mwanajeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. T

  Inadaiwa huyu ndiye Moses Lijenge (luhende)

  Nimeona picha ikizunguka mtandaoni watu wanaomba wamuone mahakamani naye apandishwe kizimbani. Narudia tena: INADAIWA kuwa ndiye yeye. Utata umeibuka alipo mmoja wa watuhumiwa katika kesi ya kufadhili ugaidi inayomhusisha Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, aitwaye Moses Lijenge...
 2. sky soldier

  Mwanajeshi aliyemuua Osama amlaumu Biden juu ya hali ya Afghanistan

  akili ya kawaida unatoa kwanza raia wa marekanj na silaha za marekani ndio jeshi linaondoka ila huyu mluga luga katoa kwanza jeshi sijui alitegemea nini. kuna mjeshi wa navy seals aliemuaa osama kamchana Biden juu ya huu upuuzi, silaha za zaidi ya trilioni 180 zimeachwa huko,saizi taliban...
 3. jembejembe

  Askari JWTZ Arusha amuua mfugaji kwa risasi

  Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia askari wa jeshi la wananchi Tanzania, (JWTZ), wilayani Monduli kwa tuhuma za kumuua kwa kumpiga risasi mfugaji, Laisi Lemomo(26)Mkazi wa Kijiji Cha Lashaine wilayani Humo. Akiongea na vyombo vya habari ofisini kwake kamanda wa jeshi la polisi Mkoani...
 4. Dj DON NALIMISON

  Je, wewe ni ASKARI au MWANAJESHI? Jiongezee ujuzi hapa

 5. cocastic

  Nimevutiwa na huyu kaka ila naogopa kazi yake

  Sijawahi kuelewa hii kariba, yaani wanaume wazuri na wenye mvuto wa kiume haswaa wanajiunga na jeshi, nani huwa anawashauri? Na hata kama ni fantasy zao kwanini watu wao wa karibu wasiwazuie? Au hata km kiwango cha elimu hakiwaruhusu kwenda kada nyingine, ni basi waangalie mipango mingine ila...
 6. Prof Koboko

  Hivi Harmonize ni mwanajeshi wa kikosi gani hadi avae nguo za jeshi, anaogopwa?

  Nimeshangaa sana kuona msanii huyu anazunguka akiwa amejiachia na mavazi ya kijeshi wakati Raia wa kawaida wasiokua maarufu wakivaa wanaambulia kipigo na pengine kesi za uhujumu uchumi. Viongozi wa Jeshi letu kwanini wasimchukulie hatua msanii huyu au watolewe ufafanuzi wa mavazi haya? Ni mara...
 7. Jasusi Mbobezi

  Ombi kwa Mhe. Rais: Ikikupendeza mkoa wa Mtwara uongozwe na Mwanajeshi

  Kwanza nakupongeza kwa namna unavyojituma kuitumikia nchi kwa moyo wa dhati na nakupa pole kwa matusi unayolipwa na baadhi ya Watanzania. Hata Yesu alijitoa kwaajili ya wanadamu na hawakusita kumsulubisha kwa aibu, ndivyo tulivyo mzee wangu ila we fanya kazi, Mungu atakulipa. Nirudi kwenye...
 8. Infantry Soldier

  2020 GEORGIA BANK ROBBERY: Mtu mmoja (inasemekana ni mwanajeshi muasi) anawezaje kuwachukua mateka watu zaidi ya 40 kwa wakati mmoja bila kizingiti?

  Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Eti ndugu zangu watanzania; Mtu mmoja (inasemekana ni mwanajeshi muasi) anawezaje kuwachukua mateka watu zaidi ya 40 kwa wakati mmoja bila kizingiti? Polisi katika jamhuri ya zamani ya Soviet ya Georgia walikuwa wakimtafuta jambazi wa benki...
 9. Miki123

  Wanajeshi wa Korea Kaskazini wamchoma moto mwanajeshi wa Korea Kusini

  Wanajeshi wa korea kaskazini wameonyesha mfano wa kutovumilia yoyote anayehatalisha hali ya usalama ya taifa hilo. Wanajeshi wa kim jong un jumanne ya wiki hii wamemchoma moto na kumpiga risasi mwanajeshi wa korea kusini kwenye eneo lenye ulinzi wa hatari DMZ. Mwanajeshi wa korea kusini alikuwa...
 10. Faith Luvanga

  Mwanajeshi mstaafu wa Marekani aliyeishi na VVU kwa miaka 20 bila kufahamu

  Mwanajeshi wa majini wa Jeshi la Marekani amekuwa akiishi na Virusi vya Ukimwi kwa zaidi miongo miwili bila kujijua kutokana na kile anachodai kuwa wafanyakazi afya wa serikali hawakumpa majibu baada ya kumfanyia vipimo mnamo katikati ya mwaka 1995 ambapo wanajeshi wote wa jeshi la majini...
 11. dvj nasmiletz

  Hivi ni kweli Mtumishi wa Serikali mfano Mwanajeshi akifariki mshahara wake unaendelea kuingia?

  Hivi ni kweli mtumishi wa serikali mfano mwanajeshi akifariki mshahara wake unaendelea kuingia? Na kama unaingia ni kwa muda gani? Vipi kuhusu bima pia nayo inaendelea? Hiyo ni kwa waliofariki 1995 kurudi nyuma. Msaada tafadhali ====
Top Bottom