wakimbizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wakimbizi: Tanzania ni kisiwa cha Amani, tunaomba mzidi kuilinda amani hii

    Jumla ya Wakimbizi 155,811 wanaohifadhiwa katika maeneo mbalimbali nchini wamemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Samia Suluhu Hassan na Watanzania wote kulinda amani iliyopo nchini huku wakiweka wazi madhara ya kutoweka kwa amani ambapo wamejikuta wakipoteza kila kitu na...
  2. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Wakimbizi wa Ulaya kutoka Mashariki ya kati na nchi za kiislamu wana matatizo!!

    Angalia video hapo chini ndipo utajua Wafuga Midevu na Majini wana matatizo sana vichwani mwao!!
  3. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Kwa nini tusifute Vyama vya vya Upinzani haiwezekani Wapinzani wanaishi Kama Wakimbizi kwenye Nchi Yao

    Kuna mambo ukijiuliza unabaki na uzuni. Siasa za vyama upinzani afrika tumeshindwa kuwa wastarabu ni bora vyama vya upinzani vifutwe ?Hii inaonyesha afrika hatuna huwezo wa kuvumilia mawazo mbandala ! Tukajenga nchi zetu? Ni jambo la kusikitisha sana. Vyama vya ukombozi vya afrika baada ya...
  4. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakimbizi wengi wa Kiislamu hawakimbilii kwenye nchi nyingine za Kiislamu?

    85% ya wakimbizi duniani ni waislamu ila hawakaribishwi na hawakimbilii ktk nchi 50 za kiislamu bali huenda katika mataifa wanayayo yaita ya makafir Dini ni illusion. Tuliundwa ili kutegemeana, ila hio dini inayokupasa kukufikisha kwa Mungu ndio hio tena inakutenganisha na wengine hapa duniani...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wakimbizi 4,200 kutoka Burundi waliokuwa wakiishi nchini Tanzania wamerejeshwa nchini kwao kwa hiyari

    Maelfu ya wakimbizi waliokuwa wakiishi nchini Tanzania wamerejeshwa nchini kwao chini ya mpango wa hiyari. Wengi wanasema wanasubiri kukutana na wapendwa wao nchini Burundi na baadhi wamelalamika maisha yalikuwa magumu nchini Tanzania. Pia soma: ~ Hofu yatanda, wakimbizi wa Burundi wadaiwa...
  6. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Hofu yatanda, wakimbizi wa Burundi wadaiwa ‘Kufukuzwa’ Tanzania

    Wasiwasi umeibuka kuhusu kurejeshwa kwa lazima kwa wakimbizi wa Burundi kutoka Tanzania, huku wengi wao wakisema hawataki kurudi nyumbani kutokana na hofu ya usalama na mateso ya kisiasa. Manyanyaso hayo yanaripotiwa wakati Kwa mujibu wa sheria za kimataifa za wakimbizi zikizuia wakimbizi...
  7. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tuwe Mabalozi Wa Amani Hatutaki Kuwa Wakimbizi Wa Nchi Yetu Wenyewe

    My people, Si kila anayetaka amani kwasasa hajaumizwa na yale yaliyotokea 29 Oct na yanayoendelea sasa hivi ikiwemo utekaji Natambua kwa baadhi yenu mnaweza kumuona kila mtaka amani na mpinga harakati za fujo ni adui wa Taifa hili,ukweli ni kwamba kila mpenda amani na mpingaji fujo ni mzalendo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mtu (mmoja) awe sababu ya watu zaidi ya 60M kuishi kama wakimbizi? Uzalendo uko wapi?

    Hivi ni kweli kabisa? Inadhaniwa watu zaidi ya ten thousand wamekufa, ni kwa ajiri tu ya watu wachache waendelee kuwa na vyeo vyao? Na sasa nchi yetu imetengwa na kufungiwa misaada n.k, bado ni kwa ajiri ya mtu mmoja? Embu piga picha, baada ya hapa, maisha ya watu yatakuwaje? Ni kwa sababu...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Jeshi la Polisi lawakamata Wakimbizi 25 na kuwafikisha Mahakamani kwa tuhuma za kufanya vurugu

    Baada ya tukio lililotokea Aprili 29, 2025 ikielezwa kuna baadhi ya Wakimbizi walisababisha taharuki katika Kambi ya Nyarugusu Mkoani Kigoma kiasi cha kusababisha Jeshi la Polisi kuingilia na kutumia mabomu ya machozi kutuliza ghasia, ufafanuzi umetolewa kuhusu tukio hilo Kama hukusoma kuhusu...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Jeshi la Polisi na baadhi ya Wakimbizi Kambi ya Nyarugusu kimenuka, Mabomu ya Machozi yatumika kuwatuliza

    a Aprili 29, 2025, kuna baadhi ya Wakimbizi walisababisha taharuki katika Kambi ya Nyarugusu Mkoani Kigoma ambapo Jeshi la Polisi lililazimika kuingilia na kutumia mabomu ya machozi kutuliza ghasia. Mchongo upo hivi, inadaiwa kuna Wakimbizi katika kambi hiyo walikuwa na Himaya yao na utawala...
  11. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Serikali ianze kufuatilia uraia kuanzia 1994 kuna wakimbizi wengi wamejichomeka kwenye taasisi za umma na kidini haya matamko si bure

    Ukiona mtu anasimama na kuilazimisha serikali kama haina kiongozi kuwa wao ni Alfa na Omega na matamshi yamejaa kibri lazima ujiulize mara mbili mtu huyu ni mtanzania kweli. Tanzania tumezoea kupokea wakimbizi sio kuzalisha wakimbizi..wengi walichochea vurugu nchini mwao hivyo bila kufikiri...
  12. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Kwanini nchi za Kiarabu hazitaki kuwasaidia Waarabu na Waislamu wenzao Wapalestina?

    Peace, Niko na swali dogo ila tata kwa kiasi fulani, hivi inakuwaje watu walio na "umoja na mshikamano katika dini ya Mwenyezi Mungu" wako tayari hata kujilipua mabomu kwa ajili ya dini yao. Wako tayari hata kuchinja watu huku wakiwarecord ili kutetea "imani" yao "tukufu" ila linapokuja swala...
  13. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Sometimes nchi kuchukua wakimbizi linaweza kuwa jambo la hatari sana

    Baada ya Waisraeli kupora na kuwafukuza Wapalestina kutoka kwenye makao yao wengi walikimbilia nchi ya Jordan. Jordan ni nchi ya wakazi wachache hivyo wakimbizi wakawa sehemu kubwa ya wakazi. Wakimbizi hawa wakawa wanaishambulia Israel kutoka Jordan huku wakimshinikiza Mfalme wa Jordan afanye...
  14. kaputula

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuchukue tahadhari kuzuia wakimbizi toka Rwanda

    Kuna kila dalili kuzuka vita kati ya DR Congo na Rwanda. Nchi kubwa ya Congo inaweza kuamua kupigana vita na Rwanda ambayo ni ndogo kabisa kulinganisha na DRC. Mwanzo wa vita pamoja na kiburi na kujiamini kwa watutsi wenye kutawala Rwanda DRC inaweza kuwavuruga vibaya. Pamoja na uzembe ufisadi...
  15. Sina Million 30

    JamiiForums Tanzania Picha Za Wakimbizi zilizotrend miaka ya hivi Karibuni

    Kazi ya UN JF Kati ya Watu Milion 60 «Kuna kitu unakijua HAPO unataka wenzako tuwe wakimbizi Kukijua" Fatima Adam Muhammad fled El Geneina in June 2023 after her teenage son was killed. She and her four surviving sons have found refuge at Aboutengue refug
  16. F

    JamiiForums Tanzania Msaada:Natafuta kazi katika mashirika ya wakimbizi au NGO za masuala ya Afya

    Msaada:Natafuta kazi katika mashirika ya wakimbizi au NGO za masuala ya Afya ELimu: Diploma in Nursing and Midwifery Nina leseni Hai kutoka TNMC ( Tanzania Nursing and midwives Council) as a Registered Nurse Jinsia: Male Email: avicboston@gmail.com PM ipo wazi kwa mawasiliano zaidi...
  17. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Wakimbizi wa Kiarabu ni tofauti kidogo na hawa wa Congo

    Hawa wakimbizi wa Kiarabu pande za Lebanon na Gaza ni tofauti kidogo na hawa wa kwetu huku Congo. Hawa waarabu wanaonekana kila siku wanaoga, nguo safi na wanaonekana wanakula kila siku. Wakimbizi wa Congo malnutrition inaonekana hata ukiwa km 10, watoto wazee wote wamekonda kabisa. Maji ya...
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania haizalishi wakimbizi wengi duniani?

    Kuwa mkimbizi ni kutoka sehemu yako ya asili au unayoishi (comfort zone) kwenda kuishi sehemu nyingine (uncomfort zone) bila hiari yako; umelazima. Kuna aina mbili kuu za ukimbizi; kutoka sehemu zao za asili kwenda sehemu nyingine ugenini ndani ya nchi, na kutoka sehemu zao za asili kwenda...
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Wananchi zaidi ya milioni moja wa Lebanon wafanywa wakimbizi, Israel inaendelea kudondosha makombora

    Mliimba akbar akbar kila mara pale magaidi wa waislamu, Hezbollah walipochokoza Israel, mkaambiwa msitishe maana mkijibiwa msije mkalia, sasa imekua kilio Lebanon, watu milioni moja wakimbia makwao, na isisahaulike humo Lebanon kulikua wakimbizi wengi sana waliotoroka Syria wakitegemea Lebanon...
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Wananchi zaidi ya 100,000 wa Lebanon waikimbia nchi, waingia Sysria kama wakimbizi

    Magaidi ya waislamu, Hezbollah inasababisha shida kubwa sana kwa wananchi wa Lebanon, na mbaya zaidi haya magaidi sio raia wa nchi hiyo, ni majitu yametokea huko mbali yamejawa na mzuka wa kiislamu wa kuua watu. ============= More than 100,000 people have crossed into Syria from Lebanon since a...
Back
Top Bottom