mabango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Burkinabe

    Miji yetu mingi imejaa mabango yasiyo na tija

    Hapa katikati kumezuka kasumba mbaya sana kwa baadhi ya miji na majiji yetu kuzongwa na wingi wa mabango yasiyo na tija kwa uchumi wa nchi yetu. Kila sehemu unaenda unakutana na mabango tena makubwa makubwa mengine ya mtu kumpongeza mke wake au mume wake kwa jinsi anavyompenda n.k. Hii inaleta...
  2. Heparin

    Waziri Ndumbaro kama kweli wewe ni Mzalendo, kataza Nguo za Rais Samia uwanjani, amuru mabango ya kumtukuza Rais Samia na CCM yasikanyage uwanjani

    Waziri Ndumbaro ni msomi mkubwa wa Sheria, walau kwa kurejea historia ya elimu yake bila kujali uhalisia wa mambo anayofanya. Kwamba Waziri Ndumbaro hajui kuwa FIFA hairuhusu serikali kuingilia masuala ya mpira wa miguu? na tangu lini uzalendo unalazimishwa? Ni kukosa ubunifu wa kuendeleza...
  3. BigTall

    Wakusanya kodi za mabango Ilemela hawataki kutoa ‘control number’, wanataka ‘Cash’

    Kuna kero kubwa sasa hivi Watu kutoka Halmashauri ya Wilaya Ilemela Jijini Mwanza wanapita kila ofisi wanataka kodi ya mabango na ukiomba control namba hawataki kutoa. Tunamba Serikali iondoe hiyo kodi kwa sababu mteja anajitangazia biashara zake kupitia bango ili apate kodi ya TRA, jamanI sisi...
  4. Troubleshooter

    Tunachapa vitabu, mabango, brochures kwa bei nafuu

    Habari GStar publishers ni kampuni inayojihusisha na uchapaji wa vitabu, mabango, brochures na business cards kwa bei nafuu. Tunapatikana Kariakoo mtaa wa Jangwani au tupigie kwa simu. 0719682352. Unapata kazi kwa uharaka na kwaubora wa hali ya juu, vitabu tunaprinti kuanzia kopi 10 na...
  5. Msanii

    Haya mabango ya Mama Samia kila kona, nani anagharimia? Yanatusadia nini kama nchi?

    Ina maana wananchi wameshindwa kuelewa nini Rais wetu anafanya hadi watangaziwe kwenye mabango? Ina maana raia hawamjui rais wao hadi afanyiwe kampeni kwenye mabango ilihali yupo madarakani? Haya mabango kila kona nchini yanaendelea kusimikwa kana kwamba tupo kwenye kampeni za uchaguzi aa...
  6. sky soldier

    Kwanini baadhi ya makanisa yanaweka mabango kuwaasa waumini wavae kwa heshima wakati kinachoangaliwa ni roho na sio mavazi?

    Huku ni kukosa mafunzo sahihi ya sheria ya mavazi kwa viongozi wetu wa makanisa ndio maana wanalazimika kuweka matangazo juu ya mavazi, sisi wakristo inajulikana wazi kwamba kinachoangaliwa ni roho sio mavazi, kuna haja ipi ya kuweka haya mabandiko ? uliona wapi misikitini wanaweka matangazo ya...
  7. kavulata

    Kuvaa jezi yenye mabango mawili yaleyale ni dalili ya afya ya akili kwa mvaaji.

    Uvaaji wa maVazi ni ishara ya jambo fulani kwa mvaaji kama vile huzuni, furaha, umoja, aina ya kazi ufanyayo na ujumbe unaotaka kuwasilisha kwa jamii. Jezi mpya ya Simba Ina mabango 2 kifuani yanayoitangaza bidhaa ya moxtra, hii inamaanisha nini kwa atakaekuwa ameivaa hii jezi, imekosewa...
  8. Nsanzagee

    Mabango yote nchi nzima, sifa zote mitandaoni za Rais Samia, hata kwenye 10 bora kuwa na GDP kubwa hatumo?

    Business Insider Africa presents 10 African countries with the lowest GDP projection for 2023 as the year rounds off. This is according to the International Monetary Fund’s World Economic Output report for October. The IMF's basic case assumes that inflation keeps declining. GDP projections...
  9. SAYVILLE

    Maoni yangu ya kisomi kuhusu mabango ya Yanga

    Nitaelezea kwa ufupi sana maoni yangu ya kisomi kuhusiana na ishu ya mabango ya Yanga yanayoonyesha matokeo ya mechi yake na Simba yaliyopachikwa maeneo mabalimbali Dar es Salaam. Upande mmoja wamekuja na hoja kuwa walichofanya Yanga ni kuchukua maudhui kutoka Azam TV na walichofanya ni...
  10. Erythrocyte

    Butiama: Oparesheni 255 yapokelewa kwa kishindo, Mbowe akumbana na Mabango, ayasoma na kutoa majibu

    Tulishasema humu na kwingineko kwamba kuiteketeza CCM kunahitaji muda mfupi sana, wala hatuhitaji miezi mingi. Muda huu ninaoandika hapa tayari Mwamba wa siasa za Eneo la Maziwa Makuu, Freeman Mbowe , Laingwanan , Mtemi Isike ama Ustaadh Aboubakar Mbowe, kama anavyofahamika Nchini Zanzibar...
  11. Erythrocyte

    Mapokezi ya Yanga: Mabango yenye picha ya Rais Samia yapuuzwa, yakanyagwa

    Pamoja na juhudi kubwa za Mamluki walioingilia mapokezi ya Yanga kuchomekea mabango yenye Picha za Samia Suluhu (Haifahamiki Malengo yao) lakini kutokana na Wingi wa Watu kwenye eneo la Uwanja wa ndege, mabango hayo yameishia kupuuzwa na kukanyagwa na wananchi waliojazana uwanjani hapo. Wala...
  12. kavulata

    Mabango yenye alama ya upinde wa mvua pale uwanja wa ndege DSM yamewekwa na nani?

    Kuna Mabango 2 kwenye malango ya kuingia na kutoka uwanja wa ndege wa Julius Nyerere International Airport yenye rangi za upinde wa mvua. Kila siku ninayaangaliaaaaaa hadi nachoka. Hivi Yale Mabango yanamaanisha nini? Maana hakuna maandishi mengine yoyote ila hiyo alama tu. Nani kayaweka pale...
  13. J

    Kwa kuzusha Serikali umetumia Tsh 300 bilioni kutengeneza Mabango ya Rais Samia nashauri Wenje akamatwe na kuhojiwa

    Nimeona kupitia Jambo TV Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Ziwa Victoria mh Wenje akidai Mabango yenye picha za Rais Samia yaliyoko barabarani yameigharimu Serikali tsh 300 Bilioni Fedha za Walipa kodi. Binafsi nauita huu ni Uwongo na Uzushi uliotukuka. Wenje akamatwe na kuhojiwa, ndio ushauri...
  14. JF Member

    Ifike hatua haya Mabango ya Rais Samia yaondolewe

    Ukweli usemwe na Rais kama anapitia hapa ashaurike pia. Haya Mabango ni pesa ndefu sana; ukienda hospital ukakuta huduma sio nzuri, mara dawa hakuna ghafla unatoka nje unakutana na bango la Rais Samia la pesa ndefu lazima uvurugwe. Maisha yanapanda kila siku na Bei zinapaaa na Tozo...
  15. S

    Wafanyakazi wameandaa mabango na T-shirts zao lakini wanapita mbele ya Rais Samia kwa kukimbizwa kama mbwa mwizi

    Kama Rais hana muda wa kupokea waandamanaji wote basi waratibu wa sherehe hizi za Mei Mosi walipaswa kupunguza makundi ya waandamanaji. Watu wamepoteza muda wao kujiandaa, wakatafuta na t-shirts halafu wanapita mbele ya mhe rais wakikimbizwa kama kuku wa mgeni ama mbwa mwizi. Watu wazima...
  16. T

    Kama Samia atagombea urais 2025 awekewe zuio yeye na chama chake wameanza kampeni za urais mapema. Mabango mengi hadi KERO!!

    Nimepita mikoa mingi ya nchi yetu na kukuta mabango mengi yanayomsifia Samia. Kwa maoni yangu mabango haya ni kiashiria cha CCM kuanza kumnadi mgombea wa ccm kabla ya nec kupuliza kipenga cha kuanza Kwa kampeni. Nashauri wagombea wenzie wamuwekee pingamizi wakati ukifika.
  17. Abraham Lincolnn

    Hizi gharama za kusambaza mabango zinatoka wapi na yana faida gani kwa Watanzania?

    Nimejiuliza maswali haya nimekosa majibu, Hivyo nimekuja kwenu wadau mnisaidie. Ukipita maeneo mengi hususan mijini utakuta mabango yenye picha za kusifu mf. "Ametekeleza maono" "Ameimarisha huduma za umeme" n.k, Je, mabango haya yanagharamikiwa na chama au serikali? Je, yanafaida gani kwa...
  18. Malaika wa Misukosuko

    Haya mabango ya barabarani yamenifurahisha

    Habarini wana JF, kiufupi mimi shughuli zangu za kutafuta coins nazifanyia tu hapa hapa mtaa fulan huku Dodoma, ila zilipita siku nyingi kidogo kama mwezi hivi sijaenda town. Sasa leo nikaona acha niende huko mjini kununua mahitaji kidogo, aisee nimeshtushwa kidogo baada ya kila kona ninayopita...
  19. PakiJinja

    Kigali International Peace Marathon: Wabongo twendeni tukashiriki au tuandaeni mabango

    If you know wharra am saying. Maana huwa tunajitia umaajumui sana katika mambo tusiyoyajua.
Back
Top Bottom