Huyu jamaa ni nani...
Alikuwa Mtu, kikundi kilichouandamana utawala wa Magufuli na kuutetemesha...
Alipewa taarifa nyeti na nani kipindi hicho? maana taarifa nyingi alizotoa zilikua sahihi...
Kwanini yuko kimya katika utawala huu?
Je mambo aliyopigania yamepatikana? au hakuupenda tu utawala...
Nchimbi amekuwa Muumini wenu miaka yote na kutokana na Vyeo alivyokuwa kuwa navyo akifika Kanisani mlikuwa mntambua kipekee hivyo mlikuwa mnampa viti maalumu vya kukaa pengine pale mbele kabisa.
Kama mlimtambua kwa cheo chake, kwa nini sasa haji Kanisani kwenu na nyie mmenyamaza kimya...
Labda kweli cheo kikubwa hakibadilishi akili ya mtu, kinachofanya ni kumfichua anavyofikiri na kufanya maamuzi kwa uhuru.
Mwanzoni nilikuwa nikimuona kama mtu smart sana alipokuwa RC Tabora. Hasa namna alivyoshughulikia kesi ya kumkamata tapeli aliyekuwa akiwadhulumu viongozi ilimpa credit...
KIVULI CHA FIMBO HAKIMFICHI MTU II
Adeladius Makwega – MBAGALA
Kumbuka siku ile Mwanakwetu alipita mbele ya ile nyumba nyeupe ya CCM, pale Dodoma.
Alipita taratibu.
Macho yake yakatua kwenye jengo lile.
Nyumba nyeupe.
Jengo lenye historia kubwa katika siasa za Tanzania.
Mwanakwetu akakumbuka...
Japo mimi sio nwanasheria, bado najiuliza inawezekana vipi kutoa jibu rahisi mahakamani kwa kusema shahidi yuko nje ya nchi pasipo kiuileza mahakama ni nchi gani shahidi yupo na ni lini atarejea nchini?
Tukumbuke hawa mashahidi (IGP,.CDF na DCI) ni waajiriwa wa serikali, hivyo ni lazima wote...
https://youtu.be/VucOADP1loY?si=f0xgGxMinKLYLnbZ
Mnajua yuko wapi huyu Jesusi wa mbinguni, Askofu Josephat Gwajima?
Mnakumbuka aliyowahi kusema huko nyuma kuhusu Tanzania na mwisho wa CCM?
Sikilizeni...
Vita ya kuikomboa Tanganyika inapiganwa katika maeneo mawili;
1. Mwilini (Physical realm...
Wiki chache zilizopita tulitangaziwa kuwa aliyekuwa makamu wa Rais, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amejiuzulu nafasi hiyo. Siku chache baadaye CCM wakatutangazia kuwa wamemfukuza Nchimbi uanachama wa chama chao! Ajabu ni kuwa CCM katika taarifa yao kwa wanahabari hawakutoa fursa ya maswali...
Huyu mke mwenza wangu sijui katokomea wapi?
Alikuwa ananichamba sana lakini nilimnyoosha mpaka akaacha ndala.
Chanzo ni kumuibia mumewe Extrovert akawa na gubu mpaka leo.
Sijui kabadili ID au kabadili jinsia kawa ankali?
Haya mambo yanatafakarisha sana kwa sisi wenye akili.
Bring back...
Kihisitoria, Makamu wa rais wa kwanza kujiuzulu nchini alikuwa Aboud Jumbe.
Alirubuniwa na wachoyo na walafi wa madaraka hasa vijana wakiongozwa na marehemu Seif Shariff Hamad ili wamuondoe wachukue ukanda wakaisha kuishi na kufa kwa upanga kama walivyoishi kwao. Nchimbi kaondolewa. Tunajua ni...
https://youtu.be/j3sXSrK1IgY?si=ciaUzrI93iD8PAfG
Kwa mujibu wa Evarist Chahali, mfanyakazi wa zamani wa TISS aliyeko uhamishoni Uingereza, kwa taarifa zilizothibitishwa ni kuwa Vice President Dr Emmanuel Nchimbi aliye wekwa kwenye kizuizi cha ndani (House Arrest) Yuko mahututi..
Inasemekana...
Tangu ajiuzulu wadhifa wake amekuwa kimya mno. Je, ameenda kijijini kwake kwenda kulima na Kufuga?
Emmanuel Nchimbi, nakukumbusha kumbuka viapo vyako ulivyoapa!
Miaka 7 iliyopita nipitia katika changamoto kubwa ya mahusiano yangu na Mungu.
Katika kipindi hicho chote Mungu alikuwa mwaminifu katika maisha yangu , mambo mengi ambayo hata sikuyaomba Mungu alinifanyia kwa upendo
Maisha yalikuwa mazuri katika upande wa familia, watoto, uchumi nk kwa kweli...
Linaweza kuwa swali la kijinga sana lakini lililobeba tafakuri kubwa
Ukimya na kutoonekana kwake hadharani kumezua sintofahamu kubwa inayotoa mwanya wa speculations za kila aina
Kwamba yuko house arrest
Kwamba yuko mahali salama
Kwamba kapokonywa simu zake zote na kuzuiwa kuonana na yeyote...
Hivi karibuni kumekuwa na mjadala kuhusu baadhi ya wanawake kuvaa mavazi yanayoonekana kama nguo za ndani katika maeneo ya umma. Je, hali hii inaendana na kanuni na maadili ya mavazi katika jamii?
Tunaona katika maeneo mbalimbali ya umma, ikiwemo kwenye vyombo vya usafiri, baadhi ya abiria na...
Anonymous
Thread
jukumu
kusimamia
taifa
vazi
vazi la taifa
wapi
yukoyuko wapi
WanaJf:
Hivi Kweli mtu unayepingana nae Kwa maneno na matendo awe anakusifia hadharani Kwamba Wewe ndiye mkomavu wa Siasa hasa!
Mbaya zaidi,huonekani kujali wenzio waliokupigania ukiwa mahabusu,unaibukia kwenye uzinduzi wa Bwawa la umeme!Kwani usingeenda, lisingezinduliwa?
Inaudhi na inakera!
Kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu inaendelea Jumatatu Agosti 24 ambapo mshtakiwa anajitetea mbele ya mahakama.
Lissu: Ukiangalia miaka kabla ya 2020 tume imekuwa ikifanya hivyo. Lakini 2020 kuna matokeo ya urais hayakuchapishwa. Sina uhakika kama ya mwaka jana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.