kodi

 1. M

  Biashara zipi hazina kodi

  Nipo wilayani nafanya biashara 2.moja Ni ya kununua na kuuza mifugo, hakika sijawahi lipa Kodi, 2. Biashara ya chuma chakavu hii ina usumbufu mwingi, vibali polisi , rushwa , kutishwa tishwa, nataka kuacha niambie Ni biashara nyingine ipi ipo free from tax nifanye
 2. B

  Waziri ang'aka akitaka Kodi za Pango la Ardhi

  Amesikika waziri Angelina Mabula akidai kodi kwa wananchi choka mbaya: Bila shaka hii ni juu ya kodi za pango la nyumba na tozo za Dr. Mwigulu zinazokusanywa juu kwa juu kupitia miamala ya simu. "Inafikirisha kuwa sehemu kubwa ya pesa hizi zinazokusanywa kwa nguvu kutokea kwa wananchi hawa...
 3. Sky Eclat

  Kibonzo: Wapigiwa kura wanavyotumbua kodi yetu

 4. Kalunya

  SGR zihurumieni kodi zetu

  Wasalamu sioni haja ya kujenga madaraja vivuko vya magari kwenye mapitio ya magari wakati kuna njia mbadala na nafuu kwanini msiinue reli kwa kuongeza ukubwa wa tuta treni ipite juu magari yapite chini kupunguza gharama kama mfano wa karavati kubwa gari zipite chini. Airport mbomoe nyumba...
 5. S

  Kodi za Mitumba

  Hivi serikali ina-charge kiasi gani? Hiyo kuna uwezekeno / uwiano upi kusaidia viwanda vya ndani?
 6. buffalo44

  Nahitaji Chumba Single Sinza, Magomeni Kanisani, Kawe, Mbezi au Goba

  Hello wakuu. Nipo natafuta chumba single. Kuanza life baada ya chuo. Naomba mwenye nyumba yoyote aliye maeneo hayo anisaidie room single Bajeti yangu ni 60k - 80k kwa mwezi. Dalali niseme hela yako inaniwia ngumu. Ikiwa 50% nipo tayari. Msaada wenu.
 7. B

  Kodi anayolipa Mtanzania inamrejea kwa njia ipi? Inatosha?

  Leo ninapenda kueleweshwa hili la kodi tunazo lipa. Huduma kama vile - : Maji tunalipia Umeme tunalipia Elimu tunalipia Hospitali tunalipia barabara tunalipia Mtanzania anapata wapi Asante ya kodi yake na Masamaki, mamisitu, mazahabu, maalmasi, maserengeti ngorongoro
 8. Naantombe Mushi

  Utatuzi wa wamachinga ilikuwa ni kuwatoza kodi. Hiyo ndo ingeleta Win-Win kwa machinga na Serikali

  Niliwahi kuleta uzi wangu hapa kuhusu hili suala mwezi August, kwenye stories of change kwa lengo la kutoa ushauri kwa serikali wa namna bora ya kukabiliana na hili suala...
 9. B

  Rais Samia, tafadhali usitumie kodi zetu kwa ajili ya CCM

  Nimeshangazwa sana kwa kitendo ulichofanya jana mkoani Arusha kuugeuza mkutano wa hadhara wa Rais wa JMT kuwa mkutano wa kisiasa wa CCM. Ninakukumbusha kwamba gharama zilizotumika jana ni kodi zinazotolewa na Watanzania wote na yamkini waliokuwepo uwanjani ni watanzania wa vyama vyote na...
 10. idoyo

  Ni vita kati ya Wapigakura na Walipakodi. Mwamuzi anawataka wote, ila mmoja zaidi

  Mmachinga akipambana na walinzi wa duka la Sandaland huko Kariakoo, Dar Kwa kuwa leo ni siku ya mapumziko, nikajisemea niende kushangaa mjini (Posta na Kariakoo, Dar) kidogo. Huwa sipendi kwenda siku za kazi kwa sababu ya vurugu za hapa na pale, hata na hivyo shughuli zangu nyingi ni nje ya mji...
 11. M

  Waziri Makamba, Tatua suala la kodi ya pango kupitia ununuaji wa LUKU

  Mheshimiwa Waziri Makamba Inavyoonekana vijana/watu waliotengeneza mfumo wa kulipia kodi ya jengo kupitia ununuaji wa LUKU walichokifanya, ni kukata pesa kupitia kila namba ya simu itakayonunua LUKU bila kujali namba hizo tofauti zinanunua umeme kwa ajili ya mita moja. Mathalani kama Namba X...
 12. U

  Mgao wa madarasa 20m, serikali iondoe Kodi , vifaa vya Ujenzi juu

  Ummy Mwalimu umegawa kila chumba Cha darasa 20m, kwasasa ni ngumu kwa bajeti hio, vifaa vya Ujenzi juu Sana, naomba mutoe special offers yaani tax exemptions kwa Ujenzi juu wa madarasa vinginevyo mtatumbua, au mjenge kwa matofali ya udongo then plasta tu ndo cement, halaf nondo moja tu Tena...
 13. Political Jurist

  Rais Samia aweka Rekodi Makusanyo ya Kodi 1.9 Trilioni Mwezi Septemba 2021

  MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWEKA REKODI MAKUSANYO YA KODI 1.9 TRILIONI MWEZI SEPTEMBER Na, Mwandishi wetu, Dar es salaam Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa Rais wa kwanza Tanzania kuweka rekodi ya makusanyo ya Tshs. 1.9 trilioni kwa Mwezi September pekee. Taarifa hii ipo kwa usahihi...
 14. Numero Uno

  Makato ya kodi

  TANESCO makato ya kodi yanakatwaje Nimenunua umeme kwa kutumia namba za simu tofauti lakini namba zote zimekatwa Namba zote zimenunua umeme kwa meter moja kwanini nimekatwa kodi?
 15. S

  Kodi halali ni VAT nyingine zote ni wizi, amkeni

  Ukweli usemwe kodi ya uhalali katika nchi nyingi ni ile inayopewa jina la VAT na hutozwa pale unaponunua kitu. Ila hapa Nyumbani Tz kuna mlolongo wa kodi zisizo na miguu wala kichwa ila zinameno na zinatumaliza wananchi. Unaenda kununua mfano luku ya umeme mle ndani mna tozo tatu kuna hiyo ya...
 16. Jidu La Mabambasi

  Tony Blair kaja kumwona Mama Samia? Nina Masikitiko!

  Kati ya viongozi wa Uingereza waliowahi kunikatisha tamaa ni Tony Blair. Huyu alikuwa Waziri Mkuu wa Uingereza kati ya mwaka 1997 mpaka 2007. Wakati akipata Uwaziri Mkuu, ndiye alikuwa kiongozi kijana kuliko wote kwa miaka 185 ya historia ya Uingereza, na alikuwa na miaka 44 tu. Na alikuwa...
 17. Meneja Wa Makampuni

  Hivi kama kodi zinajikata zenyewe kwa njia ya mitandao kuna haja ya kujaza watu wa kodi maofisini

  Kwa nilichokuja kugundua ni kwamba kodi nyingi sasa zinatokea kwenye miamala ya simu tunayotuma na kupokea. Kwa njia hiyo inamaanisha kwamba zikijikata tu zinaingia, moja kwa moja kwenye akaunti ya kodi hivyo automatically zinajihesabu zenyewe. ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… Sasa kama mambo mazuri ndio hayo nilikua...
 18. Meneja Wa Makampuni

  Hivi kama kodi zinajikata zenyewe kwa njia ya mitandao kuna haja ya kujaza watu wa kodi maofisini?

  Kwa nilichokuja kugundua ni kwamba kodi nyingi sasa zinatokea kwenye miamala ya simu tunayotuma na kupokea. Kwa njia hiyo inamaanisha kwamba zikijikata tu zinaingia, moja kwa moja kwenye akaunti ya kodi hivyo automatically zinajihesabu zenyewe. ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… Sasa kama mambo mazuri ndio hayo nilikua...
 19. Frustration

  Kampuni za simu zimepunguza vifurushi vya internet tena

  Vodacom na Tigo walikuwa na kifurushi cha @1000tsh dk 100, sms 100 na 1Gb 3days au kwa @1500 tsh kwa 7days. Sasa hivi voda cha 3days wameweka 800MB na tigo 750MN. Airtel ndio wameua zaidi in short jionee mwenyewe. Najua serikali ina mkono au baraka zake hapa.
 20. Opportunity Cost

  Kadogosa wa TRC, Badala ya kutetea Kodi za Watanzania yeye amekuwa mpiga debe wa Mkandarasi Yepi Markez. Je, tuendelee kumuamini?

  Habari wadau.. Nimesoma habari kwenye gazeti la the Citizen kwamba kuna mvutano Kati ya Mkurugenzi wa TRC ndugu Kadogosa na Mamlaka ya Usimamizi wa Manunuzi ya Umma yaani PPRA Kuhusu kutoa tenders za ujenzi wa reli vipande vya makutopola Tabora na Tabora Isaka yaani lot 3 na 4. Kwamba bwana...
Top Bottom