mkutano

Mkutano Meets the Culture Musical Club of Zanzibar is an album by American blues artist Taj Mahal.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Luhaga Mpina: Teuzi na baadhi ya ajira kutolewa bila kuzingatia ushindani imefanya nchi ipate viongozi dhaifu

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 10, leo Aprili 19, 2024. https://www.youtube.com/live/h8L3SNRSR0U?si=qvKhhc51kozgQi_y Mbunge wa Kisesa (CCM) Luhaga Mpina amesema Serikali haiwezi kuendelea kuvumilia Wizi, Ufisadi, Rushwa na Mateso kwa watanzania yanayokea...
  2. Roving Journalist

    Bunge la 12: Mkutano wa 15, Kikao cha 9, leo Aprili 18, 2024

    Fuatilia kinachojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 9, leo Aprili 18, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=Gp8bHGqD8Pk https://www.youtube.com/watch?v=fgS_7suPjm0 Mbunge Francis Mtinga: Watendaji wa Kata Waajiriwe na TAMISEMI, si Utumishi. Amesema Utaratibu wa Utumishi kuajiri...
  3. Roving Journalist

    Joseph Musukuma: Kikokotoo kinawaumiza wananchi, tunatengeneza taifa la wezi

    Fuatilia kinachojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 8, leo Aprili 17, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=44Vf4dT7NOw Mbunge wa Geita vijijini (CCM) Joseph Musukuma amesema Watanzania wanaliamini Bunge, na kuna vitu vimekuwa vinazungumzwa lakini havichukuliwi kwa uzito wake na...
  4. Roving Journalist

    Waziri Mchengerwa anawasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais - TAMISEMI kwa Mwaka wa Fedha 2024/25

    https://www.youtube.com/watch?v=ezJ5n2FzdlY ZUNGU: MGAMBO WANAWANYANYASA MACHINGA NCHI NZIMA Naibu Spika Mussa Azzan Zungu amesem Asilimia kubwa ya Mgambo wamekuwa wakinyanyasa Wafanyabiashara Wadogo (Machinga) bila kujali wanafanya biashara katika mazingira halali, amesema hayo Bungeni, leo...
  5. Roving Journalist

    Massare asema SGR imechukua maeneo ya Watu, Serikali itende haki, iache dhulma

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 6, leo Aprili 15, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=51y0PHIx7WU Ripoti 21 za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG), za ukaguzi wa hesabu za Serikali kwa mwaka 2022/2023 zimewasilishwa bungeni. Kukabidhi ripoti hizo...
  6. Ojuolegbha

    Msemaji Mkuu wa Serikali afanya mkutano na waandishi wa habari kuhusiana na maafa ya mafuriko nchini

    Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Mobhare Matinyi amefanya Mkutano na Waandishi wa Habari, kuhusu hali ya mvua na Maafa ya Mafuriko nchini, Aprili 14, 2024. Dar es Salaam.
  7. Ojuolegbha

    Serikali: Watu 33 Wamefariki Kutokana na Mafuriko na Mvua Kubwa katika Mikoa ya Morogoro na Pwani

    Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari Ijumaa, Aprili 12, 2024 3:30 Asubuhi Ukumbi wa TTCL, Jengo la TTCL, Ghorofa ya 12, Barabara ya Samora, Dar es Salaam https://www.youtube.com/live/nUer3g5TXCs?feature=shared UPDATES Mvua na Mafuriko Itakumbukwa kwamba tarehe 24...
  8. Roving Journalist

    Vedastus Manyinyi: Wananchi hawataki kikokotoo cha sasa, kwanini Serikali inalazimisha?

    Fuatilia kinachojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 5, leo Aprili 8, 2024 jijini Dodoma. https://www.youtube.com/watch?v=RWUrwI58Nt4 Mbunge wa Musoma Mjini (CCM) Vedastus Manyinyi amesema Serikali inapaswa kusikiliza kilio cha wananchi kuhusu kikokotoo kwani wao wanataka wapatiwe...
  9. Erythrocyte

    Mkutano wa hadhara wa Chadema Mbulu Wafana

    Chama kinachoongoza kwa kuungwa mkono na watu wengi Nchini Tanzania , leo kimefanya Mkutano wa Hadhara huko Mbulu , kwenye Kata ya Mbulu. Mwenyekiti wa Kanda hiyo, Nabii wa Mungu Godbless Lema ameongoza semina kali ya kumkataa Shetani na mambo yake yote. Hali ilikuwa hivi
  10. Roving Journalist

    Bunge la 12: Serikali yasema Wakazi wa Dar watasambaziwa huduma ya mabomba ya gesi

    Fuatilia kinachojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 3, leo Aprili 4, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=fQ35KHplqx4 NAIBU WAZIRI: SERIKALI INA MKAKATI WA KUPELEKA GESI KATIKA NYUMBA 10,000 ZA DAR DODOMA: Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali inatarajia...
  11. T

    Mkutano wa dharura waitishwa NEC, Makonda atatenguliwa rasmi Uenezi, Mwenyekiti alivunja Katiba ya chama kumwengua

    ASIYEKUTEUA HAWEZI KUKUTENGUA KATIBA YA CHAMA CHA MAPINDUZI TOLEO LA 2022 IBARA YA 102 Kazi za Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa zitakuwa zifuatazo:- KIFUNGU CHA 12 Kuchagua Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa wa Itikadi na Uenezi KIFUNGU CHA 21 Kumwachisha au kumfukuza Uongozi kiongozi...
  12. Erythrocyte

    Mkutano Mkuu wa Chadema Arumeru Magharibi wafana

    Ni katika mikakati ya Chama hicho kujiweka sawa kwa ajili ya chaguzi zijazo Taarifa kamili hii hapa
  13. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Aisha Ulenge akizungumza katika Mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Geneva Uswissi

    MHE. ENG. AISHA ULENGE, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga Akizungumza katika Mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Geneva Uswissi. Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga, Mhandisi Mwanaisha Ulenge ameshiriki katika Mkutano wa 148 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaofanyika jijini Geneva...
  14. L

    Wajumbe wa mkutano wa UNEA-6 waipongeza China kwa kupeleka nishati safi katika nchi zinazoendelea na kulinda mazingira ya dunia

    Baada ya maandalizi ya miezi kadhaa na mikutano rasmi iliyofanyika kwa siku tano, kikao cha sita cha Baraza la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEA-6) kilichofanyika mjini Nairobi, Kenya, hatimaye kimefikia tamati. Kikao hicho kilichoanza tarehe 26 Februari hadi Machi 1, kilipitisha maazimio 15...
  15. J

    JamiiForums ilisherehekea siku ya Wanawake Dunia kwa Mkutano na Wanawake ambao ni Waandaaji wa Maudhui Mtandaoni

    Video hii inaonesha kwa ufupi Siku hii ilivyokuwa Katika kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani JamiiForums iliandaa mkutatano na Waandaaji wa Maudhui Mtandaoni ambao ni Wanawake. Katika mkutano huu Wadau hawa walijadili changamoto mbalimbali wanazopitia Waandaaji hao wa Maudhui Mtandaoni...
  16. Ojuolegbha

    Mkutano wa kisekta wa ushirikiano katika Sekta ya Ulinzi

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ameshiriki pamoja na mawaziri wenzake wa Ulinzi toka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki katika mkutano wa Kisekta wa Ushirikiano katika sekta ya Ulinzi, tarehe 8 Machi, 2024.
  17. J

    JamiiForums Yaadhimisha Siku Ya Mwanamke Duniani kwa Mkutano na Wabunifu wa Maudhui ya Mtandaoni

    Mada: Kuwawezesha Watengeneza Maudhui: Kupinga Dhana potofu kuhusu Wanawake Kulingana na Sensa ya 2022, idadi ya Wanawake Tanzania ni 31,687,990 ambao ni sawa na 51% ya idadi ya watu. Kulingana na Ripoti ya Pengo la Kijinsia ya Mwaka 2019 iliyotolewa na Shirikisho la Mawasiliano ya Simu za...
  18. J

    CDE. JOKATE MWEGELO KUZUNGUMZA NA WATANZANIA KUPITIA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI

    CDE. JOKATE MWEGELO KUZUNGUMZA NA WATANZANIA KUPITIA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI Ndugu Jokate Urban Mwegelo (MNEC), Katibu Mkuu wa UWT, anatarajiwa kuzungumza na Watanzania kupitia Mkutano na Waandishi wa habari. Mkutano huo utafanyika Ofisi ndogo ya UWT Taifa, Lumumba Jijini Dar es salaam...
  19. J

    Jokate Mwegelo Katibu Mkuu wa UWT, kuongea na Wanahabari

    CDEOKATE MWEGELO KUZUNGUMZA NA WATANZANIA KUPITIA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI Ndugu Jokate Urban Mwegelo (MNEC), Katibu Mkuu wa UWT, anatarajiwa kuzungumza na Watanzania kupitia Mkutano na Waandishi wa habari. Mkutano huo utafanyika Ofisi ndogo ya UWT Taifa, Lumumba Jijini Dar es salaam...
Back
Top Bottom