pwani

For the province in Kenya known as "पानी" in Swahili, see Coast Province.Pwani Region is one of Tanzania's 31 administrative regions. The regional capital is the town of Kibaha. According to the 2012 national census, the region had a population of 1,098,668, which was slightly lower than the pre-census projection of 1,110,917. From 2002 to 2012, the region's 2.2 percent average annual population growth rate was the seventeenth-highest in the country. It was also the 21st most densely populated region with 34 people per square kilometre. With a size of 32,407 square kilometres (12,512 sq mi), the region is slightly larger than the U.S. state of Maryland (32,133 square kilometres (12,407 sq mi)).
The region is bordered to the north by the Tanga Region, to the east by the Dar es Salaam Region and the Indian Ocean, to the south by the Lindi Region, and to the west by the Morogoro Region. The word "पानी" (pānī) in Kiswahili means "coast".

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania SHAMBA hekari 8 linauzwa lipo mandera karibu na mizani mtowami Pwani

    Shamba linauzwa lililopo Mandera, karibu kabisa na Mizani ya Wami. 📐 Ukubwa: Ekari 8 💰 Bei: Tsh 2,500,000 kwa ekari 📄 Umiliki: Hati ya kijiji ipo 📍 Google Maps: Google Maps 📞 Kwa maelezo zaidi: 0753447870 Mteja serious tu tafadhali
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Pwani wana staili moja tu ya kucheza ?

    Hivi wanawake wa Pwani uswahilini wana style nyingine ya sanaa ya uchezaji zaidi ya hii ya kubinua makalio juu na kuyatikisa kama feni ya pangaboi?
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mwekezaji kachukua viwanja vyangu vinne Kijiji Cha Msufini Kidete – Mkuranga, Pwani, kila ninapoenda hakuna msaada

    Mnamo Desemba 7, 2022, nilifanya uamuzi wa kuwekeza kwenye ardhi kwa kununua shamba lililopo Kijiji cha Msufini Kidete, Kata ya Mbezi, Wilayani Mkuranga, Mkoa wa Pwani. Ununuzi huu haukuwa wa mitaani tu; nilifuata taratibu zote za kisheria na za kiserikali. Nilisaini mkataba halali mbele ya...
  4. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Kumbe kuna Smartphone ambazo zinatengenezwa Tanzania

    Umeshawahi kujiuliza kama Tanzania tuna kampuni ambayo inahusika na kutengeneza bidhaa mbalimbali za Teknolojia ikiwemo smartphone Yani simu janja 😃. Ndiyo Tanzania Kuna kampuni inayohusika na biashara za simu za mkononi inaitwa Raddy Eletronics ni kiwanda kilichopo mkuranga mkoani Pwani...
  5. online GOVT applications

    JamiiForums Tanzania PWANI: Maulidi abaka Mwanafunzi

    Mahakama ya Wilaya Mkuranga Mkoa wa Kipolisi Rufiji imemuhukumu kifungo cha miaka 30 Maulid Mohammed Mwingi (27) mkazi wa Mkuranga ambaye alimbaka Mwanafunzi wa darasa la sita mwenye umri wa miaka (12) na kumsababishia maumivu makali ya kimwili na kisaikolojia. Mahakama imeeleza kuwa mtuhumiwa...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Pwani siku zote ndio huwa inatawala na kuwa na mamlaka bara, ujanja huanzia Pwani

    Ukifuatilia Historia utagundua himaya na tawala maarafu huanzia au hujikita pwani katika bahari, maziwa na mito mikubwa. Watu wa Pwani mara nyingi ndio huwa chanzo cha civilization, tawala na himaya. Majiji huanzia pwani, kikawaida tu watu wa Pwani huwa wajanja zaidi kuliko watu wa bara. Hata...
  7. figganigga

    JamiiForums Tanzania TANZIA Pwani: Polisi wawili wagongwa kwa mkupuo na kufariki

    Askari wawili wa Jeshi la Polisi, Izdory George Michael na Rehema Juma Magawa, wamefariki dunia baada ya kugongwa na gari aina ya Toyota Noah katika barabara kuu ya Dar es salaam - Morogoro kwenye eneo la Maili Moja, Kibaha Mkoani Pwani. Jeshi la Polisi mkoani Pwani limesema baada ya ajali...
  8. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania Responded HOJA Tuanze na Malori, yaishie Pwani kwenye Dry port , badala ya kupambana na wenye mabasi, kwenda Mbezi!

    Mabasi yapo Maeneo Mengi ya Dar kwenye ofisi zao Binafsi ili kuturahishia Maisha.sio chanzo cha Foleni! Shida ni Yard na Maloli kila kona, Mkuu wa Mkoa aelekeze nguvu zake kwenye Malori na Dry Port zinazooteshwe kila kukichq! Walitengewa eneo lao Pwani, kwanini waendelee kusumbua maisha ya watu...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ukanda pwani kuoa na kuacha ni kama kumsukuma mlevi. Yaani mwanamke anaachika nakuolewa hata mara tano, kwao kawaida sana

    Wadau myimwike, Nimefanya kazi baadhi ya sehemu za pwani, wakati wadau humu wanazungumzia kuoa au kutoa kuoa singo maza Wenzetu pwani hawana stori hizo. Kuoa rahisi kuachana ni rahisi pia hawana mambo mengi. Hao masingo maza wanaolewa kila siku na wanaachika Kila siku. Kumkuta mwanamke...
  10. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kwa nini ni wazi huyu kijana wa Bavicha pwani Katumwa chukua hizi hints za kijasusi

    Guys. Ssi wataalamu wa intelijensia tushajua tayari hilo ni gharasa limetumwa kushambulia. 1 Eyes contacts pamoja na kuongea peke yake mda mwingi alikuwa hajiamini kuiangalia kamera. 2. Kijana ameongea amejawa na wasowasi mwingi kwa ongea yake ya harakaharaka isiyokuwa na...
  11. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Ratiba rasmi ya ziara ya karibu mwenyewe CCM kihogosi kuanzia tar 01 Hadi 03 July mkoa wa pwani

    Ziara hii ya siku tatu ya mkoa wa pwani ni kwaajili Yao pekee na sio vyama vingine. CCM ni zaidi ya shetani
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Muungano ukivunjika kumbukeni Zanzibar maeneo yao Tanga, Bagamoyo, Dar es Salaam hadi kusini mwa pwani.

    Bila kushtuka ila mkianza kufikia kuvunja tuna rudi yale yale ya wapi eneo langu lilipo ishia. Haya sio makusudi ila ndio washajipanga wao. kejeli na ziaka za wabunge wao washajua mikakati yao na kujipanga kabisa kwa lolote. Kuna siku watarudisha mikataba wakidai hizo sehemu na ndo kitovu cha...
  13. the ultimatum

    JamiiForums Tanzania Nauza mitiki yangu, ipo shambani jirani na kijiji cha Kibindu wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani

    Habari za wakati huu. Picha nilizoweka hapo ni mitiki yangu ipo kwenye shamba langu jirani na kijiji cha Kibindu wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani. Natafuta mteja anaefanya shughuli za mazao ya miti au mfanyabiashara wa mazao hayo. Miti yote ina umri sawa ilipandwa mwaka 2007, ina miaka...
  14. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Ukoloni na uvamizi wa kiarabu Pwani ya Afrika Mashariki ulileta madhira sio tu ya kuchukuliwa ardhi na utumwa ila pia ubakaji, ulawiti na castration

    Je hii ndio imekuwa sababu ya kuu ya wanawake na wanaume wa pwani kupenda michezo ya kuingiliana kinyume na maumbile?
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto Sugu ya Ukatishaji Maji na Ucheleweshaji wa Matengenezo Mlandizi (Pwani): Tunaomba Majibu Kutoka DAWASA

    Ndugu zangu wa JamiiForums Wasalaam, Naleta mada hii mbele yenu nikiwa kama mkazi wa eneo la Kata ya Mlandizi mkoani Pwani. Lengo langu kuu ni kuomba hifadhi ya utambulisho wangu (Anonymous), lakini pia kutumia jukwaa hili adhimu kufikisha kilio chetu kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tunasambaza Mbao kavu kwa bei ya jumla kila wiki kutoka Njombe kuja Dar es Salaam & Pwani

    •Unahitaji mbao kwa bei ya jumla na upo Dar ea salaam au pwani? •L & J TIMBER SUPPLIERS tunakuletea mbao kwa bei ya jumla hadi mahali ulipo ndani ya Dar es salaam na Pwani moja kwa moja kutoka Njombe. •Mbao zetu zimekidhi ubora & bei zetu ni nafuu sana. •Kubwa zaidi ni kwamba malipo...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO TANDROADS mkoa wa Pwani, vipande vya barabara visivyo na lami Ikwiriri-Mkuranga ni hatari

    Hawa jamaa, usimamizi wao unatia mashaka. Kiusalama, hali haijakaa vizuri. Kuna vipande vya barabara ambavyo havina lami na hakuna viashiria vyovyote vya tahadhari, jambo linaloongeza hatari ya kutokea kwa ajali. Tafadhali wekeni vibao vya usalama na tahadhari katika maeneo hayo ikiwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Tunasambaza mbao kavu moja kwa moja kutoka Njombe kwa bei ya jumla ndani ya Dar es salaam na Pwani

    KAMA WEWE: •Unauza mbao reja reja kwenye banda lako. •Una hardware pia unauza mbao za ujenzi. •Una workshop kwaajili ya kutengeneza furniture. •Una mradi wa ujenzi na unahitaji mbao za ujenzi kwa bei ya jumla. •Unahitaji mbao kwa matumizi yako mengine kwa bei ya jumla. •Kama upo kwenye...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Mariam Ibrahim Awashukuru Madiwani wa Pwani kwa Kura za Kishindo

    Na Mwandishi Wetu. MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mariam Ibrahim amemshuru Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa , Rais Dk.Samia Suluhu Hassan kwa kupendekeza jina lake na Kamati Kuu ya chama hicho kulipitisha na hatimaye kushinda kwa kura nyingi. Ametoa shukrani hizo kwa...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC wa Pwani, Kunenge aitaka DAWASA kuongeza kasi ya maboresho ya huduma ya maji ili kukidhi mahitaji

    Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Aboubakar Kunenge ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuongeza kasi ya maboresho ya huduma ya maji ili kukidhi mahitaji yanayoendelea kuongezeka kutokana na kasi ya uwekezaji na ukuaji wa viwanda mkoani humo. ‎Kauli hiyo imetolewa...
Back
Top Bottom