nimefanikiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kiraza

    JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kuunda Bot wa Aviator, Nahitaji Logic

    Wakuu Mwenye idea tushirikiane nimefanikiwa kuunda bot ya aviator ambayo inafanya kazi yenyewe Shida ni logic ya kupata Egde ya uhakika kihesabu hapo pananitoa Jasho 24/7, kama unaamini una logic bora itakayofanya kazi nicheki Dm tushirikiane.
  2. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kwa kupenda kwangu Chini nimefanikiwa kwenye mambo mengi sana

    jamaa zangu mara nyingi huwa wananiambia "Chidy unapenda sana chini we jamaa" kwa kweli siwakatalii mimi napenda sana chini na huko kumenisaidia katika mambo mengi sana kwa kuwa nilipoanza kuwa napenda chini nikagundua ukipawezea huko chini kuna utajiri mwingi sana sema watu hawajui tu au...
  3. technically

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimefanikiwa kutoa pesa zangu zote bank ya CRDB

    Hii bank imenikwaza Sana pesa zangu baadhi baada ya marekebisho zimepotea na bank statement inaishia siku yangu ya mwisho Kutoa pesa. Sasa juzi Jana na leo nimefanikiwa kutoa pesa zangu zote. Hii bank imekuwa ya kijinga Sana. Bora kuweka pesa international banks.
  4. Isenye

    JamiiForums Tanzania Kumbe kuna baadhi ya Sekta Binafsi watu wanaishi kama wako peponi vile

    Wakuu mko poa,? Nilikua natafiti mishahara ya private sector kwa watu wenye level ya degree,nimegundua kuna vijana wanakula maisha aisee, Orodha ya makampuni na mishahara yao ni kama ifuatavyo 1.TCC-2.53m 2.Twiga cement-2.76m 3.pwc-2.0m 4.Barrick-3.2m 5.Mbeya cement-2.5m 6.Delloite-2.0 7.Geita...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kubadili cheti changu cha chuo kwa njia haramu.

    Tanzania kila kitu kinawezekanika. Nilikua na GPA ndogo sana chuo,nikamtafuta jamaa flani mzoefu wa forgery,kanitolea cheti kama kilivyo na zile security marks zake kanipa first class,nimeenda kwenye interview wale wakaguzi hakuna ambae kashtukia kuwa kile sio cheti halisi.jamaa kanitengenezea...
  6. Kigger

    JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa tena kuwasha tv station

    Habari wadau miaka nyumba nilileta uzi kuwasha online radio,ambapo nilifanikiwa kuwa n kituo cha online radio ambacho ni kukubwa zaidi dunia nasema ivo kwa sababu kila nchi kunakituo cha Tz Gospel Radio mfano Tzgospel kenya, Tzgospel vatican, Tzgospel china, Tzgospel Brazil nk. Na vyote...
  7. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kuiona, kuishika Rupia kwa mikono yangu miwili na imenistaajabisha kwa jinsi inavyobadilika badilika

    Ni kweli kabisa Pesa ya zama (Rupia) ni pesa yenye maajabu na yenye kustaajabisa haswa ukiishika mkononi. Naam, ilikua mishale ya saa Mbili mbili hivi usiku tena kuna kiza kimetanda Lakini kuna mwanga Wa asili (mbaramwezi, Nyota ) ndizo ziling'arisha anga. Nikiwa Sina hili wala lile, GhafLa...
  8. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kuukwepa mzinga wa JWTZ muda huu

    Ni hayo tu.
  9. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kupata mkopo wa Milioni 470 nimetenga kiasi hiki kwa ajili ya kujipongeza na watoto wakali

    Kwenye list yangu namba 1 nimemweka Irene Uwoya. Huyu nimetenga mil 50 nimle na nyingine zitakaZo baki kuna wadada wengine 3 hawa mmoja naye ni muigizaji wengine si waigizaji. Mkopo umefanikiwa juzi. Nimewekewa kwenye account yangu. Nikawaza hapa lazima nijipongeze. Si kitu kidogo. Miradi...
  10. fundi bishoo

    JamiiForums Tanzania Nikipataga seat kwenye mwendokasi huwaga najiona kama nimefanikiwa kimaisha vile wakuu

    Siwafichi wakuu, mimi ninapofaniliwa kupata seat kwenye mwendokasi halafu mwendokasi zikiwa ni za shida huwaga najiona kama nimeshawini kwenye maisha. Najiona kama mimi nna gari langu kwahiyo hawa waliosimama huwaga nawaona kama maskini hivi, muda mwingine nawaonea huruma kabisa huku nimefungua...
  11. mwaibile

    JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kutundika daluga pombe

    I hope wote tuko good kwa nguvu ya God Nimefanikiwa kuiacha pombe bila kufosiwa au kupata tukiololote nimeona kwa mda niliotumia sijapata faida yoyote zaidi ya kuuchosha mwili na kuishi maisha ya madeni kwa sababu ya pombe sitoi motivation ili watu waache pombe hapana pombe hailazimishwi...
  12. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kununua simu ya galaxy S23 plus na ford ranger ndoto yangu imetimia

    Ama hakika pesa ni sabuni ya roho ukiwa na pesa unaweza kuhamisha mlima kilimanjaro kutoka kilimanjaro na kuupeleka mtwara sio kitu kabisa kabisa Nimefanikiwa kununua gari ya ndoto yangu Ford ranger kutoka moja kwa moja state nimeagiza moja kwa moja na pia nimefanikiwa kununua simu kali ya...
  13. Shujaa Nduna

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimefanikiwa kupata Mbolea

    Si kila wakati kulaumu tu wakati mwingine kupongeza. Nimefanikiwa kupata mbolea kwa idadi ya heka nilizojiandikisha. Usumbufu mdogo ni foleni tu ambapo ilinichukuwa siku 3 tofauti kufanikiwa kupata mbolea zote. Kule kwenye usumbufu zaidi taratibu ziwekwe sawa ili kuwawezesha wasiynpata wapate...
  14. Ryder2

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimeshindwa kuziacha beta blocker ila nimefanikiwa kupima tena upya vipimo vya ECHO na ECG

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kwa kifupi nimekua nikitumia beta blocker kwa takriban inaelekea kufika miezi 8 hivi na baada ya muda kidogo kuringana na ushauri wa doctor kwa kuniambia niache kutumia hizi dawa beta blocker (NEBIVOLOL 5MG TAB), hivyo nikaona sio mbaya kuziacha nikajaribu...
  15. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kuhamisha pesa kutoka Sudani kuja Tanzania kwa njia ya mpesa

    Karibuni niwe wakala wenu, Nimefanikiwa kuhamisha pesa kutoka Sudani kuja Tanzania kwa njia ya mpesa. Sasa nitaweza kuhamisha pesa kutoka mahali popote Africa kwa haraka. Ahsanteni
  16. Amina68

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nimefanikiwa kuwa Daktari kwa msukumo wa mama ambae ni kichaa, alibakwa akanizaa mimi

    Habari wana jukwaa wote! Kwa majina naitwa Amina kama nilivyojisajili kwa forum hii. Mimi ni mtanzania ambae nimetokea katika familia maskini sana kule SIMIYU kijiji cha itilima. Nilizaliwa mnamo mwezi januari mwaka 1997 katika mazingira ambayo sio salama na mama yangu ajulikanae kwa jina la...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Licha ya vikwazo kadhaa, hatimaye nimefanikiwa kuianza ile safari. Asanteni kwa sala zenu zimesaidia ila bado zinahitajika sana! Mungu nisaidie

    Wanabodi, Ukiwa na jambo lako, ukaomba msaada wa usaidizi kwa public ili usaidiwe, the public ulioomba msaada ika respond positive, ukasaidiwa kwa michango ya hali na mali, baadhi yetu ni huwa wanyenyekevu wakati wa kuomba tuu, lakini tukisha fanikiwa, tunatabia ya kujisahau. Haturejei...
  18. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kuona jezi mpya za Simba, wameua...

    Ni jezi kali sana, nimetamani kuiweka hapa jukwaani ila maadili hayaniruhusu. Hakika Fred Vunjabei umejua kuwakosha wanasimba.
  19. P

    JamiiForums Tanzania Kero: Wasafirishaji wa mizigo kupakilia mizigo kwenye makazi ya watu Kariakoo

    Msingi wa shida zote ni serikali za mitaa, na hizi karibu zote zilipita bila kupingwa, Sasa hapa Kariakoo misheni kota yaani utafikiri uko sijui kwenye viwanda vya kutengezea malori, yaani mitaa yote kuanzia Ndanda hadi Muheza, Narun'gombe, Magira, Masasi na Aggrey street hapajulikani ni jiji...
  20. Kigger

    JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kufungua online radio

    Habari wanaJF, naamini ni wazima Nimefanikiwa kufungua online radio ambayo ni tzgospel japo sina studio wala sijafanikiwa kusajili lakini kituo kimekuwa na wasikilizaji wengi wanaosikiliza lakini nashindwa kutangaza maana sijafanikiwa kupata vifaa kama laptop mic mixer ndogo nk Maana pesa...
Back
Top Bottom