Leo kujiiita eti jeshi la wananchi wananchi ni dharau kwa watanzania. Hili ni jeshi linalo angalia mauaji na kuchekelea ya walala hoi wa kawaida.
Badala ya kulinda mipaka na katiba jeshi linalinda mafisadi tu. Inabidi kufanyike mapinduzi ndani ya jeshi kwanza.
Jeshi linatakiwa nalo lisaidie...
Kumeanza kuchangamka.
Leo nilipita Tengeru askari wa JWTZ katika makundi wakiwa na silaha za kivita wapo mtaani wanazunguka tu.
Ndio kusema maandalizi ya kuelekea, tarehe 7.
Hali kama hii ni kawaida ukiwa nchi kama Rwanda, Uganda na DRC. Huku kwetu hatujazoea sana.
Kisiwa chetu cha amani...
JWTZ ni dhahiri limekubali kujinasibisha na SIASA- ambayo ni kinyume na KATIBA ya JMT ni hatari zaidi kwa ustawi wa TZ.
Kwa mfano kauli ya Msemaji wa JWTZ kusema KAZI na UTU ni kauli ya kisiasa: kupitia ripoti ya Chande dhidi ya mauaji ya halaiki… Oct 29 moja ya sababu alizotoa zilizochochea...
Wanaukumbi.
JWTZ MMESIKIKA NA SAUTI IKO SAWA KABISA YAANI ..📌
JWTZ ambao wanaharakati hasa yule rais wa Hungary Maria Sarungi amekuwa anawahusisha na machafuko na njama za kupindua serikali wametoa kauli.
JWTZ wametoa kauli nzito na ngumu sana kuwa " hawatalinda wanaofanya vurugu na...
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania nini kimewasibu?
Wanatumia salaam za Chama cha Mapinduzi za Kazi na Utu. Halafu wanalazimisha baadhi ya vyombo vya habari vikate hicho kipande cha Salaam za CCM. Nimeshangaa sana.
Pili Maandamano wanaita Vurugu. Je, wanalinda katiba ya Nchi gani...
Hiki ni nini sasa. Sidhani kama ni sahihi.
Jeshi letu ndo la kutoa salaam za kisiasa “Kazi na Utu”?
Hatujavamiwa kutoka nje. Ya ndani waachie vyama vya siasa waminyane majukwaani na CCM. Sidhani kama hii ni sahihi.
Watu wanadai haki na si vinginevyo. Hakuna anayeamini katika fujo. Waambie CCM...
JWTZ mambo yote yanayofanywa na serikali ya kiraia (CCM ) mnayaona mnayafumbia macho kwasasa usalama wa taifa na polisi ni matawi ya CCM ila nyie JWTZ mmeanza kudharauliwa mno kwasasa ile heshima ya zamani hamna tena kwenye JAMII .
Ila tusemayo wananchi ni yakini siku Malawi wakizingua...
Usalama wa Taifa si tu kutokuwepo kwa vita, usalama wa Taifa unahusu umoja wa Kitaifa, Utulivu wa kisiasa, uchumi, teknolojia, masuala ya kijeshi na mazingira.
Chadema kimekwisha kuwa chama cha kitaifa kutumia taasisi za serikali kama Jeshi, polisi na usalama kukizuia kufanya kazi ni...
Kamati ya Kudumu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU), tarehe 23 Juni 2026, ilifanya ziara katika Hospitali Kuu ya Kanda ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Msalato, jijini Dodoma, kwa lengo la kujionea maendeleo ya ujenzi wa hospitali hiyo...
Sitaki kuwa mnafiki ila nchi inapoelekea .Hawa watu washamaliza kama mtajua wenyewe ni wenyewe.Ila palipo na jambo sio mimi.
Msipo kuwa makini JWTZ ndio mtasaidia urusi na mwenye kuuliza mtajuta.
Hii sitaki kuweka wazi maana kuvujisha siri.
Kazi ya kuanza kuwasafirisha Askari wa Tanzania nje ya nchi itaanza siku si nyingi.
Wataenda kusema kila kitu kilichotokea October 29, wapi Watu walifukiwa na vitisho vyote walivyopewa.
Leo Mzee Wassira ameropoka, mpango wao waliokaa wakajadili. According to yeye watawatafuta baadhi yenu na akasisistiza "Tusiwe tunafuga nyoka ndani" hili sio neno la Gen-Z.
Tarehe 29 kuna Askari walioambatana na Waandamanaji wakisubiri kama Wakuu wa baadhi ya Kambi wataingiwa na Ujasiri...
CCM...
Rushwa ni adui wa TAIFA Kwa ufupi naomba nikuonyeshe why nasema Rushwa ni adui wa TAIFA.
1. Rushwa inawanyima wanyonge haki zao. Mnyonge hasikilizwi popote labda awe na rupia ndo atavunja uzia.
2. Rushwa ni chanzo cha maovu yanayotokea kwenye TAIFA.
Mfano:- (a) mtoto kabakwa, baba wa mtoto...
Wakuu naomba kujua kama tayari watu washaitwa zile kazi za zilizotangazwa april 14, 2026 ?
Maana naona tik tok vijana wanapongezana kana kwamba washaanza kuitwa au sisi wengine tuendelee kusubiri tukihitajika tutapigiwa simu kama tulivyoambiwa?
Kama wslishindwa kulinda wananchi hadi kilaza mmoja tu anaamua kufanya mauaji ya kutisha na wao wapo tu kama makuku ya kisasa hawapaswi kutuonesha ujinga ule wa kuvunja matofali.
Iwe mwanzo na mwisho.
Tume ya Chande imeeleza kuwa viashiria vya maandamano vilianza miezi 6 before - kauli hii imehoji uwezo wa TISS, are they really capable na espionnage kubaini na kuchukua neccesary Measure ! -Hii ni Hatari kubwa sana
Kauli ya Chande kuwa kulikuwa na training za watu kujifunza uasi na ulipuaji -...
Habari za zenu wana JF,
Husika na mada hapo juu mimi ni kijana Mtanzania, ambaye nimeona nikajitolee kulitumikia Taifa kupitia Jeshi la Wananchi.
Tangazo nililiona na vigezo vyote ninavyo, ila sasa sijaelewa kitu kimoja ambacho naomba msaada wenu kwa ambao mna uzoefu na hili jambo.
Shida...
Kazi ni kwenu
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetangaza rasmi nafasi za kuandikishwa jeshini kwa vijana wa Kitanzania wenye elimu ya sekondari hadi elimu ya juu, hatua inayolenga kuongeza nguvu kazi na kuendeleza taaluma mbalimbali ndani ya jeshi.
Kwa mujibu wa tangazo hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.