kijijini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Nampa pole ndugu Samia Suluhu Hassan kwa kuondokewa na rafiki yake Kipenzi Wicknell Chivayo

    Wahenga walisema kifo ni kifo tu tusizue taharuki lakini kuna wakati kifo ni msiba mzito. Najaribu kupata picha ya uchungu ulionao, hivi majuzi umempoteza mume wako halali, na Chivayo alikuja kukupa pole. Jana nayeye kafariki na mke na watoto, najua imekuuma sana. Ingawa binafsi nimepokea...
  2. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Ninampongeza sana Mbowe kuamua kutumia muda wake mwingi kijijini Machame na kujiweka mbali na siasa

    Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikijiuliza Mbowe kwa sasa yuko wapi baada ya kuporwa chama na mnyampaa? Nadhani ni swali la watu wengi pia. Nimeshangaa kugundua jabali la siasa za upinzani nchini anatumia muda wake mwingi Machame. Yaani hajihusishi kabisa na siasa kwa sasa. Watu wangu kadhaa walio...
  3. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Sadio Mane awekeza kwenye kiwanda cha embe (Mango plant) kijijini kwake Bambali

    Sadio Mané: Ameendelea kujenga maisha ya watu Bambali Alizaliwa katika kijiji kidogo cha Bambali, Senegal, akaanza safari yake ya soka kwenye mazingira ya kawaida kabisa. Amewahi kuichezea Southampton, Liverpool, Bayern Munich na sasa Al-Nassr, akishinda UEFA Champions League, AFCON na kuwa...
  4. bless on

    JamiiForums Tanzania Ndoto za kurudi Shule na Kijijini kwenu zina Maana Gani?

    Usiku wa manane, unashtuka kutoka kwenye usingizi mzito ukiwa unavuja jasho na moyo unakwenda mbio. Kwenye ndoto yako ya kwanza, unajikuta umekaa tena kwenye benchi la mbao darasani. Saa ukutani inatembea kwa kasi, karatasi ya mtihani iko mbele yako, lakini hujui hata swali moja. au pengine...
  5. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Kingai aliyejenga nyumba ya Mungu kijijini kwao kesho anakwenda kuchuma dhambi

    Amejenga msikiti mkubwa kwao bumbuli kama sehemu ya toba kwa mola wake kesho anakwenda kujichumia madhambi kwa kuongea vya uongo ili Lissu anyongwe
  6. k-bee

    JamiiForums Tanzania Kijana wa Kitanzania (bara) usiende mjini; kijijini kunatosha

    Kama kichwa kinavyojieleza..; Nimefanya uchunguzi wangu mdogo nimegundua maisha ya kijijini yana unafuu na raha zaidi ya maisha ya mjini kwa kijana anayejitafuta..! Kijijini maisha si mazito kama mjini mana kijijini unapata mboga za majani bure kabisa kwa majirani shambani au unapanda mwenyewe...
  7. Equation x

    JamiiForums Tanzania Maisha mema yanapatikana kijijini

    Tangu niamie huku kijijini, sizeeki kihasara hasara Napata maji safi, Hewa safi, Kelele nzuri za ndege, Hakuna msongo wa mawazo, Napata mayai, nyama, maziwa muda wowote ninaotaka, Napata vitu vingi bustanini, Matumizi ya hela ni madogo sana kutokana na vitu vingi kupatikana shambani na kwenye...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya kuunganishiwa Umeme REA Igonyamu, Mbeya DC

    Naomba kuwasilisha kero yangu inayohusu kuunganishwa kwa umeme wa REA Kijijini kwetu IGONYAMU KATA YA IWINDI MBEYA DC. Baada ya mda mrefu wa kusubiri kuunganishiwa umeme kijijini kwetu na wanakijiji kujitolea kuchimba mashimo na kubeba na kusimika nguzo kwa umbali mrefu kwa nguvu ya wanakijiji...
  9. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Leo asubuhi wazee niliokuwa nawaheshimu sana hapa Kijijini wamefanya jambo la hovyo sana; wameshindana kutangaza msiba. 🤔

    Wakuu, Leo asubuhi nimekaa juu ya jiwe lililoko nyuma ya nyumba yangu naota jua la saa nne. Ghafla nikaona Mzee mmoja anatokea upande wa mashariki (alikuwa anatembea taratibu), nikaangalia kusini nikamuona Mzee mwingine anakuja (huyu alikuwa amenikaribia). Yule Mzee aliyekuwa anatokea...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Lemara Kati, Kata ya Lemara Kati - Arusha na maeneo ya Njiro barabara ni mbaya kama tupo kijijini

    Barabara ya Lemara Kati, Kata ya Lemara Kati, Jiji la Arusha pamoja na maeneo ya Njiro karibu na Fiber Board imekuwa katika hali mbaya kwa muda mrefu ya barabara, inaonekana kama tupo kijijini. Usafiri wetu ni mkubwa Bajaj kutokana na ubovu wa barabara hiyo. Wakati maeneo mengine kama...
  11. Sprouts pre School

    JamiiForums Tanzania Je kijijini kwenu kuna hawa watu wanaomba kama vijiji vya kwetu?

    Ukienda pale kijijini kwetu, inakubidi uwe umechenji hela zako ziwe buku buku au buku mbili, Aise Wamezidi Kuomba, yaani usikutane na mtu anayekujua utasikia tu "We Kijana Wa Mama Flani ninunulie basi sukari" hujakaa sawa Huyu nae anataka Buku, Mara buku mbili. Kwa sisi watu Wa Vyombo Hadi...
  12. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ni nani mwenye jukumu la kupendezesha kijijini kwenu?

    Wengi hatuendi vijijini tulipo toka kutokana na labda mazingira sio rafiki. Inawezekana labda, bado kuna nyumba za nyasi, udongo, choo kisichokuwa na ushirikiano, hakuna umeme, au mazingira ni machafu. Ingawa huku mjini tunajimwambafai kuwa tuko vizuri, kwa kuendekeza starehe, kujifanya...
  13. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Nimeondoka Kijijini kwetu (Wilayani) 2014 nimerudi 2026, ila vijana wapo vilevile hakuna Maendeleo

    Miaka yote nilikuwa nasoma nimebahatika kupata shahada Ila Cha ajabu wale vijana walioishia standard 7 wengine form four hawana Maendeleo wala utajiri mkubwa Je na Mimi nijiandae kuwa mmoja wao? Au nihame nikatafute mbali?
  14. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kurudi kijijini kabisaaa, karibu na makaburi ya ukoo

    Wakuu ! Salam haisaidii zaidi ya mikakat na ushaur wenu. Nkmekuwa naishi kama ngedere au "guruguja" yani kila zahma balaa tupu. Nimegubikwa na mikopo nadaiwa mpaka na songesha na mshahara kwa hatua niliyofikia hautoshi hata kula milo mitatu. Mke na watoto, familia n mm mwenyew maisha ya...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Kuna baa moja huku kijijini Nyamongo Tarime imeandikwa Kila bosi anaye bosi wake

    Wadau naomba maoni yenu niko mitaa ya Nyamongi muda huu naona hiyo baa ikiwa na hilo jina watu wako ndani wanakula bata
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali inamtua Mama wa Kijijini ndoo kichwani, DAWASA inamtwisha ndoo upya mama wa Mjini

    Mimi ni Mkazi wa Mbezi Mwisho, Mitaa mingi haipati maji kwa muda mrefu, hivi utawala wa DAWASA wanajua kuwa kuna Watu wengi tu wana bili za 0 unit kwa miezi zaidi ya mitatu? Serikali ipo kwenye jitihada ya kumtua ndoo mama wa Vijijini, lakini DAWASA WANAMTWISHA NDOO upya mama aliyetuliwa years...
  17. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Pombe za kijijini Alfajiri

    Raha sana pale unapokuwa ubanda katika hali ya utulivu. Pengine waweza kuwa unazimua au ndio unaanza kukata kiu. Mama muuza anawaweka katika hali ya kuwaficha kukwepa vijineno vya kijijini. Ni alfajiri haswa pale kunapoanza kupambazuka. Moyo huwa na amani sana na furaha pale uvutapo Funda...
  18. Desierto

    JamiiForums Tanzania Hii Haina tofauti na mzazi anamtoa mtoto wake kijijini aje kufanyia kazi za ndani mjini

  19. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Tanzania si nchi ya kununua unga wa ugali nyie mliokuja kijijini msiondoke bila kulima eka 1 ya shamba la mahindi

    Nianze na kumpongeza Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan 🇹🇿 kwa kuenzi falsafa ya Mwl Nyerere ya Siasa na kilimo. Toka aingie madarakani Mh. Rais ameendelea kugawa matani kwa matani ya mbolea za ruzuku kwetu sisi wakulima. Asante sana Rais WETU🙏 Mtanzania kununua unga wa ugali na hii ardhi nzuri...
  20. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Hivi Hawa wazee wanaotumia majukwaa kuhatarisha amani yetu wangefanyiwa hivi wao wakiwa vijana Leo hii wangekuwepo hai? Wazee acheni ubinafsi

    Kwa Karne hii tunategemea tuone wazee wakitoa maonyo maangalizo ya nini tufanya na nn tusifanye ili kulinda uhai wetu ili hatimaye na sisi tuje tuzeeke tukiwa hai kama wao ila hii imekuwa tofauti kwa Hawa wazee wetu wa TEC kwa kweli hawapo katika kujenga, hawana uwezo wa kuonya dhidi ya mambo...
Back
Top Bottom