Madereva wa Dar es salaam kufungiwa leseni . Hizi sheria ziop lakini huwa hawafuati.
1. Dereva wa Hizi Eicheza za Gongo la Mboto- Masaki, Kawe- Tegeta na Gerezani, wao muda wote wanapiga honi kali bila msingi wowote.
2. Maderva wa bajaji , mbezi -gerezani wao wanaendesha pole pole na wanakaa...
Mikakati ya makusudi ya kukuza utalii wa mikutano (MICE) ndani ya Jiji la Arusha imeanza kuzaa matunda, huku makundi mbalimbali ya kijamii yakishuhudia manufaa makubwa ya kiuchumi kuanzia ngazi ya mtu mmoja mmoja hadi jamii kwa ujumla.
Miongoni mwa wanufaika wakuu ni madereva wa taksi ambao...
Kero yangu ni upande wa Traffic Polisi kwa Mkoa wa Dar es Salaam, hivi kwanini wanakazia sana kupewa rushwa tena wanaomba kiasi kikubwa cha fedha, kikikosekana wanakuandikia fine kubwa ya makosa kuanzia matano.
Changamoto hiyo inawakuta hawa wenye magari na madereva wa Bajaj, mfano sisi watu wa...
Anonymous
Thread
bajaj
barabarani
dar
kutengeneza
madereva
magumu
mazingira
mazingira magumu
waache
Ndugu zangu;
Kila mtu anafahamu wazi,
Kwamba, Askari waliopewa mamlaka za kusimamia sheria za usalama barabarani ni Trafiki police!
Lakini zipo changamoto nyingi sana katika baadhi ya maaskari wa usalama barabarani!
Mfano: Askari Andrew aliyehusika na tukio la kupigana na dereva (Conrad A...
Kila mwezi kuna matangazo ya udereva ajira portal kupitia halmashauri.
Hata kama una degree na bado hujaupload Jitahidi sana utumie udereva itakuwa rahisi sana kwako kuingia kwenye system na kupata check Number
Dereva akimchana live Chalamila
MY TAKE
Chalamila kaagiza Malori yote yanayo egesha kando ya barabara yakamatwe.
Lakini ICD zote zipo kando ya barabara na hazina Parking.
Maseva 50 wanaweza kukutana wote kwenye ICD ili washshe au wapakie. Unategemea nini kitatokea.
Mfano MOFAT saaa hivi...
Kwa sasa kumekuwa na ongezeko la mahitaji ya madereva katika kampuni za usafirishaji, hususan madereva wa malori yanayofanya safari za ndani na nje ya nchi. Hata hivyo, kampuni nyingi zinahitaji madereva wenye uzoefu wa angalau miaka 3 hadi 5.
Kero yangu ni kwamba baadhi ya kampuni hizi...
Jibu ambalo utalisikia mara nyingi si kwamba wanachukia sheria, bali wanahisi wanaweza kubambikiwa makosa au kutozwa faini hata pale wanapoamini hawajakosea.
Badala ya askari kuonekana kama walinzi wa usalama, kwa baadhi ya madereva wamekuwa ishara ya usumbufu na hofu kila wanapoanza safari...
Madereva wa magari ya masafa marefu wameeleza kutoridhishwa na utaratibu unaowalazimu kurejea darasani kila wanapohitaji kuhuisha leseni zao za udereva, wakidai kuwa mafunzo hayo yanajirudia na yanapoteza muda ambao ungeweza kutumika katika shughuli zao za usafirishaji.
Soma pia > VETA...
Kituo cha Police Mkata Kitengo cha Usalama Barabarani kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa maadili ya kazi yaani rushwa pale ni halali yao kabisa ndio sehemu wameona pakupatia hela ukio-overtake pale wanakuweka mahabusu wanakutoa wanakupeleka kwenye chumba chao kuna askari.
Katika hicho kituo...
Anonymous
Thread
barabarani
hizi
lori
maderevamadereva wa lori
rushwa
sana
tuhuma
tuhuma za rushwa
Yani una request halafu unaona simu inaingia mtu anakuuliza upo wapi pengine hata hiyo sehemu huifahamu au nivigumu kuwa na sehemu specific yneye jina .
Bolt andeni semina fundisheni watu wenu jinsi ya kutumia ramani na jinsi ya kumfata mteja kuepusha usumbufu. Mambo ya kupigiana simu na...
Usafirishaji wa sulphur kwenda Zambia na DRC umeongeza shughuli za kiuchumi nchini, lakini baadhi ya madereva wanaeleza hofu kuhusu usalama wao.
Dar es Salaam. Kwa nje, huonekana kama safari nyingine ya kawaida ya kusafirisha sulphur kutoka Bandari ya Dar es Salaam kuelekea Zambia na Jamhuri ya...
Madereva 165 ambao walikuwa wanasoma kozi ya udereva katika Chuo cha VETA Mpanda wameiomba serikali kuingilia kati sakata la kutofanya mitihani yao ya mwisho hadi sasa licha ya muda wa kozi hiyo kuisha zaidi ya mwezi mmoja sasa.
Kumekuwa na tabia ya madereva wa daladala kupaki magari na kupakia abiria nje ya vituo hususani kituo kidogo cha mabasi Keko Bora (maarufu tameco), Maduka Mawili na Serengeti kwa daladala zinazotoka mjini kuelekea Temeke kupitia njia ya Chang'ombe.
Kero hii imekuwa ikisababisha foleni na...
Hapa terminal ya Kivukoni Bus ikitoka Kimara lazima dereva apaki kwa dakika 10 au 20 bila sababu za msingi wakati abiria wapo wa kutosha na kusababissha usumbufu kwa watumiaji. Madereva badilikeni
Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Joseph Mkude amesema Viongozi wanne wa Madereva wamekamatwa kufuatia mgomo wa usafiri uliobuka Mei 25, 2026 Jijini humo.
Akizungumza mbele ya Waandishi wa Habari, Mkude amesema Viongozi hao walikamatwa ili watoe msaada kwanini wamefikia hatua ya kuwaambia wenzao...
Madereva wa Bolt wanakera sana. Unakuta kwenye app imeonyesha nalipa shilingi 3,000, lakini dereva anasisitiza nimlipe 4,000 akidai mara nyingine app ya Bolt huwa inasumbua. Nilimwambia aendelee kumaliza safari (end ride) kwanza, lakini akadai mtandao unasumbua.
Nilipomwambia nitampa hiyo hela...
Kumekuwa na dharau nyingi zinazofanywa na madereva wanaotumia barabara ya kutoka Mbalizi kuelekea Tunduma.
Madereva hao wamekuwa waki-overtake bila kuchukua tahadhari, na mara nyingi wanafanya hivi kama chombo cha moto kinachokuja mbele yao ni pikipiki.
Unakuta dereva anataka ku-overtake na...
Anonymous
Thread
barabara
barabarani
dharau
madereva
mbeya
tunduma
wenye
Madereva tunapata changamoto kubwa pale kwenye Kituo cha SGR kilichopo Stesheni, Dar es Salaam, wanatukamata tukienda kubeba abiria, wanataka tuingie ndani ili tulipie shilingi 1,000, wakati sisi ni madereva wa mtandaoni na pale tunapita tu siyo kwamba tunaenda kuegesha vyombo vyetu.
Namaanisha...
Anonymous
Thread
abiria
buku
dar
hata
kituo
kuchukua
kulipia
madereva
sehemu
sgr
wao
Hii Nchi hakuna kiongozi anayejali Watanzania bali wanajali pochi zao.
Madereva wanateswa, wananyanyaswa, na kubaguliwa huko Kongo, lakini Serikali ipo kimya. Mabolozi wana kazi gani?
Huo Uchumi utakuaje kama Magari ya Tanzania yamawekwa foleni 24/7? Hayo mapato ya bandari mtapataje? One stop...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.