badilikeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 2 of Amerikaz most wanted

    Afrika kutia huruma sio solution badilikeni

    Wa Afrika wanajulikana duniani kote kwa ulafi wa madaraka pasipo kufanya maendeleo ya kuridhisha katika nchi zao. Haikubaliki kiongozi kukaa muda mrefu katika uongozi kana kwamba nchi ya baba yenu, Kwamba kwasababu wewe umeingia msituni kupigania nchi ndio huifanye nchi ya baba yako. Umri...
  2. Heparin

    Ofisi za RITA Kinondoni badilikeni, huduma ya kupata cheti cha kuzaliwa ni Mbovu sana

    Nimefika Ofisi ndogo za RITA Kindondoni mida ya saa 1:48 asubuhi kuchukua cheti cha Kuzaliwa cha Mtoto ukiwa umepita mwezi mzima tangu nitume maombi ya Mtandao na kuwa Approved. Kinachoshangaza ni kuwa kwanza hakuna eneo la kutosha kukaa watu wanaosubiria vyeti hivyo. Mathalani, leo imenyesha...
  3. M

    NMB badilikeni

    Imekuwa kawaida watu kukaa kwenye foleni pasipo sababu za msingi, katika hili mnatukwaza wateja wenu. Bank ina madirisha yakutolea huduma hata 4 lakini unakuta hakuna dirisha hata moja linalofanya kazi na wakijitahidi sana ni dirisha moja ndio utakuta linafanya kazi. Badilikeni katika hili, hii...
  4. The thinker27

    Young Africans (Yanga) amkeni logo imekaa kizamani sana ibadilishwe

    Hii logo kusema na ukweli imekaa kizamani sana.kuna muda nikiangalia huwa najiuliza hivi yanga inamiliki mabondia wa ngumi na vilabu vya netball? Jibu ni hapana yanga inamiliki timu ya mpira ya wanaume na wanawake tu sasa hao wengine wanafanya nini hapo..pia huo mkanda hapo chini kama vile...
  5. Magdalene_joseph

    Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

    Nimeolewa mwaka wa Saba mwanaume hakuna maendeleo na pesa anapata zinapoenda anajua mwenyewe. Akinunua vitu vya ndani anajiona kafika. Kazi kulalamika apelekewe maji bafuni kwenye ndoo badali ajenge maji yatiririke kutoka juu au aoge amelala! Kutwa pombe na mahawara. Hawa watoto anaonizalisha...
  6. Kindness_cu

    Baadhi ya wanaume mnapaswa Kubadilika

    Wanaume siku hizi mmekuwa wambea sana kuliko wanawake, mwanaume kabisa unakaa kijiweni unamjadili mwanamke au unataka kushindana na mtoto wakike huo ni ujinga. Mwanaume mzuri hanaga mambo mengi, haongei sana wala hana muda wakuzozana lakini mwanaume una kuwa na gubu nani atakutaka ata ukija na...
  7. Ulongupanjala

    NHIF Tanga badilikeni

    Habari ndugu zangu. NHIF ofisi ya mkoa wa Tanga ni tatizo kubwa hadi muda huu 10:40 wateja bado hawajasikilizwa tunaambiwa wapo kwenye kikao. Shame on you. Sisi wengi wetu ni wagonjwa tunataka kadi zetu tukatibiwe acheni uhuni na kujifanya ofisi ni mali zenu na familia zenu. Vikao fanyeni...
  8. Zombie S2KIZZY

    Wasanii wa Bongo badilikeni, jifunzeni kwa wenzenu namna nzuri ya kufanya show

    Wakuu hii shoo ya badgirl Riri ni noma kwanza mipangilio imepangika mavazi, madensa sound, lights. Yaan ni noma shoo imetulia ina ladha huumii masikio na wala huchoki tazama. Wasanii badilikeni sio kutupigia kelele stejini. Kushoto kulia mara washa light ya simu yako Mara tuimbe woote hata...
  9. Ta-kibombo

    DOKEZO Manispaa ya Kahama mnatia aibu, mji unanuka. Badilikeni

    Kahama ni moja ya miji inayokua kwa kasi sana nchini. Pamoja na hilo, nadhani pia ni moja ya miji michafu sana nchini. Mitaro mingi ya barabarani inatiririsha maji machafu ya bafuni na yakwenye chemba za vyoo. Kuna baadhi ya mitaa ata ukipita kwa haraka unapokewa na harufu kali. Hivi idara ya...
  10. Kiboko ya Jiwe

    Atakayenionesha andiko linalosema mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini nampa laki 1 akale sikukuu

    Wakuu kwema, Kuna laki moja hapa nataka nimpe mtu akale na wana wake. Ili uipate nahitaji uniwekee aya, mstari au sura ndani ya Quran au Biblia inayoonesha mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini au walifungishwa ndoa na Mtume, nabii au Kuhani? Sihitaji Hadithi au andiko...
  11. Kainetics

    Kwa 'Wasomi' wetu: Badilikeni, mnatia aibu

    Niende moja kwa moja kwenye mada ya kichwa cha uzi. Kadri siku zinavyokwenda idadi ya wanaofanikiwa kufaulu mtihani wa kidato cha nne, ule wa kidato cha sita, wale wanao hitimu mavyuoni ambao mwisho wa siku wanakua waajiriwa au wanajiajiri, au wapo tu mtaani, ni kubwa na inayoendelea kukua. Ila...
  12. Carlos The Jackal

    Milioni 3 na mbususu wapi na wapi? Wanawake badilikeni

    Huyu Bidada niliwahifika Ofisi kwake nilikua nahitaji huduma Fulani ivi. Nilivutiwa naye yaan ni ile Tamaa tu kuona ni jeupe jeupe Nene limejaa mahips makalio n.k. Alinipea namba ila kwenye kumuomba Mzigo akawa mgumu, alafu madharau mengi sana Sijui na kunichukulia poaaa Unajua Binafsi huwa...
  13. REJESHO HURU

    CRDB Bank badilikeni

    Niende moja kwa moja kwenye mada utaratibu mpya mliouleta kwa wakopaji ambao ni watumishi wa umma unakera kumbukeni mtu anakuja kukopa kwa sababu mbalimbali ikiwemo na maradhi mfamo leo hii miye mtu ana mgonjwa inaitajika pesa anaona ngoja nikakope CRDB niweze msaidia mgonjwa wangu anakuja kwenu...
  14. Poker

    Hivi wanawake pesa zenu mnapelekaga wapi? Badilikeni!

    Kuna jamaa yangu ni mtumishi na mkewe pia ni mtumishi. Jamaa analipwa 900k na mkewe analipwa 1.3m ila sasa kodi ya nyumba, bili za umeme na maji analipa mwanaume, na bado ujenzi wa nyumba ni mwanaume apambane, ada ya shule ni mwanaume. Hivi majuzi imebidi mwanaume amlipie vikoba mwanamke maana...
  15. Mzee Wa Republican

    CRDB badilikeni mapema, tutawakimbia sana msipoangalia

    Ndugu wanabodi, Heshima sana kwenu. Naomba nijielekeze kwenye mada mohja kwa moja. Tangu niifahamu sekta ya fedha niliiona CRDB kama moja ya benki zenye kasi, ubunifu na hata umakini kiutendaji. Kutokana na hayo niliamua kwa hiyari yangu pamoja na wenzangu kujiunga na benki hii miaka kadhaa...
  16. K

    Bank ya NBC mnazingua sana Simbanking Badilikeni

    Mimi nimekuwa mteja wa hii Bank ya NBC muda mrefu ila very soon nitasepa kama hali itaendelea hivi. Sim banking unaweza kujaribu mara kibao hufanikiwi. Saa ingine mtu una dharura , hela kwenye account unazo ila hazikusaidii. Badilikeni NBC.
  17. SN.BARRY

    Uhamiaji Tanzania badilikeni

    1. Kazi yenu ni kutoa passport sio kujua mtu anaenda wapi. Passport ni haki ya kila mtu. Jifunzeni kutoka nchi nyingine. 2. Sasa hivi Tanzania ajira hamna. Mnanyima watu passport maana yake wafe na njaa wakiwa Tanzania. Jifunzeni kwa nchi jirani. Kenya, Uganda hata Rwanda raia wao wanafanya...
  18. Ritz

    CHADEMA badilikeni kila siku tunawachangia pesa kwa mtindo huu

    Wanaukumbi. Chadema mnapewa onyo kwa barua na Jeshi la Polisi msikusanyike. Mnaiposti barua kwenye Mitandao na kujitapa kwamba tutakusanyika tuone polisi watafanya nini. Polis wanawakamata; mnarudi kwenye mitandao kuomba michango mtoe waliokamatwa daah hii ni biashara au deal la Mbowe na...
  19. S

    NSSF Tanga badilikeni, wahudumu mnaonesha chuki kwa wateja

    Nimefika pale kuulizia huduma fulani lakini hakuna wahudumu wa kutosha (dirishani yupo mhudumu mmoja tu) foleni ni ndefu mno. Chumba kimejaa wateja lakini wahudumu wanajipitishatu na visuruali vyao, majibu yao ya hovyo. Watumishi wa hiyo ofisi wanachukulia wateja kama ombaomba. Hamjui kama kuna...
Back
Top Bottom