watch

 1. CalvinKimaro

  Je, BBC Tumbili Service, Amnesty International na Human Rights Watch hili hamjui?

  Siku mbili tatu hizo zilizopita mtaalamu wa UN kuhusu haki za binadamu alitoa taarifa yake baada ya kumtembelea JULIAN ASSANGE. Ni mmiliki wa WikiLeaks ambaye kwa sasa anashikiliwa na Serikali ya Uingereza akisubiri uamuzi wa ama kumkabidhi kwa serikali ya Marekani au la. Alikamatwa mwezi April...
 2. Mystery

  Ni kwanini habari kubwa ya Amnesty International na Human Rights Watch haikutangazwa na vituo vyote vikubwa vya runinga nchini?

  Habari kubwa nchini hivi sasa ni hizi ripoti za Amnesty International na Human Rights Watch kuionya Tanzania kuhusu mwenendo wake wa kila kukicha, tokea Rais Magufuli aingie madarakani mwaka 2015, kupeleka sheria Bungeni za kukandamiza vyombo vya habari, kuziminya kampuni zisizo kuwa za...
 3. J

  Balozi Mahiga: Tumepokea ripoti za Amnesty International Human Rights watch na tutajibu kipengele kwa kipengele

  Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Mahiga amesema wameshapokea ripoti za Amnesty International na Human rights watch na wameshaanza kuzifanyia kazi. Balozi Mahiga amesema kuna baadhi ya mambo walishayatolea maelezo huko nyuma na mengine yaliyobaki watayajibu mstari kwa mstari. Dr. Mahiga...
 4. DeepMedia

  Wapi naweza kupata casio watch kama hizi?

  Habari wakuu? Wapi naweza kupata casio watch za model hii kwa hapa Dar? 1. Casio illuminator W-96H 2. Casio Telememo illuminator AW-81 Hizi zipo tofauti na zile casio za kawaida, kuna feature ya telememo ndani yake. inaweza kustore records kidogo, contacts. ina dual time, timer n.k kwa...
Top