Hili ndio swali ninalojiuliza baada ya maelezo ya Lissu alliyoyatoa mahakamani leo kwenye final submission yake.
Tena tukumbuke ni Jamuhuri ndio walitakiwa wawaite kama mashahidi wa upande wa mashitaka ili kuthibisha ni kweli serikali ilitishika kama sheria inavyotaka kwa mujibu wa Lissu na...
Wakili Aloyce Komba, Wakili Kiongozi wa Haki Kwanza Advocates, ni mtaalamu wa mwenendo wa kesi za jinai, haki jinai na haki za binadamu. Katika mahojiano haya, anaeleza maana ya Mahakama Kuu kutowalazimisha mashahidi watatu waliokuwa wameombwa na upande wa utetezi katika kesi inayomkabili...
Ili uelewe hiki ninachokiandika, kwanza elewa majukumu ya DCI (Mkurugenzi wa Upelelezi Makosa ya jinai) ndani ya Jeshi la Polisi ambaye kwa sasa ni huyo hapo kwenye picha Ramadhani Kingai...
MAJUKUMU YA DCI
Kusimamia Upelelezi: Kuongoza, kuratibu na kusimamia shughuli zote za kiupelelezi...
Kwasababu sote ni mashuhuda jinsi ambavyo DCI na mashahidi wengine ambao tundu lisu aliwadanganya wafuasi wake kwamba hao ni mashahidi wake na wangetetea uhalifu wake mahakamani, lakini cha kushangaza mashahidi hao wamemkataa na kujitenga kabisa na uhalifu wa mtuhumiwa huyo wa uhaini.
Na hapa...
Siasa zinazopigwa ndani ya mahakama katika kesi hii ya kisiasa lakini iliyopewa Jina la "uhaini" actually is very interesting...
Hebu soma hiki ambacho Mhe. Lissu amekisema mbele ya mahakama baada ya kufanya legal consultation na ambaye angekuwa shahidi wake DCI Ramadhani Kingai;
Anasimama Mh...
Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Lissu angekubali kirahisi hao mashahidii kutohijiwa kwa cross examination iwapo wangekataa kuwa upande wake..
Kingine kilichonishangaza, ni DCI Kingai kuwasemea mashahidi wenzake na Lissu kukubali kirahisi tu kwani ni hatari kwake iwapo cross examination ya hao...
Ameongea Kingai na huu ni mfano wa watumishi wetu wa umma. Mahakama imedharauliwa na jeshi letu limechafuliwa na Kingai. Sifikirii kama maneno hayo ameyatoa kwa niaba ya CDF ama amejitungia.
The only
Jana Mahakama ilisema CDF yupo nje lakini kuna tetesi yupo.
Najiuliza, mahakama ni sehemu ya kutoa haki ukiidanganya mahakama unaweza kufungwa, inapotokea mahakama yenyewe ndiyo imedanganya itakuwaje.
JE SUMMONS ZA MASHAHIDI IGP, DCI NA CDF ZIMEKUWA SERVED KWA WAHUSIKA DODOMA/DSM?
Mrejesho wa Msajili unaonyesha summons zilitumwa Dodoma, lakini hazikuweza kuwasilishwa kwa sababu mashahidi wote wako nje ya nchi.
Naweza kusema sasa tatizo sio tena relevance ya mashahidi, ila ni service na...
Hivi ndivyo ilivyokuwa wakati akii - impose hoja hii..
Jaji Ndunguru: Bado una mashahidi watatu tutamaliza Natumaini tutamaliza within time mshtakiwa maana tulitegemea Ijumaa mngewasilisha final submissions
Mhe.Lissu: Kwanza hao mashahidi wangu nahitaji kuonana nao ili tupange mkakati wa kesi...
Lissu ana haki ya kuonana na mashahidi wake kabla ya kesi ili wapange mikakati ya kesi yao. Hilo linapaswa kutokea kabla ya kuanza kutoa ushahidi kama ilivyokuwa kwa Heche, Mnyika etc.
Hivyo mahakama iweke utaratibu kwa mashahidi watatu waliobaki yaani CDF, DCI na IGP mshitakiwa aweze kuonana...
Salaam,
Wote tunajua Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Jacob Mkunda ni shahidi wa Tundu Lissu.
Hivyo kutokana na kesi inavyoendelea, haya ni maswali ya dodoso na ambayo naamini afande atakutana nayo.
1. Tundu Lissu: Afande CDF, Umeamka salama? Jambo afande. Nitakuuliza...
Rule of law inasema no one above the law.
Naamini nchi yetu inaendeshwa Kwa mujibu wa Sheria sio mtu mmoja ajikurupia TU kutaka kupindua serikali
Nashauri mashahidi hao watatu wakatiwe rufaa Ili wake wathinishe uhaini kama ni mtu kunyongwa anyongwe Kwa haki.
Tutakuwa hutajamtendea haki...
Kwanza, nianze kwa kusema kwamba nimekuwa nikifuatilia kwa karibu kesi hiyo tangu siku ya kwanza Tundu Lissu alipofikishwa katika Mahakama ya Kisutu hadi sasa, ambapo kesi hiyo inaendelea kusikilizwa katika Mahakama Kuu, huku mshtakiwa akiwa amekaa rumande kwa zaidi ya siku 400.
Katika kipindi...
Wakuu JF amani iwe nanyi,
Baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania kumkuta Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, na kesi ya kujibu kwenye mashtaka ya uhaini, mjadala mkubwa umehamia kwenye orodha ya mashahidi wa utetezi.
Katika uamuzi wake kuhusu maombi ya utetezi, Mahakama Kuu imeridhia waitwe viongozi...
Hata kama hamna Akili ya kutafakari, Embu Jiulizeni tu, kwann Serikali ya Samia, imehakikisha inawachomeka nyinyi kwenye KESI hii kama Mashahidi mloitwa na LISSU ?.
Kwa tafasiri ya Kawaida, Mmeunganishwa Moja kwa Moja na Matukio ya Mauaji ya Oktoba 29 2025.
Mara zote nmewaambia...
Boksi la Pandora kuhusu mauaji ya October 29 limeanza kufunguliwa leo. Hili boksi lina mambo mengi machafu. Lissu kuanza kulifungua kupitia ushahidi wa Heche ana makusudi makubwa sana.
Imagine IGP anaulizwa ieleze mahakama October 29 nini kilitokea?
Imagine aulizwe nani alitoa amri ya watu...
Ikumbukwe hao wote ni makada na watu wa kupokea maagizo tuu na maelekezo. Wengi wao wamepachikwa kwa utashi na shukrani kutoka namba moja pale kwenye wingi wa gogo, na watu ambao kumbukumbu zimeshaanza kuwaacha, sasa msije shangaa mtu anatoa siri za aliye mtuma.
Kiuhalisia wote wanaujua uwezo...
IKIWA CDF, IGP NA CDI WATASEMA WALIFUATA AMRI: SWALI NI JE: AMRI HIYO ILITOLEWA NA NANI?
Hapa ndipo tunapaswa kutumia critical thinking, si hisia.
Kama CDF, IGP na CDI watatoa ushahidi kwamba walichofanya kilitokana na amri au maelekezo ya mamlaka ya juu, basi chanzo, maudhui na mlolongo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.