marehemu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kumbe shahidi wa ushahidi wa ziada upande wa Jamhuri kwenye kesi ya Lissu ni marehemu!?

    Kamishina msaidizi wa polisi Amini Mahamba aliyekuwa ameandaliwa na upande wa jamuhuri kwenye kesi ya uhaini inayomkabili Lissu amekufa hata kabla ya october 29 Mwinjilisti Kamara Kasupa amebainisha hayo katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii kuwa kamishina Amini Mahamba ni clasmate...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa dunia ilipofikia marehemu ni dili kwa viungo vyake

    Nikikumbuka uswahilini kuku anachaondolewa ni manyoya na kinyesi vengine vinabaki. Kwa dunia ya sasa ijaweka wazi ila wanadai mwanadamu ambaye kashafariki anaweza kuondolewa viungo ndani ya mda maalumu hata vyote na vikafanya kazi kwa mwanadamu. Tungepata Jokeri.
  3. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Ndugu upande wa marehemu baba wananifelisha kuthibitisha uraia wa marehemu baba ili niweze kupata passport

    Nimezaliwa mtoto wa kwanza kwa mke wa tatu wa marehemu baba, Tangu nakuwa shule ya msingi mpaka namaliza sikuwahi kumjua ndugu yoyote upande wa baba, ila nilikuwa nafahamu kubwa baba Ameshafariki mwaka 2001 Hata mama hakuwahi kuniambia chochote kuhusu ndugu zangu upande wa baba. Sasa nimekuwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania CCM wanakawaida ya kumsema Marehemu, Lengo letu kuu ni Katiba

    Nchimbi ametangaza vita ya Urais kwa aliyopo au Wanaotaka, kama ilivyo ada ya CCM Samia akiwa hayupo watamsema sana na matusi juu, baadaye wanarudi walipokuwa. Tusikubali ulaghai unaopikwa
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi nani alimshauri Hayati Magufuli ndege za mizigo zikawa mpya wakati wenzetu hugeuza zilizotumika kuwa za mizigo?

    Mungu na shetani ni samehee maana nchi niliyopo nashindwa kuelewa. Baada ya raisi trump kukataa ndege yake na kupewa ile ndenge na qatar kaona kurudia yake ya zamani. Tuje kwenye mada kuhusu mashirika ya ndege na nchi zao. Kuna mashirika makubwa na yenye uwezo mkubwa ila ubadilisha matumizi...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wosia wa marehemu ulikuwa ni upi?

    Marehemu hakufa kifo cha kushtukiza, alijua ugonjwa wake utampeleka kaburuni ndio maana akaomba hadi mpako wa wagonjwa, Je hakuacha ujumbe wowote wa kuzingatiwa kwa aliokuwa akifanya nao kazi kwa karibu? Kwa nini hatujawahi kusikia wosia wa marehemu kutoka kwa yeyote aliyekuwa karibu naye...
  7. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Inakuaje marehemu Ayatollah Ali Khamenei ni muisilamu ila mwili wake unachelewa kuzikwa?

    Tumekuwa tukiambiwa kuwa imani ya kiisilamu hairuhusu kuchelewesha kumzika marehemu. Ayatollah Ali Khamenei alifariki tarehe 28/02/2026. Mara ya kwanza niliwaelewa Iran kwa kuchelewesha mazishi ya kiongozi wao kwa kuwa hali ya kiusalama na kijamii ilikuwa haijatulia. Lakini hapo juzi juzi...
  8. Room 28

    JamiiForums Tanzania Natafuta huu wimbo ameshilikishwa marehemu hussen jumbe KACHICHI album Sarafina

    Huu wimbo nimeutafuta miaka 5 bila mafanikio si mitandaoni si wapi!! Mwenye nayo hii album au baadhi ya nyimbo kwene hii album zawadi nono kutolewa
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Swala la kisheria:Umehukumiwa kesi ya kuua alafu unabahatika baada ya kusota mda na kuzeeka unakutana na marehemu ni mzima wa afya baada ya kutoka.

    Msaada wa kisheria kwa wanasheria.Mahakama imekuambia umehusika japo sio mshiriki alafu ila katika kesi ukapewa kifungo na umri wako ukijumlisha ni bonasi za mungu. Mwisho wa siku yule marehemu waliyesema mahakamani umehusika na unamfahamu au kupeleleza unakutana naye .Je mahakama itafanyeje
  10. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Mama mkwe apora Mali za marehemu, mgane alia kwa uchungu mahakamani!

    Kijana , umri miaka 30 , alifiwa na mke wake ambaye walikuwa na mtoto mmoja tu wa kike umri wa miaka 2. Mwana-uume huyo alikuwa akiishi nyumba moja na mama mkwe wake pamoja wamashemeji zake kwakuwa walikuwa hawana pa kukaa na nyumba ilikuwa na hati jina ni la huyo mwanaume. Mke alifariki...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kichwa cha Marehemu James Temba, aliyeokotwa Mto Msimbazi chapatikana Kitunda, Kibeberu. Polisi Wathibitisha

    Kichwa cha Marehemu James Temba Chadaiwa kupatikana maeneo ya Kitunda Kibeberu. Ni yule aliyeookotwa Mto msimbazi akiwa anaelea bila kicwa ambapo mwili wake ulisafirishwa kwenda kwao Moshi na kuzikwa. Soma: Mwili wa James Temba, aliyepotea umeokotwa mto Msimbazi ukiwa hauna kichwa Ni mara...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Familia imedhulumiwa mafao ya marehemu baba yetu.

    Wasalam wanaJF Bila shaka mu wazima wa afya kama mimi hapa. Leo bwana nimekuja na jambo linalotesa moyo wangu kwa muda mrefu sana. Familia yetu imedhulumiwa mafao ya marehemu baba yetu. Mzee wangu alifariki mwaka wa 2015 akiwa amebakiza miaka takribani miwili kustaafu. Mimi enzi hizo nilikuwa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Watoto wa marehemu Mzee Gordon Odhiambo Odiero wamlilia RC Albert Chalamila wa DSM

    Apr 10, 2026 Mikocheni, Dar es Salaam, Tanzania WATOTO WA MAREHEMU MZEE GORDON ODHIAMBO ODIERO WAVAMIWA na MABAUNSA - WATIMULIWA NYUMBANI - WAMLILIA RC ALBERT CHALAMILA WA DSM - "BABA WAMEMUUA kwa PRESHA" https://m.youtube.com/watch?v=Ee__oTJQz5w Marehemu mzee Gordon Odhiambo Odiero...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Siku nikifa kama nilihusika kwenye kuwadhulumu na kuwatesa furahini na wekeni sherehe. Msilete unafiki wa kijinga kwamba marehemu hasemwi

    Hamjambo Wote! 1. Sijui kama naeleweka. Yaani nikuumize, nikutese, nikuharibie maisha alafu Siku yamenipata ulete ngonjera za ajabuajabu. Sijui UTU. Sijui Imani! 2. Aiseeh! Hakuna cha utu kwa mtu asiye na Utu. 3. Hakuna cha staha sijui stara kwa watu waliokosa stara na stags. 4. Hakuna cha...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Ghati Chomete ashiriki mazishi ya marehemu Sunzy Mwita Chambiri wilayani Butiama, mkoani Mara

    MHE. GHATI CHOMETE ASHIRIKI MAZISHI YA MAREHEMU SUNZY MWITA CHAMBIRI WILAYANI BUTIAMA, MKOANI MARA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete Leo tarehe 10 Machi, 2026 ameungana na mamia ya waombolezaji waliojitokeza kushiriki Mazishi ya Marehemu Sunzy Mwita Chambiri...
  16. D

    JamiiForums Tanzania PhDs zimechemka; Marehemu amedhalilishwa; wamchukiae ameibuka mshindi tena!!

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Hoja yangu ni fupi na rahisi tu kueleweka. PhDs zimechemkaje? 1. Kumkamia wasiyempenda zaidi badala ya Faraja kwa anayeagwa na Wanafamilia. Maudhui yote pale, hata kwa mwenye akili kama kisoda (yaani zile za nyumbu wa wanasiasa flani)...
  17. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Shahidi wa ziada kesi ya Lissu ASP Mahamba kumbe ni marehemu

    Wakuu huu ujumbe nimeuona kwenye ukurasa wa Malisa Gj kwenye mtandao wa thread. Umenitafakarisha sana. Hivi kwanini upande wa Jamhuri kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu wana mambo ya ajabu hivi? Akaandika Malisa Kada maarufu wa CCM wilaya ya Kinondoni, Mkamiti Mohamed amedai kuwa ACP Mohamed Said...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Inafedhehesha, kanisa Katoliki na sadaka zote hizo kuomba msaada Serikalini kumsafirisha marehemu Pengo!

    Yaani sadaka zote hizo na waumini mamilioni alafu wanaomba msaada kwa serikali ya CCM? Hii ni fedheha kubwa sana.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini apewe nafasi kwenda kuaga mwili wa marehemu Kadinali Pengo wakati alishatamka watu wa TEC wanamchukia na yeye ana kinyongo?

    Kwanza TEC wanadai serikali yake ni dhalimu na imekuwa ikiteka na kuua watu. Asingefaa kupewa nafasi ya kwenda kuaga mwili wa huyu kasisi aliyefariki Alishatamka hadharani kuwa ana kinyongo na Tec
  20. T

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kardinali Pengo afariki Dunia akiwa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)

    Pumzika kwa amani mwadhama Kardinali Pengo. Tuonane mbinguni asubuhi iliyo njema. ===== YAH: TANGAZO LA KIFO Ninayo masikitiko makubwa kuwatangazieni kwamba leo tarehe 19/02/2026 saa 04:00 usiku huu mpendwa baba yetu Mwadhama Polycarp Cardinal Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es...
Back
Top Bottom