mkuu wa majeshi

  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Maneno machache ya mkuu wa majeshi

    "Mh Paul Chacha amevikosea sana vyombo vyetu vya ulinzi na usalama" -Jeneral Mkunda. Sasa watanganyika wanahoji kwa kizungu.. What next!? Au ndio basi imetosha?
  2. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo mkuu wa Majeshi CDF atafurahi ikiwa Lissu atakutwa na hatia? Asee

    Ameongea Kingai na huu ni mfano wa watumishi wetu wa umma. Mahakama imedharauliwa na jeshi letu limechafuliwa na Kingai. Sifikirii kama maneno hayo ameyatoa kwa niaba ya CDF ama amejitungia. The only
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea endapo Mkuu wa Majeshi na Mkuu wa Jeshi la Polisi hawatoitikia wito wa mahakama kesi ya Uhaini ya Lissu?

    Kisheria kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi ni kuwa Jaji kupitia Mahakama ana namna mbili za kuwahukumu endapo hawatofika Mahakamani. 1- Mahakama inaweza kutoa hati za kuwakamata ingawa inategemea na mazingira ya shauri na Mamlaka ya Mahakama ama sababu walizotoa hazina mashiko. 2- Adhabu...
  4. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi akikataa wito wa Mahakama, mtamfanya nini?

    Inadaiwa Mkuu wa JWTZ CDF Mkunda, hajapendezwa na kuitwa kwake Mahakamani. Wote tunajua Jeshi letu lilivyo na kashifa miaka nenda rudi. Kwanza tutamuuliza kama anaumizwa na ufisaidi. Na kama alimfuatilia Luteni Jenerali Abdulrahman Mgonja Shimbo. Je, kama kweli akikataa wito wa mahakama Kuu...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa majeshi (CDF) na IGP wakienda mahakamani Lissu atahukumiwa kunyongwa

    Kwenye hii kesi kama CDF na IGP watakubaliwa na serikali kwenda mahakamani kuwa mashahidi basi hukumu itakuwa tayari imeshaamiluwa tayari kwamba Lissu apewe adhabu ya kunyongwa au kifungo cha maisha. Ila hatanyongwa akihukumiwa hivyo (na pia hata akipewa kifungo cha maisha), atapewa msamaha wa...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini ya Lissu: Heche aendelea kutoa ushahidi Mahakamani siku ya pili

    Baada ya jana Septemba 9, 2026 Makamu Mwenyeekiti wa CHADEMA Bara, Joun Heche kupanda Kizimbani na kuanza kutoa ushahidi wake katika Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyeekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu na leo tena anaendelea. Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo Septemba...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi, Mkunda: Ugaidi kwa Tanzania mpaka sasa hali ni shwari

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob Mkunda amebainisha kuwa hali ya ulinzi na usalama nchini Tanzania bado ni shwari dhidi ya matishio ya ugaidi. Hata hivyo, amesisitiza kuwa kwa vile ugaidi ni "uhalifu wa kuvuka mipaka," Tanzania haiwezi kujitenga au kujiona kama kisiwa. Ameeleza kuwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wazee wa CCM na Wakuu wa Majeshi shinikizeni kuachiwa Tundu Lissu

    Tanzania kwa sasa inaviashiria vyote vya kuelekea kwenye failed state na vita ya wenyewe kwa wenyewe, anayezuia nchi hii isiingie kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe ni Tundu Lissu kwa sababu hajawahi kuwaambia Chadema watafute silaha. Licha ya Tundu Lissu kuwa mwanasiasa machachari ila ameamua...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa jeshi la IRGC jenerali Ahmad Vahidi auawa na shambulio la jeshi la Israel

    ELIMINATED: General commander of IRGC Islamic force Ahmad Vahidi has been eliminated by the Israeli Defense Forces. He threatened to teach America a lesson that they will not forget, he said that all the American soldier in gulf will be k!lled . He is the person that wanted to arr@st the Iranian...
  10. L

    JamiiForums Tanzania CDF Jenerali Jacob Mkunda: Nchi Haijengwi Na Wahuni na Mateja

    Ndugu zangu Watanzania, Hiyo ni Kauli nzito iliyotolewa na Mkuu wa Majeshi Ya Tanzania. Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ), Jenerali Jacob Mkunda, amesema Taifa imara halijengwi na Watu wanaojihusisha na vitendo vya utapeli, ugomvi, uhalifu na uvunjifu wa sheria, huku akisisitiza kuwa...
  11. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Kujiuzulu kwa mkuu wa majeshi Gambia kumefichua mvutano mkali wa kisiasa na kiusalama, Gambia yatikiswa

    👉 Taarifa za ndani zinaonyesha kujiuzulu kwa Mkuu wa Majeshi wa Gambia kumetokea katika mazingira ya msukumo mkubwa wa kisiasa na kiusalama. 👉 Vyanzo vya karibu na Ikulu vinadokeza kuwa hatua hiyo haikuwa ya kawaida, bali imechochewa na mnyororo wa tuhuma zinazomzunguka. 👉 Ingawa...
  12. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi ya Israel ahutubia makamanda na wakuu wa vikosi vya IDF!!

    Mkuu wa Wafanyakazi, Eyal Zamir, alishiriki leo katika mkutano wa kamandi ya juu ya IDF, ambapo alihutubia mkutano huo. Maelezo Muhimu aliyoyatoa IDF ni jeshi la Nchi ya Israeli, jeshi lililojengwa juu ya maadili na nidhamu ya hali ya juu. Hata baada ya zaidi ya miaka miwili na nusu ya mapigano...
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa majeshi ya Israel Eyal Zamir ayaagiza majeshi yake yakae tayari kwa vita

    Mkuu wa Wafanyakazi wa IDF, Eyal Zamir, anadaiwa kuagiza utayari mkubwa wa kijeshi kwa ajili ya uwezekano wa kurudi vitani na Iran kufuatia kuvunjika kwa mazungumzo kati ya Marekani na Iran nchini Pakistan. Agizo hilo linajumuisha kupanua benki zinazolengwa, kuandaa vifurushi vya mgomo, na...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Mkuu Wa Majeshi Mstaafu Jenerali Venance Mabeyo Ammiminia Sifa na Pongezi Paul Makonda Kwa Uchapakazi wake Uliotukuka. Ampa Baraka na Nasaha

    Ndugu zangu Watanzania, Mwamba Paul Makonda Ataendelea kung'aa Kiuongozi ,kushika nafasi nyeti ,kupaa kiuongozi Kutokana na uchapakazi wake uliotukuka na wa kuleta matokeo chanya na ya haraka. Huyu Mwamba ni kama amekuja kwa kazi maalumu hapa Duniani. Ni mtu ambaye ukimpatia kazi anaifanya...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Kama Mohammad Mwenyewe Alisema Kuwa Alitokewa na Shetani au Jini Pangoni, Kwa Nini Watu Wengine Walimlazimisha Aamini Alikutana na Malaika?

    Simulizi la awali la Muhammad kwa mkewe lilikiwa kwamba alipokuwa pangoni Hira, alitokewa na kiumbe wa ajabu ambaye aliamini alikuwa shetani au jini, huyo kiumbe alimwambia asome, akasema yeye hajui kusoma, yule kiumbe akaanza kumbana na kumwachia, akirudia tena na tena, akimlazimisha asome, na...
  16. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi wa Israel Eyal Zamir awaonya maadui wa Israel wanaotaka kuishambulia nchi yake

    Mkuu wa Wafanyakazi Eyal Zamir: "Tuko tayari kushambulia kwa nguvu kubwa katika eneo lolote na dhidi ya adui yeyote anayetishia usalama wa Taifa la Israeli." Ameongez salamu hizi ziwafikie Hamas, Hezbollah, Houth na Bwana wao Iran.
  17. L

    JamiiForums Tanzania Picha bora ya kufungulia mwaka kutoka kwa Rais Samia na Mkuu wa Majeshi

    Ndugu zangu Watanzania, Hii ndio picha Bora ya kufungulia Mwaka,picha iliyoteka hisia za watu ,picha iliyoleta tabasamu kwa watu,picha iliyoleta furaha mitaani kote. Picha iliyoamsha matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania. Picha iliyoonyesha utii , unyenyekevu na Heshima mbele ya...
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Samia akutana na kuzungumza na Viongozi wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Ikulu Ndogo ya Tunguu

    Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Viongozi wa Wizara ya Ulinzi, Jeshi la wananchi na Jeshi la Kujenga Taifa, Ikulu Ndogo ya Tunguu - Zanzibar Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania...
  19. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Huyu ndo Mkuu wa Majeshi ambaye watu wanaweza kujivunia kuwa naye

    Ni General Dan Caine, mkuu wa majeshi ya Marekani [Chairman of the Joint Chiefs of Staff]. Nimemtazama na kumsikiliza leo kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika baada ya operesheni ya kumkamata Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ilipomalizika kwa mafanikio...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi Jeshi la Libya, Mohammed Ali Ahmed afariki dunia Jumanne baada ya ndege aliyokuwa akisafiria kupata ajali

    Mkuu wa Majeshi ya Jeshi la Libya, Mohammed Ali Ahmed Al-Haddad, amefariki dunia Jumanne baada ya ndege aliyokuwa akisafiria kuanguka muda mfupi baada ya kuondoka katika mji mkuu wa Uturuki, Ankara. Taarifa hiyo imetolewa na Waziri Mkuu wa serikali ya Libya inayotambulika kimataifa, ambaye...
Back
Top Bottom