uganda

 1. Influenza

  Rwanda yatangaza kusherehekea Sikukuu ya Eid El Fitri Mei 13, 2021

  Serikali ya Rwanda imetangaza kuwa kesho ni siku ya mapumziko baada ya Usharika wa Waislamu nchini humo kutangaza kuwa kesho Mei 13, 2021 ni Eid El Fitri Tangazo hilo lililotolewa na Wizara ya Utumishi wa Umma na Kazi limeeleza bayana kuwa kesho ni siku ya mapumziko kwa Watumishi wote wa Umma...
 2. Informer

  Rais Samia nchini Uganda katika Uapisho wa Rais Museveni

  Nyingine: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha na Rais wa Uganda Yoweri Museveni kabla ya mazungumzo yao Kampala nchini Uganda Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa Uganda Yoweri...
 3. TheDreamer Thebeliever

  Uganda: Rais Museveni amshukuru Rais Samia kwa kumruhusu kuuza sukari Tanzania

  Habari wadau! Sasa kilio cha upungufu wa sukari kitapungua maana mama amefungua milango na kuamuru sukari iingie nchini. Mubashara toka Kololo Uganda kupitia TBC 1 kwenye uapisho wa Rais Museveni .Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museven leo katika hotuba yake amemshukuru Rais wa JMT mheshimiwa...
 4. J

  Kololo Uganda: Rais Museveni anaapishwa kuwa Rais wa Uganda

  Tukio liko mubashara TBC, Channel ten na ITV Rais Samia ni miongoni mwa wageni rasmi. Karibuni.
 5. Sam Gidori

  Rais Museveni aapishwa kuongoza Uganda kwa miaka mitano

  Rais Yoweri Museveni ameapishwa kwa mara ya sita mfululizo kuliongoza taifa hilo hadi mwaka 2026 katika sherehe zilizofanyika Uwanja wa Kololo nchini humo. Museveni amekuwa kiongozi wa nchi hiyo tangu mwaka 1986. Sherehe za uapisho zimehudhuriiwa na viongozi takriban 11 wa mataifa mbalimbali...
 6. Kurunzi

  Rais Samia aondoka kwenda Uganda kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Yoweri Museveni

  Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu, Ameondoka leo kwenda Uganda kuhudhuria Sherehe za Kumuapisha Rais alishinda uchaguzi inchini Uganda, Yoweri Kaguta Museveni. Ikumbukwe jana ubalozi wa Ujerumani inchini Uganda ulilazimika kufuta Post yake kwenye ukurasa wake wa...
 7. Kijana wa jana

  Mlinzi wa Obote arudi Uganda baada ya kuishi Tanzania kimyakimya kwa zaidi ya miaka 50

  Mlinzi wa Obote arudi Uganda baada ya kuishi Tanzania kimyakimya kwa zaidi ya miaka 50. Kijiji cha Agora wilayani Soroti nchini Uganda kililipuka kwa furaha baada ya wake wawili kuungana tena na mume wao, waliyedhani amekufa kwa miaka 51 iliyopita. Bwana Vincent Obodo aliyekuwa mlinzi wa...
 8. TheDreamer Thebeliever

  Wakati Tanzania na Kenya tukiendelea kutekenyana Uganda wao mbioni ku lunch kinu cha nyuklia na kuwa nchi ya pili Afrika.

  Habari wadau.! Wakati Tz na Kenya wao mambo yao yanalega lega na kupinda pinda huku mama akipambana kuyanyoosha wao waganda wapo mbioni ku launch kinu cha nyuklia kwa "mpango wa amani" ambapo nuklia hiyo itazalisha takribani 41,700Megawatts mpaka kufikia 2040. Uganda wameingia mkataba na...
 9. stakehigh

  Kwanini tanzania iligharamikia uganda baada ya vita vya kagera?

  https://sw.wikipedia.org/wiki/Vita_vya_Kagera - Kutoka wikipedia inasemekana tanzania ilibidi kugharamikia uganda baada ya vita, ikiwa ni sharti kutoka OAU, japokua walikua wanajua yote tunayofanyiwa ila walitoa sharti ilo, kwa wenye uelewa nini zaidi juu ya sharti la OAU limetumia vigezo gan...
 10. J

  Tusisahau: Tanzania ni kubwa kuliko Kenya, Uganda, Burundi na Rwanda ukiziweka pamoja

  Tunakumbushana tu kuwa Tanzania ina eneo kubwa kuzipita Kenya, Uganda, Burundi na Rwanda tukiziweka pamoja Tutumie fursa ya ukubwa wa eneo letu kulead uchumi wa Afrika ya mashariki, pamoja tutaweza. Kazi Iendelee!
 11. GENTAMYCINE

  Rais Samia ukifanya ziara nchini Rwanda kwa 'Genius' Kagame utafaidika na mengi kuliko ya Uganda na Kenya

  Ukienda kwa Museveni Uganda Faida kubwa huku ni Uimarishwaji tu wa Miradi kadhaa na kuendeleza Historia yetu ya Udugu kwakuwa Rais Museveni kalelewa vyema na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere. Ukiondoa haya hakuna mapya zaidi. Ukienda kwa Kenyatta Kenya Huku utapata sana 'Madili' ya...
 12. Sam Gidori

  Uganda kutumia ndege zisizo na rubani kusafirisha ARVs kwa wakazi wa Visiwa vya Ziwa Victoria

  Wakati chupa za dawa zikipakiwa katika ndege zisizokuwa na rubani kwa ajili ya kusafirishwa, kundi la watu limekusanyika kwa mbali kutazama ndege hiyo yenye upana wa mita 1.5 katika eneo la Kituo cha Afya cha Bufumira III, jimbo la Kalangala nchini Uganda. Mzigo huo wa dawa za kufubaza makali...
 13. Shadida Salum

  Kufuzu Kombe la Dunia (WCQ) 2022: Uganda yaomba kutumia Uwanja wa Mkapa kama Uwanja wa nyumbani

  Timu ya Taifa ya Uganda inatarajiwa kutumia Uwanja wa Taifa wa Tanzania kama uwanja wao wa nyumbani kwenye michuano ya kufuzu Kombe la Dunia la 2022. Shirikisho la Soka Uganda (FUFA) limelijulisha Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) juu ya msaada wanaohitaji wa kutumia Uwanja wa Mkapa kama uwanja...
 14. Uzalendo Wa Kitanzania

  Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Uganda Yoweri Museveni Awapandisha Vyeo Brigedia Jenerali 7 Kuwa Meja Jenerali & Makanali 33 kuwa Brigedia Jenerali

  Rais wa Uganda na Amiri Jeshi Mkuu wa UPDF Mheshimiwa Yoweri Kaguta Museveni amefanya uteuzi kwa kuwapandisha vyeo Majerali na Maofisa Waandamizi wa Jeshi la nchi hiyo.
 15. T

  Uganda -Tanzania Oil Pipeline is still in the dark

  French banks disavow Total’s EACOP plans Three French banks have committed not to provide project financing for the Total-led East African Crude Oil Pipeline (EACOP). By Ed Reed 22/04/2021, 4:04 pm Total news Register here for the Energy Voice daily newsletter, bringing you key news and...
 16. Geza Ulole

  Baada ya ziara ya Mama Samia ya mafanikio Uganda Uhuru aiga kwa kwenda DRC

  MY TAKE Naona akiiga hata kutembelea na national carrier KQ kama Samia Suluhu na Air Tanzania! Here is what Kenyan ambassador to DRC explaining Uhuru's mission inb DRC
 17. Analogia Malenga

  Uganda: Madaktari wataka chanjo ya Covid19 iwe ya hiari

  Umoja wa Madaktari nchini Uganda (UMA) wamepinga suala la kulazimisha watumishi wa Afya na raia kupatiwa chanjo ya COVID19 kilazima. Wametahadharisha kuwa yatakapotokea matokeo yoyote serikali itawajibika. Uganda imepata upinzani hata kwa wahudumu wa Afya ambao hawajawa tayari kuchoma chanjo...
 18. Miss Zomboko

  Marekani yaiwekea Uganda vikwazo vya kusafiri, yasema uchaguzi ulichakachuliwa

  Marekani imesema inawawekea vikwazo vya viza watu wanaoaminika kuhusika au kushirikia katika kudhoofisha mchakato wa demokrasia nchini Uganda, ikiwemo wakati wa uchaguzi wa Januari na kipindi cha kampeni. Waziri wa mambo ya nje Antony Blinken amesema katika taarifa kuwa vitendo vya serikali ya...
 19. Replica

  Uganda: Rais Samia Suluhu ashiriki utiaji saini kati ya Serikali ya Uganda na Kampuni ya Mafuta ghafi ya Afrika Mashariki (EACOP)

  ======= Rais Samia Suluhu: Wote tunajua jinsi Rais Magufuli alivyounga mkono mradi huu hivyo kuahirisha zoezi hili ilikuwa katika heshima kutambua juhudi zake katika mradi huu. Mradi huu utatoa mapato kwa nchi zote, ajira za muda mfupi na kudumu na kujibu tatizo la ajira. Mradi huu utakuza...
 20. Uda

  Tukifuata dhana ya profesa leo hii Rais Samia angeenda Uganda na ndege ya mkopo

  Katika uislamu mkopo si jambo la heri. Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai?? Tutafakari
Top Bottom