusikitisha na kwamba mazingira yanatia hofu kwa afya za Wanafunzi. Hoja ya Mdau ~ Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni...
  20. SangaMiliki

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Huduma za usafi

    TANGAZO LA HUDUMA ZA USAFI Amicable Group Holdings Limited ni kampuni inayotoa huduma za usafi wa viwango vya juu kwa watu binafsi, taasisi, makampuni, ofisi, shule, mabweni, hospitali, viwanda na maeneo mbalimbali ya biashara. Tunapokea kazi za: ✔️ Usafi wa ofisi, nyumba, shule, vyuo na...
Back
Top Bottom