surua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Mahakama yawaachia huru waumini wa Kanisa la Watch Tower waliokataa watoto wao wasipewe Chanjo ya Surua

    RUKWA: Mahakama Kuu, Kanda ya Sumbawanga imewaachia huru Wachungaji na Waumini saba wa Kanisa la Watch Tower Wilayani Kalambo waliohukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela kwa kosa la kuzuia Watoto walio chini ya umri wa miaka mitano kupewa chanjo ya Surua. Imefahamika hukumu iliyotolewa kwa...
  2. Miss Zomboko

    Tahadhari ya Mlipuko wa Ugonjwa wa Surua Dodoma

    YAH: TAARIFA YA MLIPUKO WA UGONJWA WA SURUA KATIKA JIJI LA DODOMA Tafadhali husika na somo tajwa hapo juu. Mnajulishwa kuwapo na mlipuko wa Ugonjwa wa Surua katika Jiji la Dodoma. Na hili linatokana na sampuli zilizochukuliwa kuthibitika kuwa na maambukizi ya ugonjwa wa Suru ana hivyo kufanya...
  3. BARD AI

    Mikoa 20 yabainika kuwa na Wagonjwa wa Surua, Watoto 12 Wafariki

    Kwa mujibu taarifa ya Wizara ya Afya kuhusu mwenendo wa Ugonjwa Surua na Rubela nchini Tanzania kuanzia Julai 2022 hadi Februari 2023 jumla ya Mikao 20 imebaika kuwa na Wagonjwa. Mikoa ya Ukanda wa Pwani imetajwa kuongoza kwa idadi ya Wagonjwa ambapo hadi sasa takwimu za jumla mikoa hiyo ina...
  4. BARD AI

    Katavi: Ugonjwa wa Surua umeua Watoto 12 Wilaya ya Mlele

    Jumla ya watoto 12 wamefariki kwa ugonjwa wa Surua, katika wilaya ya Mlele tangu Desemba 2022, mkuu wa wilaya Majid Mwanga ameiambia BBC. Aliongeza kuwa watoto 847 wameambukizwa ugonjwa wa surua wilayani humo kati ya Desemba na Februari. Wahudumu wa afya kufikia sasa wamewachanja watoto 16,480...
  5. Lady Whistledown

    #COVID19 Utafiti: Covid-19 yachangia ongezeko la Surua Afrika

    Utafiti wa Taasisi ya Tony Blair umebainisha kuwa kuwekwa kwa lockdown ili kupunguza kasi ya kuenea kwa virusi vya Corona, Wazazi na Walezi hawakuweza kuwapeleka Watoto wao hospitali kwa ratiba za kawaida za chanjo za awali Kulingana na Shirika la Afya Ulimwenguni, karibu visa 17,500 vya surua...
  6. JanguKamaJangu

    Madhara ya Ugonjwa wa Surua

    Surua ni nini? Surua au kwa Kiingereza “measles” ni ugonjwa unaosababishwa na virusi. Ugonjwa wa surua unaweza kumpata mtu wa rika lolote ila huathiri zaidi watoto. Dalili za awali za surua ni koo kuuma, kikohozi , homa na madoa ya rangi ya kijivu au nyeupe kwenye sehemu ya ndani ya mashavu...
  7. JanguKamaJangu

    Serikali yatangaza mlipuko wa Ugonjwa wa Surua Nchini

    Serikali imetangaza mlipuko wa Ugonjwa wa Surua katika baadhi ya maeneo baada ya uchunguzi kufanyika na kubaini wagonjwa 54 lakini hakuna taarifa ya kifo. Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema uchunguzi wa sampuli za Julai hadi Agosti 2022 umeonesha mlipuko upo katika Halmashauri 7 zikiwemo...
Back
Top Bottom