Leo Stend ya Kahama nimekutana na Samweli. Samweli alikuwa KKKT. Pale kijijini alihamia mzee mmoja wa Kilokole kanisa la Moses Kulola. Yule mzee alikuwa na watoto wazuri sana. Samweli akampenda mmoja. Wale mabinti walilelewa kwenye ukiristo hasa, hakuna kumchezea mpaka ndoa. Lakini Samweli...
Kwa maslahi mapana ya uanaume ,dini bora ni uislamu, na mafunzo yake.
Kwa kuokoa kizazi hiki uislamu unapaswa uwe kwa kila jamii na sheria zake kamilifu.
Dunia ya sasa hii ndio dini dume iliyo bakia tu.
Binafsi sina dini ila nikipaswa nitaje dini kwa maslahi ya dunia ya sasa Islam ni...
Sijui kama kuna professional therapists wa ndoa (LMFT) Tanzania ila hawa ndio watu sahihi wa kwenda endapo ndoa imefika kuwa na matatizo makubwa.
Watu waache kupoteza muda kukimbilia sijui kwa padri, mchungaji, wazazi au wasimamazi wa ndoa kwani matatizo ya karne hii ya mahusiano ni tofauti...
Kwa mahesabu ya Biblia mpaka sasa Dunia ina miaka 6000. Kwa maana hiyo, tukianza na dini kongwe inaonyesha kuwa kuna miaka 1000 watu waliishi bila dini. Hawakuwa na hizi dini ila walimuabudu Mungu na shetani. Miaka 1000 baadaye hatimaye dini ya kwanza ikaanzishwa, hii ilianzishwa mwaka 5000...
Kuna mambo waamini mungu huwa wanalazimisha na kuyatetea tu lakini hata wao wenyewe kwa akili za kawaida tu walipaswa kujua sio sawa
1. Kuhukumu/ Kulaani watu (watoto na wajukuu) kwa makosa ambayo hawajayafanya ya wazazi wao.
2. Kuruhusu utumwa, kununua na kuuza watu kama bidhaa.
3. Kuteua...
Free will zenu zimemezwa na mafundisho ambayo alieandika mwenyewe alikuwa ana timiza uhuru wa maoni yake, je wewe maoni yako yako wapi, iko wapi mantic yako?, uko wapi utashi wako?
Zote ni nchi za Kiislamu zenye Sheria kali sana ikiwemo kifo au kifungo cha maisha kwa watu watakaohesabiwa kuachana na dini/ kukengeuka/ kuritadi .
1. Saudi Arabia
2. Iran
3. Qatar
4. UAE
5. Afghanistan
6. Mauritania
7. Yemen
8. Brunei
9. Maldives
10. Pakistan
11. Somalia
12. Malysia
Dini ni nini?
Dini ni jumla ya imani, mafundisho, na desturi ambazo humwongoza binadamu katika uhusiano wake na Mwenyezi Mungu au nguvu za ghaibu, pamoja na kuweka mwongozo wa maadili na mtindo mzima wa maisha.
Neno hili limetokana na neno la Kiarabu "Ad-din" (اﻟدﻴن), lenye maana ya utaratibu...
Mheshimiwa Rais amenituma niwahakikishie kuwa Serikali itaendelea kutoa ushirikiano kwa taasisi zetu hizi za dini,
Dkt. Mwigulu Nchemba
Waziri Mkuu wa Tanzania
🗓️Oktoba 4, 2026
📍HANDENI, TANGA
—————————————————-
Amesema hayo alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Ibada ya Misa...
habari wadau.
ukweli mchungu ni kwamba watu wengi tuliokuzwa katika dini tunapata shida kutenganisha reality ama facts na fiction ama kazi za sanaa. mwisho wa siku tunajikuta tunajidanganya wenyewe kwenye kutatua changamoto zetu za kimaisha.
mambo mengi sana ambayo ukweli ama uhalisia ni...
Hamjambo!
Moja ya faida ya kutokea familia zenye Imani mchanganyiko. Yaani ukoo wa Baba dini hii, ukoo wa Mama dini nyingine. Au imani mchanganyiko, tamaduni mchanganyiko ni pamoja na kutokuwa mtu wa imani kali au udini.
Sisi wengine Msikitini tunaingia. Kanisani tunaingia. Usabatoni...
Ndiyo, hili ni swali kubwa sana la kijamii na kihistoria. Lakini kuna jambo moja muhimu: si sahihi kulifanya kuwa “Waafrika dhidi ya wazungu” pekee. Tatizo kubwa ni kwamba Afrika imekuwa na changamoto katika kujenga mifumo inayozalisha na kueneza sayansi, teknolojia, mitaji na taasisi imara kwa...
Hivi haya mafundisho tunayopewa misikitini na makanisani na wazungu wanafundishwa hivi hivi au kwa wazungu wanapewa mafundisho yao mengine japo dini moja.
Kuna vitu ukivisikiliza kwa masheikh au wachungaji haviingii kabisa akilini na mbaya zaidi ukihoji uweze kuelewa na kuondolewa shaka...
Namuona waziri wa michezo ndugu makonda amekomaa kutoa matamko eti
Viongozi wa dini hawapaswi kuikosoa serikali bali kuiombea.
Kama wana haki ya kuisifia lazima pia wawe na haki ya kuikemea inapofanya vibaya.
Kuwa serikali haina maana kwamba mtapatia kila kitu na kukosolewa na kiongozi wa dini...
Wakuu, salamu.
Je, inawezekana kuwa hofu kuu ya taasisi zote kubwa za kiroho duniani haikuwa watu kutenda dhambi, bali ilikuwa ni hofu ya waumini kugundua kuwa wanaweza kuwasiliana na Mungu moja kwa moja bila kupita kwenye milango ya mifumo yao na bila kulipa kodi ya kiroho?
Ukitaka kuona swali...
Katiba mpya nitakayounga mkono lazima izingatie mambo makubwa matano.
1. Ushoga uondolewe kuwa kosa la jinai. Serikali isiingilie kabisa mambo ya mapenzi kwa watu wazima waliokubaliana katika mambo ya ngono.
2. Kutenganisha kabisa dini na siasa na shughuli za umma. Hakuna kusali kwenye...
Weee mzee Herbalist Dr MziziMkavu nimekerwa sana na bandiko lako la udhalilishaji wa dini ya Kikristo haswa dhehebu Katoliki.
Umetumia picha ya kutengenezwa kuwadhalilisha watawa na makasisi wa kanisa Katoliki.
Hata sisi tuna uwezo wa kutengeneza picha za madudu aliyofanya Mwamedi, kama kuoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.