Rais Samia awataka JWTZ kuwa tayari kuwakabiri watakao leta fujo kwenye chaguzi zijazo 2024 na 2025

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,402
74,010
Alikuwa akiwahutubia wanajeshi wa JWTZ kukaa standby kukabiliana na uvunjifu wa Amani katia chaguzi zijazo. Amesema hiyo haina maana kuwa kutakuwa na uchaguzi wa vurugu, bali kujiweka tayari.

1. Polisi kwahiyo hawawezi kwa maana vurugu zitakuwa kubwa? Ana hofu ya nini?

2. My worries: mama anahofia nini? To me ni kuwa WATAIBA KURA KAMA MAGUFULI lakini anajua kuwa safari hii haitawezekana kirahisi na hivyo , watu wako tayari kuanzisha KAMKUNJI na hivyo kutumia JWTZ!

I stand to be correct on my worries
 
Mimi nikimaliza kupiga kura, huyooo nyumbani. Siwezi kupigwa virungu nitolewe ndulundi, wala kupigwa mitama nivunjwe miguu, eti kwa sababu namgombelezea tundu lisu aingie ikulu. Siwezi kufanya ujinga wa hivyo!
 
Back
Top Bottom