Wanaukumbi.
Nadhani sasa wanaharakati wameelewa nini maana ya kiapo cha utii kwa AMIRI JESHI mkuu kinachofanywa na JWTZ..
Hawa ndiyo wanajeshi mlikuwa mnajazwa ujinga eti wanawatumia wanaharakati wenu meseji DM 😁😁😁
Wanaharakati wenu hawanaga akili kabisa !.. Ila leo wameelewa nini maana ya...
Utaona hilo kwenye comments walizotoa kwenye picha zilizopostiwa jana wakati rais Samia anazungumza na wakuu wa Kamandi na viongozi wengine wa jeshi. Why?
Je, wananchi wamepoteza imani na jeshi lao lililokuwa tegemeo kwenye maandamano ya Mo29 au D9?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuepuka mashikizo ya kisisa akieleza kuwa kuwa mshikamano kati ya uongozi wa kisiasa na uongozi wa kijeshi ni nguzo muhimu ya usalama wa Taifa, hata hivyo...
M23 ilishatumiwa sana kuhusu inashirikiana na nchi fulani na nchi hiyo ilikana.
Sawa hata kukana nayo RSF kule sudani walisema hivyo hivyo.
Ila leo RSF imekuwa tishio mpaka nje ya mipaka yake ya sudani.
Kwa majigambo yetu ambayo tunajivunia tokea kumshinda Uganda utawala wa amini ni sawa na...
Ni ajabu kuwa HabariLeo wameiweka hii taarifa Instagram wakaifuta haraka baada ya kupata comments nyingi toka kwa wananchi.
Mbona sio kitu cha siri?
Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan, leo anakutana na viongozi wakuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)...
Katika ulimwengu huu kosa vyote ila kamwe usikose akili.
Katika ulimwengu huu kubali kukosa vyote ila sio kukosa utashi wa kukataa udhalimu na kusimamia kutetea haki na ukweli.
Wakati Wananchi wanapambana kutaka mfumo bora wa uchaguzi ili wapatikane Viongozi sahihi, wenye akili wanaowajibika...
1. Haki ya Uhai – Ibara ya 14
Ikiwa kuna mauaji, matumizi kupita kiasi ya nguvu, au vifo visivyoeleweka vinavyotokana na vyombo vya dola—hili linagusa moja kwa moja Ibara hii.
2. Haki ya Usalama wa Binafsi – Ibara ya 15
Inakataza:
Kutesa
Kuteka
Kufungwa kiholela
Utekaji au kushikiliwa bila...
Nimepita sehemu fulani ofisi za serikali nikajua labda muda wao walimaliza tarehe 9.
Nikiangalia naona kinyume chake yaani polisi ndio wamekuwa wanavyeo kuwazidi wao. Ilitakiwa polisi ndio walinde hizo ofisi.
Kikosi cha Walinda Amani cha Tanzania kinachohudumu chini ya mwamvuli wa FIB-MONUSCO kimehitimisha rasmi jukumu lake la ulinzi wa amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kupitia gwaride maalumu la makabidhiano kati ya TanzQRF ya 4 na TanzQRF ya 5. Hafla hiyo imefanyika katika makao...
Moja kwa moja kwenye mada.
Najua viongozi wa jwtz wako humu.
Jwtz wenyewe (askari wenyewe) wako humu.
Nawapongeza sana kwa kutuliza hali ya nchi. Ni wazi, bila jwtz kuwa deployed mitaani kwa wingi, polisi peke yao wasingeweza kutuliza hali ikawa vile ilivyokuwa jana D9.
Pamoja na hayo...
Yaani Kila kukicha Hawa ndugu zetu wanazidi kunifanya nishangae ya Dunia..Kuna mwanaharakati mmoja huko Twitter ameachia meseji za askari wa JWTZ akiomba wananchi waandamane ili walau na wao mishahara Yao iongezeke wajione watu katika watu..Eti soldier mzima analia wananchi wawatetee Hali mbaya...
JWTZ ilikuwa ikiheshimiwa sana kabla ya 2018 kurudi nyuma.
2018 JWTZ wakaambiwa wakabebe korosho Mtwara. Watanzania tukashangaa na kujiuliza kwanini wanaancha kazi ya msingi na kufanywa kuwa makuli?
2019 tulitangaziwa JWTZ watafanya usafi wa mazingira nchi nzima, watanzania tukapigwa butwaa...
JWTZ liache siasa na lidhibiti utekaji na mauwaji kuepuka kugawanyika na wananchi.
Wauwaji wote lazima wakamatwe na kama jeshi litafanya siasa na kuwalinda wahalifu litagawanyika na wananchi ndipo litavunjika
Haya sasa kumekucha tena,naona D9 ni zamu ya vyombo vya ulinzi kuandamana.
Habari toka upanga ofisi za wavaa magwanda ya mabakabaka zinasema vyombo vya ulinzi nchini Tanzania vitafanya usafi nchi nzima kwa ushirikiano kuanzia Disemba 7 hadi pale watakapoona nchi imekuwa safi.
Mikoa ambayo...
Majukumu haya ya msingi ya JWTZ (Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania) ni muhimu sana kwa ustawi wa taifa letu na usalama wa raia. Lakini, ni vyema tujitahidi kutafakari kwa undani kuhusu utekelezaji wake katika mazingira ya sasa. Hebu tuangalie kila kipengele kimoja kimoja:
1. Kulinda...
Kila mtu anashangaaa.
Wachambuzi wa Afrika wanashangaa.
Wachambuzi wa Dunia wanashangaa.
Inakuwaje Jeshi linakuwa kimya wakati mtu mmoja anaua maelfu ya Wananchi? Anafanya hayo huku akijilimbikizia mali yeye na familia yake. Mbaya zaidi anateka, kuwapoteza na kuwafungulia mashtaka ya uongo...
Jambo baya linalo endelea mtaani ni kwamba wananchi wana lidharau sana Jeshi lao kwa sasa
Jeshi linaonekana kamq wasaliti wasio na msimamo kama walivyo paswa kuwa ..
Raia kwa miaka mingi wana chukulia jeshi ni mkombozi wa wanachi hasa kukiwa na udharimu unafanywa na serikali pamoja na polisi...
Nimepita Kigogo roundabout jioni ya leo nimeona hawa JW ni vijana wadogo wenye ndevu.
How comes?
Je, ndo maana wengine wanavaa mask kuficha sura zao tusijue kuwa hawa ni UVCCM?
Kwa nini jeshi linachezewa hivi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.