kutibiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JKCI yatambulisha huduma maalum itakayowezesha baadhi ya wenye matatizo ya moyo kutibiwa wakiwa nyumbani

    Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imetambulisha rasimi huduma maalumu inayotambulika kama 'home-based care' ambayo itawawezesha wagonjwa wenye changamoto mbalimbali ambazo wamekuwa wakishughulika nazo kupatiwa huduma wakiwa majumbani kwao. Akizungumza wakati akitambulisha huduma hiyo...
  2. M

    Wanachama wa Yanga kutibiwa kwa bei ya punguzo kwenye Hospitali za Agakhan

    Klabu ya Yanga SC, leo hii imeingia mkataba na Hospital ya Aga Khan, ambapo itawafanya wachezaji wa Yanga kupima afya zao, lakini pia wanachama na mashabiki wa Yanga SC kuweza kupata huduma nchi nzima kwenye Hospital za Aga Khan. Wanachama wenye kadi ya uanachama wa Yanga SC wanaweza kuhudumiwa...
  3. R

    Waliopiga marufuku dawa zisije nchini toka Cuba, wanaenda CUba kutibiwa wao na ndugu zao

    Polepole alileta hoja ya wagonjwa kujiandikisha wapate dawa kutoka CUBA akishirikiana na Hospital ya Kairuki Tukaandika hapa kwamba mpango wake umepigwa vita na wanasiasa wenzake na kwamba hatofanikiwa. Wale wanasiasa kwa sababu wana ndugu zao wagonjwa na kwa kuzingatia wanaweza kutumia kodi...
  4. T

    Rais wa Namibia apata saratani, anakwenda USA kutibiwa

    Siku Waafrika wakisema tunapinga na kulaani, na ni mtindio wa akili kukubali mtu mwenye dhamana ya kukuletea huduma ya afya eti yeye ndio anasafiri kupata huduma ambazo sisi hatuzipati, tena anaenda kwa gharama zetu, siku hiyo ikifika ndio haya yatakwisha. Kwa saab, kiongozi anakosaje...
  5. JanguKamaJangu

    Majeraha ya paja yamuondoa Mo Salah AFCON, kurejea Liverpool kwenda kutibiwa

    Uongozi wa Timu ya Taifa ya Misri umethibitisha kuwa mshambuliaji wao Mohamed Salah (31) amerejea katika klabu yake kupatiwa matibabu zaidi baada ya kuumia misuli ya paja katika mchezo dhidi ya Ghana kwenye Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Salah au Mo Salah ataukosa mchezo wa leo Januari 22...
  6. M

    Naweza kutibiwa nje ya nchi kwa kadi ya bima ya Afya (NHIF)?

    Wakuu nilitaka kujua ikiwa mimi ni mwanachama wa NHIF na sasa nipo Ivory Coast. Naweza kupata huduma huku kwa kutumia kadi yangu ya NHIF?
  7. Suley2019

    UWAZI: Mfalme Charles III wa Uingereza kutibiwa tezi dume wiki ijayo

    Mfalme Charles III wa Uingereza anatarajiwa kupatiwa matibabu ya tezi dume wiki ijayo. Kwa mujibu wa Shirika la Utangazaji la BBC, Jumba la kifalme la Buckingham limesema leo Januari 17, 2024 kuwa Mfalme atapitia "utaratibu wa marekebisho". Shughuli za kijamii za mzee huyo wa miaka 75 kwa...
  8. R

    Je, kuna dini inakataza kubeti? Kama ipo waumini wake watakubali kutibiwa kwa kodi za betting? Kwanini wasitumie kwa mapato ya madini?

    Tumeanzisha mfuko wa kuchangia bima ya afya chanzo cha mapato yake ni kubeti. Ni kweli kwamba wanaobeti wengi wana matatizo ya akili na hivyo kuwawekea kiasi cha fedha zao kwenye matibabu ya afya zao ni jambo jema. Ni kweli kwamba wanaobeti wengi ni jobless hivyo kupata fedha za kujitibu ni...
  9. mdukuzi

    Kama hujui English usiende kutibiwa The Aga Khan Hospital DSM bila mkalimani,utaumbuka!

    Nilikuwa nasumbuliwa na tatizo fulani la kiafya. Baada ya kuzunguka hospitali nyingi bila nafuu,mwananzengo akaniambia niende Aga Khan. Kufika pale nskutana na specialist mwenye asili ya kiasia hajui kiswahili,nilijiuliza sana ingekueaje kama ningekuwa sijui kujieleza kiufasaha kwa lugha ya...
  10. Jesus Mlokozi

    Je akikataa kugombea itakuwaje?

    Mambo yanabadilika sana. Sisi sote ni binadamu, tupo kiwenye mikono ya mwenyezi Mungu. Je, haiwezekani kweli mpaka sasa hali ya afya siyo nzuri? Au jambo la kuonekana huko Dubai kisha Saudia siyo issue ya matibabu kweli? Promotion ni kubwa mno nahisi kama kuna jambo tofauti kabisa. Naomba...
  11. BARD AI

    Tanga: Wenye Mabusha wakataa Kutibiwa na Wataalamu wa Kike, Wasema bora Wafe

    Baadhi ya Wazee wenye ugonjwa wa Ngirimaji unaosababisha korodani kujaa maji (Mabusha) Wilayani Pangani Mkoani Tanga wamemuomba Mkuu wa Wilaya hiyo Zainab Abdallah @zainababdallah93 kuangalia uwezekano wa kubadilishwa kwa Watoa huduma wa afya wanaowatibu ili wawe Wanaume na sio Wanawake huku...
  12. libeva

    Kitu gani kinakukera ukienda kutibiwa hospitalini?

    Ukienda kupata matibabu Zahanati/Kituo cha Afya/Hospitali ya Wilaya/ Hospitali ya Rufaa au Mkoa/ Hospitali ya Kanda na Hospitali ya Taifa Muhimbili kitu gani kina kukera ili Wizara ichukue hatua kurekebisha tatizo hilo kwa kusaidia unaweza taja hata sehemu husika ili utatuzi ufanyike.
  13. Sophie sad

    Kutibiwa meno kwa bima

    Meno yamekuwa tatizo kwangu kwa muda sasa, wapi naweza pata hospitali nzuri inayopokea wagonjwa wa meno wenye bima?!
  14. J

    Maswali Tata Wamasai wa Loliondo kutibiwa Kenya

    MASWALI TATA WAMASAI WA LOLIONDO KUTIBIWA KENYA. Wakati kukiendelea na sintofahamu ya wanaharakati kutuhumiwa kutumika kushirikiana na viongozi wa eneo jirani linalopakana na Loliondo kuhamasisha vurugu kushambulia polisi waliokuwa wakilinda mpaka na kusimamia wanaoweka Beacons kiasi Cha...
  15. LIKUD

    Siku mtu mwenye mali zake mkazi wa Dar aliyeugua maradhi yasiyojulikana alivyoletwa kutibiwa kwa mganga wa kienyeji huko Lindi

    Mnakumbuka miaka kadhaa iliyo pita niliwahi kuanzisha Uzi kwamba nataka kufanya utafiti kuhusu uganga na uchawi? Basi moja Kati ya sehemu nilizo kwenda ni Kwa mganga mmoja babu wa miaka themanini na ushee huko mkoani Lindi vijijini Alie sifika Kwa kuwa Na uwezo mkubwa WA kushindana Na wachawi...
  16. MTV MBONGO

    Bibi yangu alipoenda Hospitali ya Amana Dar, alilazimishwa kuchanjwa

    Wadau naomba kujua Kama Hospitali za serikali kwenye maeneo yenu zina huu Utaratibu. Bibi yangu Alikuwa hajisikii vzr, wajukuu zake wawili wakampeleka AMANI HOSPITALI. Walimuuliza Bibi ushachanjwa? Akawaambia Bado, wakamwambia hadi achanjwe ndo wamtibu. Ilibidi achanjwe hapohapo. Kumbe hii...
  17. UZZIMMA

    Wapi nitaweza kutibiwa varicocele?

    Habari zenu humu ndani. Mimi nina tatizo kitaalam linaitwa varicoceles. ( left varicoceles) limegundulika baada ya vipimo vya ultrasound. Nimeelezwa kuwa tatizo hili ndilo linanipelekea mimi kuwa na low sperm count. Je, ni hospitali gani naweza kutibiwa tatizo hili au kama mtu ana...
  18. Jesusie

    Arusha jiji wajengewa hospitali ya kwanza yenye hadhi ya Jiji ya kisasa EAC, Watali sasa kutibiwa Tanzania badala ya Kenya

    Rais Samia Suluhu Hassan aanza kuzindua miradi ya awamu yake, Mmoja kati yake ni Hospitali ya kisasa ya 2.5bl Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan anazindua mradi mkubwa wa Hosptali ya kwanza ya Jiji iliyopo maeneo ya Njiro Jijini humo ujenzi wake umegharimu...
Back
Top Bottom