• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

lowasa

 1. D

  Kuwapa nafasi wagombea kutoka CHADEMA kugombea ubunge na udiwani CCM wakati sisi tulimpigania JPM wao wakiizungusha mikono na Lowassa imekaaje?

  Uchaguzi umekaribia, wale waliotuacha CCM wao wakamfuata mamvi, wakapata udiwani na ubunge, leo hii wameona uchaguzi umefika wanakuja kwa sharti kuwa wapewe nafasi ya kugombea. Je, sisi tulikipigani chama mmeamua kutuweka kando. Au ni mkakati wa CHADEMA kuja kivingine kuchukua kwa sura ya kuunga...
 2. Mpinzire

  Kama mnajua Sumaye na Lowassa walikuja Chadema kuibomoa, kwanini mnaendelea kumtukana Dkt. Slaa?

  Siasa za vyama vya upinzani ni zaidi ya Comedy! Siku zote walikuwa wakimtusi Dr Slaa kuwa alinunuliwa, alisaliti chama wakati muhimu na maneno kedekede ya kebehi, lakini mpaka jana mwenyezi Mungu alituonesha unafiki wa upinzani katika siasa zetu! Eti leo wanatuaminisha SUMAYE na LOWASA...
 3. Kajabila

  Elections 2020 Kuelekelea Uchaguzi mkuu 2020: Tupe tetesi na maoni yako, unapendekeza nani agombee wapi na nafasi gani?

  Amani iwe kwenu!! Tutumie thread hii kupendekeza wale wanaofaa kugombea 2020, Tetesi za watu watakaogombea Mimi naanza na Dr. Tulia, Huyu dada amekuwa msaada kwetu na jamii ya Wana Mbeya kwa ujumla kwani kawasaidia wakina Mama wengi kupata mikopo yenye riba nafuu na vijana wengi kwenda Shule...
 4. Queen Esther

  Kumbe nguvu ya Mhe. Lowasa ni kubwa na ndio ilikibeba CHADEMA kwenye uchaguzi wa 2015

  Habari za jioni wazee wa kuwaza na kuwazua. Katika harakati za uchaguzi wa Serikali za Mitaa vijana wa Mhe. Lowasa wanatamba kuwa wale wapigakura Mil. 6 wote walipelekwa na Mhe. Lowasa Chadema. Na siku aliporudi CCM alirudi nao woteee hata Rostam alidiriki kusema Magufuli aachwe achape kazi...
 5. A

  Mbona Edward Lowasa Arudi CCM?

  Wacha niwe mchambuzi ma maswala ya Kisiasa Kwa Dakika Moja Hakuna Shaka yoyote kwamba kuondoka kwa Mzee Edward Lowasa Kule Upinzani(chadema) na kuelekea Kule CCM kumeitingisha Chadema na kuiacha Mahututi, hata hivyo Ikumbukwe kwamba Mh. Lowasa Kule upinzani alifuata Uraisi,na kwa mtu yeyote...
Top