wanajeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bima ya Afya ya Jeshi(JWTZ) haitusaidii Wanajeshi na Familia zetu

    JWTZ limeanzisha bima ya afya kwa ajili ya wanajeshi na familia zao ila bima hiyo imekuwa na msaada mdogo sana ukilinganisha na fedha ambazo tunachangia kwa mwezi kitoka katika mishahara yetu. Masharti ya kunufaika katika bima hii ni mengi sana kiasi kwamba wanufaika wanashindwa kunufaika nayo...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Julius Ntatiro mkuu wa wilaya huko Shinyanga kuvamia nyumbani kwa mwananchi akiwa na polisi saa tano usiku sio cha kiungwana

    Mkuu huyo wa wilaya huko Shinyanga ameonekana kwenye taarifa ya habari ya ITV saa mbilu usiku huu akiwa ameambatana na polisi. Julius Ntatiro mkuu wa wilaya ameonekana akiwa nyumbani hapo na kumpigia simu baba wa nyumba ambaye hakuwepo kwa lengo la kumuuliza kwanini anataka kumuoza binti yake...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ndani ya wiki 2 wanajeshi 100 wa Marekani wamejeruhiwa huku idadi kamili ikifichwa

    Ndani ya wiki mbili pentagon wamesema wanajeshi 100 wamejeruhiwa na watatu kuuliwa. Lakini ripoti zinasema pentagon wamekuwa wazito na slow kwenye kutoa takwimu halisi huku idadi kamili wakificha kwa hofu za kiusalama. Iran ilishambulia kambi za marekani zilizopo kwenye nchi za ghuba ya uajemi.
  4. dronedrake

    JamiiForums Tanzania CENTCOM imekiri kuuliwa kwa baadhi ya wanajeshi wa kimarekani kadhaa nchini Jordan baada ya mashambulizi ya makombora balistiki ya Iran usiku wa Jana

    Wanajeshi wawili waliokuwa wanatumikia jeshi la Marekani chini Jordan, wameuwawa kwa makombora ya balistiki ya Iran yaliyovurumishwa usiku wa jana kwenye kambi kadhaa za Marekani Mmoja wa wanajeshi hao haonekani alipo mpaka muda huu Ikumbukwe, jeshi la ulinzi la Jordan ilisema lilifanikiwa...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Walipokusanyika wanajeshi wao ndipo tulipopiga makombora yetu.- Iran 🇮🇷

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) limedai kufanya mashambulizi ya pamoja kwa kutumia makombora na ndege zisizo na rubani (drones) dhidi ya rada ya mfumo wa ulinzi wa C-RAM katika Kambi ya Ali Al Salem nchini Kuwait, pamoja na eneo lililodaiwa kuwa mahali pa mkusanyiko wa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi na Polisi wametanda kila kona Dar

    Vyombo vya ulinzi na usalama vikiendelea na doria kuhakikisha usalama Sikukuu ya Sabasaba Julai 7, 2026 mkoani Dar es Salaam kufuatia Maandamano yaliyopangwa kufanyika leo
  7. C-C Daily Stories

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi mnapokuwa kazini kuweni makini, ona Civilian-Coin anacho wafundisha

    Watch
  8. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kamsikilizeni rais wa Botwana duma Fideon Boko akiongea kwa busara na wanajeshi wa Botswana juu ya kuepuka violence dhidi ya raia wasio na silaha

    Rais Duma Boko alikua anaongea na wanajeshi wa jeshi la ulinzi la botswana (jwtz yao) jinsi ya kuepuka kuuwa raia wasio na hatia na wasio na silaha pia kuwadhuru wenza wao pindi kukitokea kutokuelewana aisee ile hotuba ni kiboko hakika wenzetu wana marais. nimewaonea wivu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanajeshi wa Marekani wanastaafu utumishi mapema?

    Naomba wajuvi wa mambo wanasaidie nifahamu ni kwanini wanajeshi wa marekani wanastaafu mapema ukilinganisha na huku kwetu?
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais Kim Jong Un awasifia wanajeshi 'waliojilipua' kuepuka kukamatwa na Ukraine

    Rais wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amewapongeza wanajeshi wa wa nchi hiyo waliojitoa uhai kwa kujilipua wakati wakiipigania Urusi dhidi ya Ukraine, na kuthibitisha sera inayoshukiwa kwa muda mrefu kwenye uwanja wa vita. Katika hotuba yake wiki hii, kiongozi huyo wa Korea Kaskazini alisema wale...
  11. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa IDF waliangusha ndege isiyo na rubani ya Hezbollah

    Ushujaa halisi wa IDF. Wanajeshi wa IDF waliangusha Drone ya Hezbollah iliyokuwa imebeba mabomu, wakati huo huo askari wa IDF walikuwa wanahamisha majeruhi kutoka Mstari wa mbele kuwapeleka hospitali (Emergency-Evacuation)wanajeshi hao waliojeruhiwa kwenye mapigano huko kusini mwa Lebanon.!!
  12. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu alikutana na Wanajeshi na Makamanda Wakristo

    Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu alikutana na wanajeshi Wakristo na makamanda kutoka kwa vitengo mbal8mbali vya IDF. Maelezo muhimu kutoka kwa kauli yake: Hili ni kinyume kabisa na kile kinachoenezwa huko nje. Sio tu kwamba Israeli inapigania haki za Wakristo kote Mashariki ya Kati...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Iran kuvua magwanda na kukaa kati ya raia kuwa kinga dhidi ya mashambulizi ni uhalifu wa kivita na hao raia watahesabiwa kama jeshi

    Baada Irgc kushindwa vita wameamua kuwatoa na kuwalazimisha wananchi wao kuwa kafara. Hii inaonyesha hili jeshi ni la kigaidi kabisa, inakuwaje. Wao wabaki kwenye mahandaki wajikinge watangulize wananchi mbele. Hii ni aibu kubwa bahati mbaya hao wananchi watahesabiwa kama magaidi na wanajeshi .
  14. G

    JamiiForums Tanzania Hamna kipindi ambacho wanajeshi halisi wanakifurahia kama wakati wa vita maana ndo wakati wa kuonyesha ujuzi wao kiuhalisia

    Hii ni Siri lakini ndo ukweli Nilipata stori ya mjeda anasema hamna kitu Cha hazuni Kwa wanajeshi kama kukuta JINA lako halijapangwa kwenda vitani wakati wa vita. Sasa hii furaha zaidi Kwa majeshi yenye uwezo kama Marekani mjeda anatamani hata kutoa chochote apangwe vitani. Sio madili ya...
  15. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Ndege ya kijeshi ya usafiri ya Colombia iliyokuwa imebeba wanajeshi 80 imeanguka muda mfupi baada ya kuruka angani

    Jeshi la Colombia limesema leo kuwa takriban wanajeshi 80 wanahofiwa kufariki dunia baada ya ajali ya ndege ya usafiri kusini mwa nchi hiyo. Kulingana na shirika la habari la AFP, likinukuu chanzo cha kijeshi, angalau vikosi viwili (platoons) vilikuwa ndani ya ndege hiyo. Ndege hiyo ilikuwa...
  16. O

    JamiiForums Tanzania Miendo ya kijeshi kama kwata/gwaride, marching, au michezo ya kikosi (drills) inasaidia nini kivita, kikazi zaidi Kwa wanajeshi na askari?

    Tujuzane je INAFAIDA ipi au ni maonesho au kujitofautisha TU na kada zingine? Lete maneno. Afande tujifunze. https://www.facebook.com/share/r/1GW4mzUt29/
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kituo cha rada na Satelite yamelipuliwa Israel. Wanajeshi 140 wa Marekani wajeruhiwa

    satellite station na kituo cha mawasiliano ''radar'' karibu na beit shemesh nchini israel zimelipuliwa na kusababisha moto mkubwa kuwaka siku ya jana mara baada ya msururu wa makombora na drones kurushwa na jeshi la IRGCC. Hali kadhalika pentagon wamethibitisha wanajeshi 140 wa usa...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mossad wamehack simu za wanajeshi na wanausalama wa IRGC na hii ndio meseji wanaowatumia mara kwa mara

    "Silaha zenu hazina thamani dhidi ya mashambulizi yetu ya anga. Mnakufa katika mapigano ambayo tayari mmeyapoteza. Makamanda wenu wamewauza. Wanajificha katika anasa, wakichukua pesa walizoiba, huku nyinyi na familia haziambulii chochote bali makaburi" Castle_Lite mcTobby
  19. W

    JamiiForums Tanzania Lissu akihoji bungeni kuhusu wanajeshi kuteuliwa na kuwania nafasi za Uongozi kupitia CCM

    Maneno ya Tundu Lissu bungeni Jun 19, 2015 wanajeshi wanapewa vyeo serikali na Jaji Augustino Ramadhani kuandaliwa kuwa Rais wa awamu ya tano. Pia Soma Special Thread Kumbukizi: TBT za kauli za wanasiasa zilizobamba na kuzua gumzo kwenye medani za kisiasa
  20. M

    JamiiForums Tanzania Iran - Mkuu wa Usalama wa Taifa, Waziri wa Ulinzi, na Mkuu wa Jeshi wafariki baada ya shambulio la jeshi la anga la Israel

    Katika shambulio la kushtukiza lililotokea leo, Jeshi la Anga la Israel (Israel Defence Forces) limefanikiwa kuwalenga viongozi wakuu wa Jeshi la Iran, kwa msaada wa ushirikiano na Jeshi la Marekani. Mohammad Pakpour – Kamanda Mkuu wa Jeshi kubwa zaidi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC)...
Back
Top Bottom