fremu

Modthryth, Thryth ('strength', cf. Old Norse Þrúðr, the daughter of Thor), and Fremu are reconstructed names for a character who figures as the queen of King Offa in Beowulf.

View More On Wikipedia.org
  1. Kitomai

    JamiiForums Tanzania Kariakoo – Fremu ya Wakala Inapangishwa

    Fremu kwa ajili ya M-Pesa, Airtel Money, Mix by Yas inapatikana Msimbazi Rd, karibu na Kituo cha Polisi Msimbazi. 📞 Kwa bei na maelezo zaidi: Call/WhatsApp 0784 225 000
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Maisha yako ni kama Fremu… Finishing unafanya mwenyewe

    Kuna tofauti kubwa kati ya kuwa na "nyumba" na kuwa na "makazi". Maisha ya mwanadamu yanapoanza, tunapewa fremu (frame). Hii fremu ni msingi—pengine ni kule ulikozaliwa, jina ulilopewa, au elimu ya awali uliyopata. Lakini uzuri wa hiyo nyumba, nakshi zake, na thamani yake ya ndani inategemea...
  3. aBuwash

    JamiiForums Tanzania Napangisha fremu ipo Songea Mjini kabisa ugabe sehemu yenye mzunguko mkubw wa biashara

    Habari za saiz wadau wa jf, Kama kichwa Cha habari kinavosema, Napangisha fremu ipo SONGEA ugabe mjini kabisa. Fremu ni mpya yakuchangamkia maana songea kupata fremu sio kazi ndogo haswa ukifika mwez wa tatu kutokana na MZUNGUKO wa BIASHARA KILEMBA NI MILLION MBILI KODI NI LAKI MBILI KWA MWEZI...
  4. fact only

    JamiiForums Tanzania Fremu ya kuuza viatu kariakoo

    Habari wakuu . Kama unahitaji kufanya biashara ya viatu kariakoo Kuna fremu inaachiwa Kwa sh 500,000 Kwa mwezi imebaki miezi Saba. Mwenyewe anahamia Dodoma hakuna kilemba. Ni kariakoo Mtaa wa muhonda (Msimbazi na muhundo opposite jengo la DDC) karibu.
  5. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kupata Leseni ya Biashara ya Duka la fremu

    Umuhimu wa Leseni ya Biashara kwa Duka la Rejareja Inatambulisha biashara yako kama halali. 2. Inakusaidia kuepuka kufungiwa biashara na mamlaka husika. 3. Inakupa nafasi ya kupata mikopo, zabuni, na tenda mbalimbali. 4. Ni nyaraka muhimu ya kuanzisha akaunti ya biashara na kufanikisha...
  6. youngkato

    JamiiForums Tanzania Kwanini biashara nyingi za fremu zinafilisika haraka?

    KWANINI BIASHARA NYINGI ZA FREMU ZINAFILISIKA HARAKA? Biashara ya fremu ni ile unakodisha chumba/sehemu sokoni au mtaa fulani, unaweka bidhaa zako na unasubiri mtu apite anunue. Hii biashara huonekana kama “ndio biashara halisi” – ila ukweli ni huu hapa 👇🏾 1. Biashara nyingi za fremu hazifiki...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta fremu ya biashara

    Natafuta fremu ya biashara maeneo ya temeke kodi isizidi 100k
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji fremu za biashara Iringa mjini

    Habari wadau nina shida na fremu ya biashara Iringa Mjini
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara acheni tamaa ya uchumi wa fremu na uchuuzi kila mahali

    Tamaa za Wafanyabiashara kufikiria kila mahali Panamanian kuwa na fremu na kufanyia uchuuzi ni janga kwa taifa hili na ndio imesababisha hata Dar es Salaam kukosa open spaces za umma. Shule sio kitu cha kupunguzwa bali kuongezwa kila mahali, ni bora mngependekeza makanisa na misikiti kupunguzwa...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka ijayo itakavyokuwa ni kwamba tatizo sio fremu bali kipi utafanya kwenye biashara hiyo

    Miaka ya nyumba sehemu zikufanyia shuguli zilikuwa ni chache ila mda ulipofikia miaka 2000 kusogea biashara nyingi zimeongezeka na kupelekea fremu kuwa chache na wenye nyumba kupandisha kodi kila kukicha. Kwa miaka ijayo kila mmiliki wa nyumba anataka kujenga fremu nyingi kwa sasa unakuta...
  11. fact only

    JamiiForums Tanzania Usiogope kwa 200,000 mpaka 250,000 unapata fremu ya biashara kariakoo.

    Habari wana JF it's another beautiful day. Thread hii inahusu kariakoo, Kuna watu wanahitaji/tamani kufanya biashara Kariakoo lakini wanahofia bei za fremu lakini pia hawajui wanaanzia wapi kupata fremu za kufanyia biashara kama za kuuzia nguo, viatu, urembo, vyombo, huduma za kifedha kama...
  12. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Biashara ambazo unaweza kuanzisha bila FREMU na jinsi ya kuzianzisha!

    Biashara ambazo unaweza kuanzisha bila FREMU na jinsi ya kuzianzisha! Maisha ni magumu, na najua kuna wakati unatamani kufanya biashara, lakini ukijiangalia, mtaji ulionao ni mdogo, hivyo huwezi kupangisha fremu na kununua bidhaa. Kuna biashara nyingi unazoweza kuanza bila kupangisha fremu...
  13. fact only

    JamiiForums Tanzania 85,000 tu unapata Fremu ya biashara Kariakoo

    Habari wana JF. Thread hii inahusu KARIAKOO. Kwanza kabisa naomba nianze Kwa taarifa kutoka EACLC UBUNGO. "Uongozi wa kituo Cha biashara Cha kimataifa Ubungo umetangaza Kodi ya duka EACLC UBUNGO inaanzia shilingi milioni moja za Kitanzania(1M Tsh)". Hivyo Sasa Ndugu zangu naona Kuna Story...
  14. fact only

    JamiiForums Tanzania Mnaohitaji fremu Kariakoo karibuni

    Kwa wale wote wanao hitaji fremu Kariakoo karibuni sana {Hakuna kulipia kilemba wala ujanja ujanja mwingine hivyo msijali kabisa kabisa}. MFANO (Kuna video Hapo chini). Hii ipo mtaa wa msimbazi/muhonda jirani na makao makuu ya Club ya Simba/Sandaland the only one kariakoo. Bei...
  15. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Tumekuwa na hofu, kwa fremu za chini ya ardhi, kikosi maalum kifanye ukaguzi wa majengo yote kko, kwa Ada ya 2.5ml,kwa kila jengo!

    Ni hekima iliyo kubwa hasa kwa ili lililotokea mamlaka husika zikapitia majengo yote kariakoo kwa ukaguzi wa kina, kuanzia ngazi ya uimara wa nguzo na mengineyo ili kutupa moyo sisi wafanyabiashara kuzama kwenye maduka ya underground, napendekeza kila jengo baada ya kukaguliwa likawekwa sticker...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Fremu inapangishwa Gongo la Mboto, haina udalali

    Habarini Wana JF nmeamua kuwaletea Fursa ya fremu ya Barabarani ambayo Haina udalali Wala nini unawapigia Moja kwa Moja wahusika. Fremu iyo Kodi kwa mwezi ni laki 5 -Ipo G/mboto kabisa Karibu na barabara ya kuelekea mjini pia Ina mazingira mazuri -Ipo juu ghorofa ya kwanza ni kubwa na nzuri...
  17. Melki Wamatukio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wamiliki wa fremu Sinza zenye tisheti mbili tu na kiyoyozi, tunaombeni siri ya urembo

    Inashangaza sana ndugu zanguni. Unakutana na fremu ina tisheti 2 na jinzi moja lenye mitatuko, pembeni kuna kepu imening'inizwa. Fremu lenyewe la kioo halafu full kiyoyozi. Mhuni aliyepanga fremu hiyo amechili tu akiwa na smartphone yake anaperuzi, muda huo meno nje nje. Nje imepaki BMW Unaamua...
  18. BONNIE GOLD

    JamiiForums Tanzania Gharama ya kujenga fremu za biashara

    Habari zenu wakuu Naomba msaada wa kupata roughly mchanganuo wa kujenga fremu tatu za biashara, ukubwa wa 2.5m x 2.5, Kuanzia msingi mpaka juu. Mfano wa fremu ni hizi chini hapa. Eno lipo Dar Asante sana
  19. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwa location ya fremu hii ya bure niuze hardware au chips

    Location ilipo fremu ambayo nimepewa niifanyie kazi na mzee wangu bure bila kuilipia imezungukwa sio mbali sana na taasisi zifuatazo stand, shule, college, dispensary,ofisi za maji na iko barabara kuu. 1.HARDWARE (Vifaa vidogo vidogo vya umeme na maji) Advantage: -Connection ya mafundi na mimi...
Back
Top Bottom