mzinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Wakazi wa Malela, Tuangoma (Kigamboni) tunaishi kwa mashaka sasa

    Kwanini kipindi chote raia wanajenga Nssf isiwastopishe? Mmeacha mpaka watu wamemaliza ujenzi na kuamia katika makazi yao alafu leo hii nyumba zote zimewekwa X-Bomoa! Muda wote mlikuwa wapi kuzuia watu wasijenge kwenye hayo maeneo? Naomba serikali iangalie kwa jicho la pekee wananchi wake...
  2. Pfizer

    Waziri Bashungwa: Tutapanua barabara ya Mbagala Rangitatu-Kongowe (km 3.8) na daraja la Mzinga na upanuzi wa barabara ya Mwai – Kibaki (km 11.6)

    BASHUNGWA AWEKA WAZI MIRADI ITAKAYOONDOA MSONGAMANO WA MAGARI KATIKA MAJIJI. Serikali itaendelea na utekelezaji wa miradi inayolenga kuondoa kero ya msongamano wa magari katika majiji. Haya yamebainishwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha makadirio ya mapato na...
  3. feyzal

    Ninawapongeza wananchi wa mzinga kwa kufunga barabara, serikali hii isiyosikia ichukue hatua

    Habari za wakati huu wana jamii forum bila shaka wote ni wazima na wale ambao mmeamka na changamoto mbali mbali Mungu awafanyie wepesi. Kwanza niweke wazi mimi ni miongoni wa wananchi tunaoishi mzinga kwa miaka kadhaa sasa. Kumekua na mfululizo wa ajali kutoka Mbagala kokoto(mlimani) mpaka...
  4. othiambo

    Barabara ya Kilwa kipande cha Mzinga Kongowe kinatumaliza

    Wasalaam wakuu, mpaka muda huu nina huzuni ya nafsi baada ya kuiona maiti ya bajaji iliyogongwa na roli la cement mzinga, njia ile wallah finyu barabara ni mbovu, vyombo vinavyopita pale ni vyenye uzito wa hali ya juu kuliko ubora wa barabara malori ni mengi maswali yamenijaa kichwani najiuliza...
  5. AdanaVural

    Bata Bukini na Bata Mzinga wanauzwa

    Habarini wanajamvi, poleni na majukumu ya kujitafutia ridhki. Ninao bata Bukini wanaotarajia kutaga pair 2, yaani majike 2 na madume 2, na Bata mzinga 3 majike 2 na dume 1. Bata wote hawa nawauza kwasababu za kuhama eneo hivyo ni vigumu kuwabeba ndio maana nalazimika kuwauza haraka. Kwa mwenye...
  6. A

    KERO Kero Barabara ya Kilwa eneo lijulikanalo kama Kokoto kuelekea daraja la Mzinga jijini Dar

    Naomba kuulizia, ni nini hasa kinachoshindikana kwa serikali kukijenga kipande hiki cha Barabara kisichozidi hata kilomita mbili na kuondokana na usumbufu unaosababisha msongamano wa magari katika eneo hili? Kipande hiki ni chembamba na kina mteremko mkali na daraja ambapo mara kwa mara...
  7. MK254

    Video: Mizinga ya Kh-101 ya Urusi inapigwa chini na silaha ya kubebewa mabegani, hadi aibu

    Hawa hawa wabeba javelin ndio walitafuna msafara wa Urusi wa vifaru vilivyokua vinakwenda Kyiv, wamepata jeuri ya kushusha mizinga iliyosifiwa siku zote, cruise missiles za Kh-101 ================== Lieutenant General Serhii Naiev, Commander of the Joint Forces of the Armed Forces of...
  8. MK254

    Ukraine washambulia kwa mzinga ndani ya Urusi

    Ukraine wanaendelea kupata ujasiri wa kutuma mizinga Urusi ndani ndani..... An intense explosion has occurred in the city of Taganrog in the Russian Rostov Oblast on the afternoon of 28 July. The Ministry of Defence of the Russian Federation claims that a Ukrainian missile has been shot down...
  9. MK254

    Ukraine wapiga daraja la Crimea kwa mzinga wa Storm Shadow

    Juzi Urusi waliomba Crimea isipigwe kwa "storm shadow", Ukraine leo wamepiga daraja kwa mzinga huo huo............... AUkrainian missile strike hit the bridge connecting Russian-held parts of the southern Kherson region with the annexed Crimea peninsula, officials said on Thursday. The attack...
  10. SOWETO_MAN

    Nauza bata mzinga

    Habarini za muda huu wana jukwaa, mm ni mfugaji mdogo nikiwa najihusisha na ufugaji wa kuku pamoja na bata mzinga ila nimepata changamoto kidogo ya soko la bata mzinga ndio nikaona ni wakati sahihi wa mimi kuja kwenye jukwaa hili kutafuta mtu yoyote atakae hitaji kununua bata hawa, ninao madume...
  11. Zacht

    Kamikaze drone ya Russia imeharibu mzinga hatari wa marekani

    Kamikaze drone ya mrusi lacent kamikaze drone imeendelea kuwa pasua kichwa kwa majeshi ya Ukraine kwa ufanisi wake mkubwa. Kamikaze hio Imeharibu mzinga huo unafahamika kama M109 self-propelled howitzer uliokuwa na masaada mkubwa kabisa katika uwanja wa vita kwa upande wa Ukraine, uliotolewa...
  12. Roving Journalist

    Waziri wa Wizara ya Ulinzi, Bashungwa azindua Bodi ya Shirika la Mzinga

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Lugha Bashungwa (Mb) amezindua Bodi ya Shirika la Mzinga lililopo Mkoani Morogoro, Shughuli hiyo iliyofanyika Magadu Mess Mkoani Morogoro, ilihudhuriwa pia na viongozi mbalimbali kutoka Makao Makuu ya Wizara, Makao Makuu ya Jeshi pamoja na...
  13. MK254

    Wazalendo wa Ukraine wajichukulia mzinga wa Urusi, tena wa gharama sana

    Supapawa amechanganyikiwa mpaka mizinga inachukuliwa kizembe, tena mizinga ya gharama sana.... R-37M ni babkubwa ya mizinga yenye uwezo mkubwa sana ya kipekee... Ukrainian forces recovered one of Russia’s most advanced hypersonic missiles The Armed Forces of Ukraine have recovered the intact...
  14. M

    Dume la bata mzinga linakula mayai

    Wadau, msaada tafadhali, Nilinunua Bata mzinga siku za nyuma. Kama wiki mbili zilizopita Bata jike alianza kutaga na kufikisha mayai 6. Baada ya muda nikakuta yamepungua 2. Nikawa na wasiwasi kuwa dume anakula mayai. Nilichofanya nikatoa mayai yaliyokuwa yamebaki. Akitaga tu natoa yai...
  15. Roving Journalist

    Waziri Bashungwa atembelea Shirika la Mzinga, apongeza kuongezeka uzalishaji mazao

    Waziri wa Ulinzi na JKT, Innocent Lugha Bashungwa (Mb) amesema anajivunia kuongezeka kwa uzalishaji wa zao la msingi katika Shirika la Mzinga. Ameyasema hayo Disemba 13, 2022, alipofanya ziara ya kutembelea Shirika hilo. Hiyo ni ziara ya kwanza kufanywa na Waziri Bashungwa katika Shirika la...
  16. LIKUD

    Je, ni kweli Bongo maisha yamekuwa magumu kwa sasa? Nimepigwa mzinga na wahitimu watatu ndani ya siku moja. Kiwango wanachoomba ndiyo kimenishangaza!

    Toka Mwezi wa tisa nimekuwa nikipigwa mara KWA mara simu na watu ninao wafahamu wakiomba kukopeshwa hela. Wanasema maisha yamekuwa magumu sana hela hawaioni. Leo nimepigwa simu na watu watatu graduates ambao ninafahamiana nao. KILA mmoja kanipigia KWA wakati wake. HAWA ni graduate ambao...
  17. De Professor

    Nahitaji kununua Kanga na Bata Mzinga kwa bei ya Shamba

    Habari zenu wakuu. Pasipo kupiga chenga nyingi ni kwamba ninataka kuweka mifugo shambani hasa Kanga na Bata Mzinga, Nipo Dar ila kwa wauzaji wa Dar bei zao zipo juu sana nataka kwa Bei ya shamba. Kama wewe unao kimojawapo au unaweza kuniunganisha na wauzaji wa bei ya chini kabisa nipatie...
  18. De Professor

    Nitapata wapi Muuzaji wa Kanga na Bata mzinga kwa Bei ya Shamba?

    Habari zenu wakuu. Pasipo kupiga chenga nyingi ni kwamba ninataka kuweka mifugo shambani hasa Kanga na Bata Mzinga, Nipo Dar ila kwa wauzaji wa Dar bei zao zipo juu sana nataka kwa Bei ya shamba. Kama wewe unao kimojawapo au unaweza kuniunganisha na wauzaji wa bei ya chini kabisa nipatie tafadhali.
  19. Sakwe

    Kilima Mzinga

    Wasalaam Tanga kunani ,sehemu inaitwa Kilima Mzinga, Tanga huko ni maarufu kwa wachimbaji wadogo wadogo wa dhahabu ila mazingira yale ndio yalinifanya kugundua kuwa kweli Tanzania ni kubwa aise!
Back
Top Bottom