Mabinti au maswahaba safi waliolindwa ndani ya mahema au mboga wenye umri sawa na walioumbwa upya na bikra zao. Patamu hapo kila shahidi atajinyakulia mabinti vigori bila kujali idadi
Vinywaji vya peponi mvinyo isiyolewesha na kukufanya upoteze fahamu.
Hakika waisalamu mtainjoi sana huko akhera😁
Wanafunzi wa Yesu waliambiwa "Enendeni ulimwenguni mkawafanye mataifa kuwa wanafunzi..."
Wafuasi wa kweli wa Yesu hawajahitimu hadi Yesu atakaporudi ndipo tunaambiwa atawapa taji.
Kuna hatari ya kujitengenezea theolojia na kuifuata kama ilivyo hata kama ina mapungufu.
Kanisa linapaswa kujua...
Habarini,
Yaani waumini wa kiafrika waliowengi ni maskini lakini wanajitoa kwa sadaka ili kujenga hospital8 na zhule za makanisa na miskiti ila wanalipia juduma zote kwa 100%.
Kwanini watu wa Mungu hao wasio na uwezo wasitibiwe bure wakati makanisa na miskiti hailipi kodi?
Wajinga ndiyo waliwao!!
Hivi unajua kuwa unapoona mtu anatapika "nyoka" kanisani au kiwete anatembea ghafla, mara nyingi hushuhudii nguvu za Mungu, bali unatazama mchezo wa kuigiza uliosukwa kwa ustadi na nguvu za giza (Occultism)? Je, unajua kuwa sekta hii imekuwa biashara kubwa inayovuna mabilioni kwa kutumia maagano...
Tuna shukuru ijaweza kufanikiwa hapa ila imebakisha chembe chembe mambo mengine ya utawala kwa nchi za africa.
Ukifatilia sera za ujamaa ni kama kikundi cha watu wanaofaidika wao na sio wananchi.
Ukifatilia sera za ujamaa unaona kiongozi hata kama kawa kichaa,mkatili,mwenye afya ya akili...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anatarajiwa Kutua kwa kishindo kikuu Mkoani Songwe Hapo kesho .
Ambapo Rais wetu Mpendwa na Moyo wa Taifa letu anatarajiwa Kupokelewa na Mamia ya Viongozi wa Dini...
Kuna taarifa zinazosambaa kuwa mlima wa Sangalo, ulioko magharibi mwa Kenya, umeanza kuvutia idadi kubwa ya waumini wanaodai wanapata msaada wa kiroho, uponyaji, na majibu ya maombi.
Kwa mujibu wa simulizi zinazoendelea kusambaa, watu kutoka maeneo mbalimbali wanadaiwa kusafiri hadi mlima huo...
Moja ya kitu alichofanyikiwa Jamaa ni kuwaamnisha Waumini wake wajinga wajinga kua
Uponyaji
Wokovu
Utajiri
Kufanikiwa
Ni Matokeo ya kutumia Mafuta, Udongo, Keki, na blah blaaah
Jamaa hafundishi kua "YESU Alikuja DUNIANI, akafa msalabani, na Kwamba KIFO chake kilitangaza uhuru dhidi ya Dhambi...
Maombi, Dua na sala vina matokeo yoyote au vinabadilisha chochote katika maisha ya binadamu muamini mungu?
Kwa nini binadamu wasiache tu mapenzi/mipango ya mungu au kudra zake kutimia tu kama alivyopanga kwa sababu tunaambiwa kila jambo alishalipanga?
Wanaodai kuwa Waumini wa Kanisa Katoliki, leo Januari 5, 2026 wamefika katika Ubalozi wa Vatican kuwasilisha barua rasmi ya malalamiko dhidi ya Askofu Mkuu wa Jimbo la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi pamoja na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles...
Jambo lililo dhahiri, na kwa mafundisho ya kiimani, shetani huwatumia wanadamu kufanikidha malengo yake. Sio wote waliopo makanisani au waimbao Bwana Bwana, au wenye majina ya Kikristo, ni waumini na wafuasi wa Kristo na Kanisa. Wengine wapo makanisani kwaajili ya kulivuruga na hata kuliangamiza...
Aliyejitambulisha kama muumini wa kanisa katoliki aliyebatizwa na anayepokea sakrament, Ludovick Joseph, aeleza vifungu vya sheria vinavyowabana viongozi kuwafokea waumini kwa lugha kali.
Friends and Our Enemies,
Kanisa Katoliki kupitia kiongozi wao Ruwaichi limeingia kwenye vita kali ya maneno na majibizano na waumini wake mara baada ya waumini hao kuandaa maandiko na kuyapeleka VATICAN ambako ni makao makuu ya kanisa hilo kuwashitaki viongozi wa kanisa hilo wa hapa nchini kwa...
Hamjambo wote!
1. Mimi ni moja ya wachache ambao tunapomsikiliza mtu yeyote hatumsikilizi kwa cheo chake, umri, Hali za utajiri, rangi. Isipokuwa Nina msikiliza mtu kile anachosema kama ni KWELI, Je ni HAKI, je Kina Ufahamu, maarifa na Akili, na mwisho kina UPENDO?
2. Jambo Hilo ndilo...
Wakuu kunazidi kuchangamka
Watu kadhaa waliojitambulisha kama waumini wa kanisa katoliki wametoa tamko lao kueleza kutopendezwa na maneno aliyoyatoa Askofu Mkuu wa Jimbo la Dare es salaam, Askofu Ruwai'ch dhidi ya wale waliojitokeza na kusema wanataka kumshtaki Padre Kitima.
Mmoja wa watu hao...
Sikukuu ya Christmas mwaka huu imekuja na jambo la ajabu na la hovyo sana la masheikh wengi kuharamisha katika umma kupitia vyombo vya habari kwa ukubwa sana waumini wa Kiislamu kutoshiriki Christmas na Wakristo, hawa masheikh kwa vyovyote vile sidhani kama wanaelewa wanachokifanya na kwa hakika...
Nchini Ujerumani, idadi ya Wakristo inaendelea kupungua kwa kiwango kikubwa, hali inayosababisha makanisa mengi kubaki bila kutumiwa. Hivi karibuni, Kanisa la Mtakatifu Anna (St. Anna) lilijaa waumini kwa mara ya mwisho kabisa.
Kwaya iliimba huku kinanda kidogo kikitoa hamasa wakati wa uimbaji...
Wanaukumbi.
Mtu anaewaminisha mkaandamane siku ya X-Mass anawaita anadhihaki Jeshi
Mnadhani Jeshi halioni hizo post za wanaharakati
Nendeni mkaliwe vichwa muje muitwe mashujaa huku maiti zenu zikipostiwa na Mange na Maria Sarungi, cha kufurahisha haya maandamano yote TEC wameyapa baraka...
Friends and Our Enemies,
Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Jumanne ya tarehe 10, imetangaza Misa Takatifu ya kuwaombea wafu wao ambao wamefariki katika fujo, vurugu, na uvunjifu wa amani uliotokea siku ya uchaguzi tarehe 29.10.2025.
Well, how you do anything is how you do everything...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.