1. Samia Yanga.
2. Ndejembi Yanga
3. Mwigulu Yanga
4. Mzabuni mkubwa wa nondo kwenye mradi wa SGR (GSM) Yanga.
Tatizo liko wapi? Engineer jitafakari. Umetumia bilioni 15 kusajili, Simba wametumia bilioni 5 tena za mali kauli.
Wakuu, naomba msaada kwa wenye uzoefu kuhusu mada tajwa hapo juu.
Nimeona baadhi ya nafasi za ajira zinazotangazwa kupitia Ajira Portal, hasa upande wa ICT/Software Development, mfano nafasi za Systems Analysis. Kwenye baadhi ya nafasi hizo, moja ya vigezo vinavyotajwa ni mwombaji kuwa na...
Mahakama Kuu imebatilisha mauzo ya asilimia 15 ya hisa za Serikali katika Safaricom kwa Vodacom, ikisema mchakato wa divestiture ulifanywa kinyume na Katiba na sheria.
Uamuzi huo una maana kuwa hisa hizo, ambazo zilikuwa tayari zimehamishwa kwa Vodacom, zinapaswa kurejeshwa kwa Serikali ya...
Wanaojitolea serikalini (interns) tunaombwa walipwe posho zao za mwezi na za kazi nje ya ofisi kwa wakati. Hasa Taasisi za Wizara ya Utalii na Maliasili naongelea zaidi Tanzania Tourist Board (TTB) na Tanzania National Parks Authority (TANAPA).
Wanacheleweshewa sana hivyo kupelekea kuishi...
Anonymous
Thread
interns
kazi
malipo
mwezi
nje
ofisi
posho
serikalini
tanapa
ttb
wakati
walipwe
wanaojitolea serikalini
Hili andiko haliegemei chama chochote. Uwe CCM au upinzani linakuhusu. Sio CHADEMA wala CCM ambako utavumiliwa ukianza ku-challenge uongozi uliopo. Yaani ukiwa kinyume na itikadi za chama jua kabisa wewe ni msaliti unapaswa kuchukuliwa hatua kali ya kufukuzwa chamani. Na unapotaka kupambana na...
Kkwenye kesi ya Lissu kuna Wakili anaitwa Ajuaye. Naye niliskia akihoji maswali ya dodoso. Nimeshangaa serikali kuleta wakili kama yule. Ina maana yale ndio majembe ya serikali au nu kishoka tu?
Kuna viongozi wanaotoka upande wa Tanzania bara katika serikali hii ya awamu ya sita chini ya Raisi Samia ambao wananchi wa Tanzania bara wanawaona kuwa wasaliti wakubwa wa Tanzania bara, au kama wanavosema "wasaliti wa Tanganyika".
Siku ikifika yakawakuta ya kuwakuta msije mkamlaumu mtu, kwa...
Kuna maswali yanakuja kichwani kwangu bila majibu. Rais wa Uganda anampokea kwa itifiki ipi je ni ya kiserikali au huyo bwanamdogo ni mfanyabishara au mwanasiasa au balozi wa hii Serikali? Mwenye ufahamu tafadhali maana nachanganyikiwa.
Wakuu salamu. Nilikuwa mwajiriwa wa sekta binafsi ambapo michango yangu ilikuwa ikienda NSSF, sasa nikafanikiwa kuhama huko mwaka 2023 nakuhamia serikalini ambapo mfuko wangun kwa sasa ni PSSSF. Lakini kule NSSF nina michango yangu, hivi nauliza kuna namna naweza nikapewa hiyo michango huko...
Kero yangu ni kuna kampuni inauza viwanja inaitwa Landmatrix Ltd walikuja ofisini kwetu na kutueleza kuwa wanauza viwanja vilivyopimwa maeneo mbalimbali mnamo mwaka 2024 kwa wakati huo walikuwa na mradi eneo la Vikonje 'BM', Dodoma.
Malipo yalikuwa ni kwa awamu ndani ya miezi 24 na makubaliano...
Kibosile wa Mamlaka ya Mbegu " akikagaua" mbegu huko Arusha.
Jamani tuwe serious na kazi.
Mtu anakagua kavaa suti ya ofisini
Viatu si vya kwendea shambani
Tai juu
Mkononi simu
Kwa watu tulio sekta za Field tunajua ukaguzi wa kina unahitaji nguo za Field, zinazoendana na hali hiyo.
Hapo kama si...
Dar es Salaam, 1 Julai 2026
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inapenda kuufahamisha Umma wa Watanzania kuwa tarehe 30 Juni 2026, imekabidhi Serikalini mchango wa TZS 61,053,535,363 ikiwa ni fedha za makusanyo yake katika kuunga mkono jitihada za Serikali ya Jamuhuriy a Muungano wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Soma Hapa👉Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Balozi Simon Sirro amesema baadhi ya Viongozi wanapokuwa Serikalini hujikuta wakijisahau na kufikia hatua ya kujiona kuwa wao ndio kila kitu.
Sirro ametoa kauli hiyo leo Juni 26, 2026 wakati wa kumuaga aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa...
Kesho kuna kufa na mna kila kitu na kila mtakacho.
Maana kuna watu dunia hii wanaona kifo sio seheemu yao.
Hapa nauliza hizi familia duniani ambazo zinakufa kwa aibu au kuondolewa kwa lazima.
Tujifunze maisha ya nyama na roho.
Sio simulizi ni ukweli ndani ya nchi ya uganda.
Vyeo vya uganda tena upande wa polisi unavipata kwa ku deal na wapinzani.
Ndio maana wakistaafu kuna mawili wauliwe au wabaki kujiona wametengwa.
Habari wakuu! Natumai mko poa kabisa
Moja kwa moja kwenye mada hapo juu
Ni mafao gani anayostahili kupata mtu qmbaye kafukuzwa kazi serikalini kwa kosa la kinidhamu?
Naomba kuwasilisha wakuu
"Mama Manyema" anayefanya biashara ya Chakula kariakoo, ana siri kubwa!
1. Hana fremu wala kizimba!
2. Hajapima afya kama miongozo ya afya wala hakaguliwi.
3. Haijulikani anapopikia kwakuwa huleta chakula kwa kirikuu na toroli/guta toka Temeke Sudani!
4. Mama hatoi risiti wala hana leseni ya...
Ni miezi sita kasoro sasa tangu ajira yangu ya mkataba Serikalini ikome. Mwezi wa nne nilifanya maombi ya mafao ya special lump sum nikiwa na baadhi ya wafanyakazi wenzangu, ambao baada ya takribani mwezi mmoja tu walifanikiwa kupata mafao yao.
Changamoto ni kwangu tu, sijui kuna shida gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.