kipindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania kipindi yupo hai walimwita sir wicknel chivayo, leo salamu za lambi lambi neno sir limesahaulika

    hivi vyeo watu wanavyojipa kujipamba au wanavyopewa na wapambe ni kwa ajiri ya kuwafurahisha tu wamwage njurugu au mapene au wapate favor kwa hao wakubwa lakini ukiondoka hakuna anayejisumbua tena kuwa mnafiki
  2. Duh Aisee

    JamiiForums Tanzania Nawaomboa UHAI wote walihusika na kuua, kuteka na kupoteza miili ya ndugu zetu MO29 na kipindi hiki chote, Kifo kwangu sio Adhabu.

    Baada ya kufanya kazi kwa miaka zaidi ya 3 kwenye hospital, na kuwa karibu na wagonjwa wa kila namna, niliona kuwa kifo sio adhabu kwa mtu anayevunja sheria. Nataka kuona wakiwa mahakamani, wakitoa maelezo nani aliwapa oda, walilipwa shilingi ngapi( au walipewa tu hela za mafuta), wote...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kufika kipindi ambacho uchumi ulishuka ghafla, ulikubali vipi kubadilisha maisha uliyozoea na presha ya watu kukushangaa au kukucheka ?

    Kupoteza kipato ni jambo moja. Kukubali kubadili maisha uliyoyazoea ni jambo lingine. Aibu ya kushusha maisha ni ya muda. Lakini kulazimisha kuonekana bado una maisha yale yale kunaweza kukugharimu maisha yako yote. Niliwahi kuwa na maisha mazuri kiasi, angalau kwa kijana wa mjini mwenye...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Jiji la Dar Es Salaam limejengeka zaidi katika kipindi cha awamu hii ya 6 chini ya Rais Dr.Samia Suluhu Hassan.

    Naona majengo makubwa na marefu ya makazi ya watu, kumbi za mikutano ya kitaifa na kimataifa, mahotel makubwa ya kimataifa na maofisi ni mengi sana ukilinganisha na wakati uliopita, hali inayoashiria kuimarika kwa uwekezaji na kushamiri kwa maisha na uchumi wa watu wa jiji la Dar Es Salaam...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nini kilikuwa kinafurahisha kipindi kile cha kusoma magazeti na kusiliza redio

    Miaka ya nyuma tulikuwa tunajipatia habari mbalimbali kwa kusoma magazeti na kusikiliza taarifa mbalimbali redioni. Pia taarifa ya habari ilikuwa na nguvu muda ukifika kila mtu anasikiliza. Magazeti yalikuwa mengi, na yaliuzwa bei tofauti. Kwa wale wasiomudu gharama walikuwa wanenda kujisomea...
  6. kingphisher

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu portifolio na interview ya serikalini

    Wakuu, naomba msaada kwa wenye uzoefu kuhusu mada tajwa hapo juu. Nimeona baadhi ya nafasi za ajira zinazotangazwa kupitia Ajira Portal, hasa upande wa ICT/Software Development, mfano nafasi za Systems Analysis. Kwenye baadhi ya nafasi hizo, moja ya vigezo vinavyotajwa ni mwombaji kuwa na...
  7. min -me

    JamiiForums Tanzania Zile nyuzi za wakubwa kipindi kile kwa jf zimeenda wapi?

    Ebu fanyeni kurudisha jukwaa la wakubwa ili mambo yaende sawa hapa jf bwashee 🤔 Hili jukwaaa tumeliomba kwa mda mrefu sijui kwanini mnatubania bila sababu za msingi asee 🤔
  8. H

    JamiiForums Tanzania Serikali imeelekeza zaidi ya Sh1.4 trilioni katika Mkoa wa Simiyu katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Sita, katika.. - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Serikali imeelekeza zaidi ya Sh 1.4 trilioni katika Mkoa wa Simiyu katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Sita, katika utekelezaji wa miradi ya umeme, barabara, maji, elimu na afya. 📍Itilima-Simiyu 🗓️Septemba 14, 2026 —————————— Amesema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Itilima, mkoani...
  9. M

    JamiiForums Tanzania G55 vs Nyerere, Pemba 2000 vs Mkapa na Warioba vs Kikwete ilishindikana kupata Tanganyika au Zanzibar huru. Je, kipindi cha Samia tutatoboa ?

    G55 vs Nyerere, Pemba 2000 vs Mkapa, na Warioba vs Kikwete. Vipindi hivi vitatu vilitikisa mjadala kuhusu mustakabali wa Muungano, lakini hatimaye havikuzaa Tanganyika au Zanzibar huru. Leo tunajiuliza swali lilelile: Je, kipindi cha Samia Suluhu Hassan ndiyo tutatoboa? Je, tutafika kwenye...
  10. R

    JamiiForums Tanzania "Mshindi ni Nani" Kipindi cha zamani Radio Tanzania Dar es Salaam (RTD)

    Wahenga, miaka ya zamani nikiwa kama msikilizaji nguli wa RTD kuna kipindi nilikuwa nakipenda sana kiliitwa Mshindi ni Nani. Wakati kile kipindi kinaanza, kulikuwa na biti moja kali sana halafu unasikia kama mtu anapiga yowe "uuuuuwih...yau...yauyau" halafu ndo inakuja sauti ya kike kwa madaha...
  11. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Utekaji utapungua kwa hadi 80% kwa kipindi cha miezi minne ijayo Mid September to Mid December

    Huu ni utabiri wa kweli kama nilivyo oneshwa na mizimu ya kwetu. Iko hivi kwa kipindi cha kuanzia week ya pili ya Sept 2026 hadi week ya pili ya Dec 2026 hali utekaji wa wananchi itapungua kwa kiwango kikubwa sana. Inatarajiaa hali ya utulivu itaripotiwa maeneo mengi ya nchi. Hata hivyo...
  12. livingroom_espionage

    JamiiForums Tanzania Unaikumbuka Power breakfast ya clouds kipindi cha bifu na Ruge na Sugu.

    Naweza kusema kwamba Mh. Jakaya bwana enzi zake watu walikuwa huru sana, Huyu mzee bwana licha ya mapungufu yake, kuna vitu alifanya watu nadhani mpaka kesho watamkumbuka na kumuheshimu. Picha linaanza ile show ya kina sugu inafanyika usiku na wanatukana matusi ya nguoni kuitukana clouds na...
  13. aise

    JamiiForums Tanzania Unaonaje Huu ubunifu ungekuja kipindi Cha Coronavirus

    Hii barakoa imekaa kijanja Sana wakuu, ingekuja kipindi kile Cha Corona ingebamba Sana.
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Daima Rais Dr.Samia Suluhu Hassan huchukua hatua na kufanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya Taifa.

    Sidhani kama kuna ubishi kwenye jambo hili la kipekee sana kwa rais wetu. Na sote ni mashahidi kwamba, hatua za makusudi na maamuzi magumu ambayo daima Rais Dr.Samia Suluhu Hassan amekua akiyachukua ndani ya chama na katika serikali sikivu ya CCM, hulenga katika kulinda maslahi mapana ya taifa...
  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Tunawakumbuka: Mapinduzi ya Zanzibar Kipindi Cha Kwanza

    https://youtu.be/_p4-XBxMbBc?si=GhBz__6hPQu9Dj3s
  16. funaku

    JamiiForums Tanzania Machawa wa CCM VS Machawa wa CDM ..Kwa nini hatuna wasomi wa siasa wenye kuja na ukweli kipindi hiki?

    Nchi yetu ipo katika eneo la kimkakati na hivyo inaingizwa kwenye vita ya kiuchumi na kiutawala kutokana na Jografia yake. Jambo linaloshangaza ni kuona hakuna wasomi wabobevu mithili ya Kabudi wanaojitokeza kutoa lecture muhimu kwa kizazi cha GEN Z badala yake wanaibuka malecturer machawa na...
  17. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Katika kipindi cha miaka miwili ijayo asilimia 100 ya kaya zitakuwa zimesajiliwa katika Mpango wa Huduma ya Bima ya Afya kwa Wote

    Na Benny Mwaipaja, Addis Ababa Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khams Mussa Omar, amesisitiza kuwa katika kipindi cha miaka miwili ijayo asilimia 100 ya kaya zitakuwa zimesajiliwa katika Mpango wa Huduma ya Bima ya Afya kwa Wote ikiwa ni dhamira ya Serikali ya kuwekeza katika rasilimali watu...
  18. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Katika kipindi chetu sisi wadada wenye makalio makubwa walichukuliwa kama watu wanene wa kawaida, eti Gen Z anabisha!

    Kweli nyakati zinakimbia, na muda huja na fasheni yake. Leo hii wadada wenye makalio makubwa ndio sukari ya mji ila kipindi kile walichukuliwa kama vibonge na hakuna aliekuwa sexually attracted kama ilivyo sasa secretarybird Chizi Maarifa nafikiri unakumbuka za zile
  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Hoja zampandisha sukari Mtangazaji katikati ya kipindi

    😀😀😀 Huyu mtangazaji atafutiwe vipindi vinavyomfaa, atakuja kufia kwenye mic. Apewe kipindi cha taarabu
  20. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Hawa wadada waliotengeneza kipindi na kujiita A-list. A list wetu yupo jela

    Mnatudanganya na makamera yenu. Mtajiita A list, ila watanzania wana A list zao na watabaki nazo Wolper, Irene, Kajala na Aunty ni kipi cha maana mlicho inspire kwa mabinti katika hili taifa zaidi ya skendo na uhuni? A list wetu yupo jela
Back
Top Bottom