Ninapenda kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu ujazo wa gesi ya kupikia.
Tarehe 24 March 2026 nilijaza gesi kama kawaida lakini cha kushangaza ni kwamba tarehe 10 tu ya mwezi Aprili gesi imeisha, matumizi yangu ni yaleyale ya kawaida ya kila siku, hapo nyuma gesi hiyohiyo ilikuwa inanichukua...
Je, Jamii tuna ELIMU ya kutosha jinsi ya kutumia gas na kulinda mtungi wa gas ili kuepuka hatari? Kwanini kampuni za gas zisingeweka sticker ya kuonesha do's na donts za gas.
Kwa mfumo wa picha na maneno maana wengi hawajasoma na hawana elimu na wana tumia Gas.
Mwaka flani nilifurahi kuona...
Unajisikiaje unapotumia mitungi ya gesi ya wizi kupitia maandamano?
Unajisikiaje kuchoma duka/Sheria za watu?
Unajisikiaje unapochoma gari la mbao limekukosea Nini?
Unajisikiaje kubomoa miundombinu ya mwendokasi ambayo unatumia mwenyewe? Unajisikiaje kuvunja ATM ili kuiba hela za sisi ambao...
Wafanyabiashara wa gesi, kumbukeni jambo hili la msingi kwa usalama wa familia zenu na wateja wenu:
msihifadhi mitungi ya gesi mnazouza ndani ya nyumba mnazoishi.
Mitungi ya gesi ni bidhaa yenye hatari kubwa ikiwa haitahifadhiwa kwenye mazingira sahihi. Gesi ikivuja ndani ya nyumba inaweza...
Kwasasa nchini Kuna nyumba za ibada ukiingia tu as if umeingia kwa mganga wa jadi unakuta mtumishi wa mungu anasema wakati anasali ameona bango🤣🤣...... stupid!
Kumbe siasa zimemjaa mpaka amegeuka kuwa Kama mchawi Sasa.
Jueni kuwa wewe mtumishi wa Mungu huna uwezo wa kunibadilisha mm chama...
Maskini pombe, haina mdomo wakumsema mtu vibaya, haina miguu kusema itamfata mtu nyumbani kwake, yenyewe imejitulizia ndani ya kifungashio chake kimya.... lkn kutwa kuchwa ipo midomoni mwa watu kusemwa vibaya na kusingiziwa malalamiko kibao. Hebu cheki hapa baadhi ya hali/mambo ambayo pombe...
SHINYANGA KUNUFAIKA NA MIRADI YA REA, WAUZIWA KWA RUZUKU MITUNGI 13000
📌Kila wilaya kunufaika na mitungi ya gesi 3,255
📌REA yachochea ushiriki wa wanawake katika shughuli za kiuchumi
📌Mradi kupunguza ukataji wa miti unaosababisha mabadiliko ya tabianchi
Wakala wa Nishati Vijijini (REA)...
Au labda sio asili yetu? Au labda basi tunachukulia poa? Au basi tu utamaduni huu haujakuwa channeled katika jamii zetu?
Simaanishi kuwa wazungu hawapigi mitungi na mikasi, ila wengi wao wame evolve kuburudisha nafsi na mwili kwa kufanya utalii, meditation, vitabu vya furaha, beach walking etc...
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inasambaza mitungi ya gesi 13,020 mkoani Shinyanga.
Mitungi ya gesi ya kilo 6
yenye thamani ya shilingi milioni 545.538, Itasambazwa kwa bei ruzuku ya shilingi 20,950, badala ya shilingi 41,900
Lengo ni kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya...
Dkt. Damas Ndumbaro ambaye ni Waziri wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini amegawa Majiko ya Gesi 150 ya kupikia pamoja na Viambata vyake kwa Wanawake wa Kata 21 za Jimbo la Songea Mjini
"Mapema Desemba 27, 2024 hapa manispaa ya Songea Mjini nikiambatana na Kamati ya Mfuko wa...
REA KUSAMBAZA MITUNGI YA GESI 13,020 KWA BEI YA RUZUKU MKOANI SHINYANGA
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unaendelea kutekeleza Mradi wa usambazaji wa mitungi ya gesi ya kilo 6 kwa bei ya ruzuku, ambapo inatarajia kugawa mitungi 13,020 katika mkoa wa Shinyanga, Mradi huo utagharimu jumla ya...
DKT. FLORENCE SAMIZI AGAWA MITUNGI YA GESI 200 KWA MAAFISA UPISHI 200 MUHAMBWE.
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe, Mhe. Dkt. Florence George Samizi amehamasisha wananchi kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 27 Novemba, 2024.
Katika kuuunga mkono kazi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Wafanyabiashara wenye kuagiza bidhaa muhimu toka nje tumeona kila wakati wakihujumu mipango ya taifa ya kuzalisha bidhaa hizo nchini. Tumeona kwa mfano wakihujumu uzalishaji wa ngano ili biashara yao na wabia wa nje isife. Tumeona mfano huo kwa uzalishaji wa sukari kila wakati kukiwa na hujuma...
Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF) Yagawa Mitungi ya Gesi 2,000 (Kg 30) kwa Wanawake Wajasiriamali Mkoa wa Kusini, Zanzibar
Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) chini ya Mwenyekiti wake, Mhe. Wanu Hafidh Ameir tarehe 04 Julai, 2024 imegawa Mitungi ya Gesi 2,000 ( KG...
Kwa wafanyabiashara wakubwa wa GAS kuna mitungi inauzwa ipo 300 cylinder zisizo na gas.
Mtungi mmoja bei (Bila Usafiri) 14,000.
Kampuni iliyopo ni Taifa/Mihan Gas...
Anahitajika Mfanyabiashara atakaeweza inunua kwa pamoja mitungi yote 300 na sio 200 wala 250 wala 270 bali ni yote 300.
Bei...
Huu ni muendelezo wa Makala zangu za Kushauriana / Kuulizana na nyie Wadau.., Ni Nishati gani Safi ya Kupikia na ya Gharama nafuu kwa Mazingira ya Tanzania; Binafsi nikaja na jibu la Umeme na kuelezea kama hizo nyuzi mbili zinavyojieleza...
Na Mwandishi Wetu, Tanga.
NAIBU Waziri wa Nishati Judith Kapinga amegawa mituni ya gasi 1500 kwa wakazi wa Kijiji cha Msomela Handeni Wilayani Handeni mkoani Tanga iliyotolewa na Kampuni ya Taifa Gas.
Kutolewa kwa mitungi hiyo kwa wakazi hayo inalenga kuunga mkono kampeni ya Rais wa Jamhuri ya...
Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Wakili Albart Msando(kulia) akimkabidhi mtungi wa Taifa Gas Shekh wa Wilaya ya Handeni, Shaban Kizulwa wakati wa hafla ya kukabidhi mitungi 300 ya Taifa Gas Bure kwa wakazi wa wilaya ya Handeni mjini.Ikiwa ni Kampeni maalumu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Hivi kampuni zinazotengeneza hii mitungi midogo ya gesi kwani hakuna namna hichi kifuniko cha plastic (seal) ikawekwa katika namna inayomuonesha mteja namna ya kukifungua?
Au kuna namna yake ya kuifungua na mimi sifahamu ndugu zangu? Maana unakuta hadi unatumia pliers, kisu, screwdriver, etc...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.