wamasai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Kuna Wamasai bado wanatahiriwa bila ganzi?

    Kuna Wamasai ambao bado wanatahiriwa bila ganzi mpaka nyakati hizi? Kama wapi hao hawawezi kutishika na vitisho vya Sheikh Mwaipopo vya kutahiri watu bila ganzi.
  2. Fbn

    Hivi mchina ambaye ni mkongwe au HR wake anaweza kusema hawa ni wamasai wa ulinzi

    Tafakarini wenyewe kwa umakini na usije shangaa wachina wa marehemu waka wakataa kuwa sio hawa
  3. Melki Wamatukio

    Wamasai wameanza kuogopeka jijini Dar es salaam

    Kufuatia tukio liliofanywa na member wa umasaini la kifo cha aliyekuwa mkurugenzi wa kiwanda cha kuchakata unga wa makopo ya plastiki, baadhi ya watu wanapata hofu wanapomuona mtu akiwa kwenye vazi la shuka, hususan kobeto likiwa linaning'inia pembezoni mwa kiuno Twende kwenye tukio halisi...
  4. R

    Sinza kujengwa upya. Wamiliki waibua maswali

    Just for curiosity: Wamiliki watahamishwa kwenda " Msovera" au watalipwa kupisha wajomba toka Arabuni? Wakati Serikali ikibainisha mpango mpya wa 2026/2046 wa kuliendeleza eneo lote la Sinza jijini Dar es Salaam, wamiliki wa nyumba katika eneo hilo wamehoji ni wapi watakwenda kuishi mpango huo...
  5. E

    Jukwaa la Kutetea Wamasai Lapinga Ripoti za Tume za Rais Kuhusu Ngorongoro

    Jukwaa la kimataifa la kutetea haki za Wamasai, Maasai International Solidarity Alliance (MISA), limetangaza kupinga vikali ripoti mbili za tume za rais zilizowasilishwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan Machi 12, 2026 katika Ikulu ya Chamwino State House. Katika taarifa yake ya Machi 18, 2026, MISA...
  6. stakehigh

    MAKALA MAALUM: Wamasai wa Ngorongoro hawana budi zaidi ya kuondoka

    https://youtu.be/hqK3JMqiY0A
  7. BigTall

    GE2025 Zitto: Kama Wamasai hawasumbuliwi Uraia kwanini Watu wa Kigoma wasumbuliwe Uraia?

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema moja ya ahadi zake ni kitetea Watu wa Kigoma ambao wamekuwa wakipata usumbufu katika suala la Uraia wao. Zitto ambaye ni Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo amesema hayo Jumapili Oktoba 12, 2025...
  8. McLaren

    Polisi waanza msako kuwatafuta Wamasai waliomshambulia dada yao kwa kukataa kuolewa na mwanaume waliomchagulia

    Polisi Nchini Kenya wameanza msako wa kuwatafuta Watuhumiwa watatu Wanaume kutoka kabila la Wamasai huko Nkareta, Kaunti ya Narok Kaskazini, kwa kosa la kumshambulia kwa fimbo Dada yao kisa amekataa kuolewa na Mwanaume waliyemchagua wao. Video ya tukio hili iliyosambaa mitandaoni imemuonesha...
  9. Mashamba Makubwa Nalima

    Wamasai wamekuwa nembo ya Nchi, Ukanda wa Afrika Mashariki na Afrika kwa Ujumla ila leo mnataka kuwashushia Thamani! Huu ndiyo UTU?

    Huwezi ukataka kushusha thamani ya mtu mwingine alafu tukakukalia kimya eti kwasababu ya cheo chako, hilo haliwezi kutokea. Na tutakuthibitishia kuwa haliwezi kutokea. Nchi yetu imejengwa kwenye misingi ya kuheshimu mtu bila kujali kabila lake au dini yake, ila leo mnataka kuleta mgawanyiko...
  10. Mashamba Makubwa Nalima

    Barua kwa Kwanza Kwa Mr. Ebbo: Labda leo Wamasai wangepata mtetezi, shida wanazopitia sio, waliitwa mpaka "waKenya", Huu ndiyo UTU???!!!

    Kwa kinachotokea kwa Wamasai sasa sio UTU kabisa na nakumbuka mara kadhaa tulipokutana uliniambia kuhusu ndugu zako Wamasia unavyotaka kuona wakiheshimiwa kama watu wengine. Leo hamna thamani yoyote, waandishi wa habari hawawataki kuwasikia na kureport taarifa zenu, wanasiasa wanafurahi...
  11. DuaZaMama

    GE2025 Wamasai: Mwinyi Hatuna sababu ya kukupa kura ya kutiki kwa sababu tunaitambua kazi yako

    “Hatuna sababu ya kukupa kura ya kutiki kwa sababu tunaitambua kazi yako” amesema Mmasai akimaanisha kumpa kura Mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Hussein Ali Mwinyi. Amesema watalii wanaokwenda kwenye mbuga za wanyama wanakwenda kuona pia wamasai kwa hivyo hata hapa Zanzibar kuwa uchumi wa...
  12. ndege JOHN

    Wamasai mikanda yenu ya ngozi inadumu Sana mnakosa hela jiongezeni igeni wachina

    Mnatembeza mikanda Katika ma bar watu tumenunuaga mikanda Miaka kumi nyuma huko na bado tunayo.hela ngumu jamani tutanunua mikanda mingapi punguzeni ubora wa mikanda ili angalau kila mwaka tununue mikanda.
  13. The Watchman

    GE2025 Kiongozi wa kimila asema Wamasai wote ni CCM, Wamasai wenyewe wampinga vikali, mmoja asema 'Mimi ni Tundu Lissu damudamu'

    Kiongozi wa kimila wa jamii ya Kimaasai nchini Tanzania, Laigwanan Isack Olekisongo, ametoa wito kwa jamii hiyo kote nchini kujitokeza kwa wingi kupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025, huku akisisitiza umuhimu wa kuwachagua madiwani na wabunge watakaowaletea...
  14. technically

    Samia wamasai Wana ujumbe wako

    Huu ndio ujumbe kwako kutoka kwa wamasai wa Arusha
  15. gcmmedia

    Hizi dawa wanauza wamasai zinatibu kweli?

    Juzi katika pita pita jijini Dar es Salaam nakutana na Maasai mmoja ananiambia aniuzie dawa inaotesha nywele (aliona kipara kinanianza); nimejiuliza hili swali “hivi hizi dawa wanauza maasai zinatibu kweli?” Mwenye ushuhuda aniambie
  16. The Dictator

    Wamasai mnakumbuka mlitambulishwa huko duniani kama "PRIMITIVE"? Hata AI imelikataa neno hili!; HALIFAI!.

    Leo nilikuwa natafakari mambo fulani fulani ghafla nikakumbuka hilo neno (Primitive) ambalo lilitumika katika filamu ya Royal Tour ikitambulisha jamii ya kimasai pale porini. Aah teknolojia imekua sana. Nikavuta simu yangu nikaiuliza akili mnemba juu ya neno hilo kutambulisha maisha ya wamasai...
  17. NYOLODO

    Kuna jimama la kibrazili nimelipata hapa Paje, natafuta namna ya kulipagawisha. Wamasai mko wapi?

    Na kalaga baho Wazee toka nije paje nimevutiwa sana na maisha ya ubichi boi, imenipa ari na nguvu ya kuongeza siksi paki na kushinda na vibukta bichi. Hapa nina mpango nifuge na rasta kabisa Katika pitapita zangu nikakutana na jimama flani hiv "age go" yqni linakula pensheni za pesa hapa...
  18. BLACK MOVEMENT

    Hifadhi ya Taifa ya Amboseli yakabidhiwa kwa kaunt ya Kajiado ili wasimamie, Ngorongoro Wamasai wanatimuliwa kama Paka mwizi

    Amboseli sasa ni rasimi itasimamiwa na kuendeshwa na kaunti ya Kajiado kumbuka hata Masai mara inasimamiwa na kaunti ya Narok ambayo ndio inachukua mapato. Sasa piga picha pale Ngorongoro jinsi Wamasai wanavyo furushwa kama digidigi ili eneo wapewe Waarabu Wajomba. Au jiulize Serengeti...
  19. B

    Wamasai wapewe maua yao kwa kuipenda nchi yao!

    Wamasai ni wazalendo, na masomo ya kiraia wametupa: "Ilikuwa Ngorongoro, tukayasikia Loliondo." Kwa hakika hawa hata kama wangekuwa Gaza, Mossad wangenyoosha mikono. Haipo shaka hawa ndugu wanaipenda nchi yao kuliko wapalestina! Wangekuwa chama, wasingeibiwa kura na katiba waitakayo...
Back
Top Bottom