joshua

Joshua (), also known as Yehoshua (Hebrew: יְהוֹשֻׁעַ‎ Yəhōšuaʿ,‍ Tiberian: Yŏhōšuaʿ, lit. 'Yahweh is salvation') or Josue, functioned as Moses' assistant in the books of Exodus and Numbers, and later succeeded Moses as leader of the Israelite tribes in the Book of Joshua of the Hebrew Bible. His name was Hoshea (הוֹשֵׁעַ‎ Hōšēaʿ,‍ lit. 'Save') the son of Nun, of the tribe of Ephraim, but Moses called him "Yehoshua" (translated as "Joshua" in English), the name by which he is commonly known in English. According to the Bible, he was born in Egypt prior to the Exodus.
The Hebrew Bible identifies Joshua as one of the twelve spies of Israel sent by Moses to explore the land of Canaan. In Numbers 13:1 and after the death of Moses, he led the Israelite tribes in the conquest of Canaan, and allocated lands to the tribes. According to biblical chronology, Joshua lived some time in the Bronze Age. According to Joshua 24:29 Joshua died at the age of 110.
Joshua holds a position of respect among Muslims, who also see him as the leader of the faithful following the death of Moses. In Islam, it is also believed that Yusha bin Nun (Joshua) was the "attendant" of Moses mentioned in the Quran before Moses meets Khidr. Joshua plays a role in Islamic literature, with significant narration in the hadith.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    Anthony Joshua amchapa Francis Ngannou kwa K.O raundi ya pili

    chapa Bingwa wa zamani wa uzito wa juu, Anthony Joshua amefanikiwa kumpiga kwa Knock Out (K.O) Francis Ngannou bingwa wa zamani wa UFC wa uzito wa juu katika pambano lililofanyika Riyadh nchini Saudi Arabia. Joshua alimwangusha Ngannou katika raundi ya kwanza ya mchezo na baadaye katika dakika...
  2. ward41

    Sina mashaka na tuhuma dhidi ya TB Joshua

    Wengi wetu tunamkumbuka TB Joshua na huduma yake ya ki kanisa. TB Joshua aliaminika na watu wengi sana Africa na duniani kama nabii wa Mungu. Mimi kama mfatiliaji sana wa biblia, TB Joshua alikuwa nabii wa uongo. TB Joshua amechangia pakubwa sana kuharibu ufalme wa Mungu. Biblia inasema wazi...
  3. Victor Mlaki

    BBC wamechelewa sana kumchafua T.B Joshua, Afrika imekua sana kiroho

    Documentary iliyoachiliwa na Shirika la habari Duniani (BBC) ikionesha mashahidi wanaoonesha maovu dhidi ya Mtumishi wa Mungu mwendazake T.B Joshua ni ishara tosha kuwa nguvu ya Imani na ukuaji wa kiroho Afrika ni tishio Kwa kikundi fulani cha watu kutekeleza ajenda zao. Ukweli ni kwamba Afrika...
  4. ward41

    TB Joshua alikuwa nabii wa uongo na yuko jehanaum

    Tuhuma zinazomkabili TB JOSHUA zinaweza kuwa za kweli japo hakuna ushahidi wawazi. Ila ushahidi wa kwamba alikuwa nabii wa uongo upo wazi. TB Joshua amedanganya watu wengi Sana na ndiyo muasisi mkubwa wa haya mafundisho ya mafuta ya upako, maji ya upako, nk. Yeye ndiyo aliezalisha watu kama...
  5. Suley2019

    Mwamposa aibuka na kumtetea TB Joshua

    Mwamposa anadai waliotoa tuhuma kuhusu TB Joshua ni wale waliowahi kufukuzwa kwenye kanisa hilo. Kama wangetaka kujua ukweli wangefuata watoto wa TB Joshua. Anaongeza kuwa, hata mtu atakayefukuzwa katika kanisa lake la Rise and Shine hawezi kusema mazuri kuhusu kanisa lake baada ya kufukuzwa...
  6. 5 Nyingi

    Baada ya Kutupatia Ubuyu wa TB Joshua, BBC Waje Tanzania Kutupatia Ubuyu wa Mitume na Manabii wa Mchongo

    BBC Wahini Tanzania mtupe ubuyu wa wanaojiita mitume na manabii wanao wabebesha watu maji, mafuta, vitambaa, sabuni na vyupi vya upako. Naamini BBC kama chombo cha udaku cha kimataifa kitalifanyia kazi ombi hili na kutupa ubuyu
  7. Mwande na Mndewa

    Mungu alimtumia Nabii T.B Joshua kama alivyomtumia Mtume Paulo

    MUNGU ALIMTUMIA NABII T.B JOSHUA KAMA ALIVYOMTUMIA MTUME PAULO. USHUHUDA WA MKE WANGU KUPONA COVID 19 BAADA YA KUMUOMBEA KWA KUTUMIA MEDIUM YA NEW ANNOINTING WATER YA TB JOSHUA. Leo 22:30hrs 20/01/2021 Bwana Yesu atukuzwe ndugu zangu,Namshukuru Mungu kwa sababu ya neema yake kuu juu yangu na...
  8. Concoo

    Waliolipwa kumchafua TB Joshua BBC wafichuliwa

    Wakati huu ambapo Shetani anajaribu kuingiza Agenda yake ya technologia ya kuingiziwa chip watu kwebye mapaji ya uso na mikononi (666) ili kufanya manunuzi kwanza anataka auchafue ukristo ambapo amemchafua Baba mkuwa wa imani ya Kinabii Prophet TB Joshua ili ukristo udharauliwe na kutukanwa...
  9. Mjanja M1

    Dstv yaondoa channel ya Emmanule Tv ya TB Joshua

    Kampuni ya televisheni ya Afrika Kusini ya Multichoice Africa imetangaza kuwa itasitisha matangazo ya Emmanuel TV, kituo cha kidini inayomilikiwa na marehemu Nabii Temitope Babatunde Joshua, mwanzilishi wa Kanisa la Synagogue Church of All Nations, kuanzia Januari 17, 2024. Uamuzi huo unafuatia...
  10. UMUGHAKA

    Unahoji uhalali wa BBC kuhusu tuhuma za TB Joshua ila unashindwa kuhoji uhalali wa Gwajima Kufufua Mfu!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!. Kama kuna jambo kwenye karne hii ya 21 linalowafanya Waafrika wafedheheke huko ulimwenguni basi ni haya mambo ya dini.Dini siyo tatizo ila tatizo ni Dini!. Narudia tena " DINI SIYO TATIZO ILA TATIZO NI DINI" Yawezekana members wenye akili nusu...
  11. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Ripoti ya BBC ya tuhuma dhidi ya T. B. Joshua ni ya kutengeneza. Ipuuzwe. Walikuwa wapi kuitoa akiwa hai?

    Madai ya kituo cha utangazaji cha BBC dhidi ya mtumishi wa Mungu marehemu TB Joshua, kama kanisa hatupaswi kuyanyamanzia Ndugu zangu wakristo, hizi ni zama za kufunuliwa kwa yule mwana wa kuasi mpinga Kristo aliye tabiriwa na maandiko Uzishi na uongo ambao umeripotiwa na kituo hiki cha BBC...
  12. D

    Source BBC. T.B Joshua alikuwa akibaka waumini wake na kuwalawiti kisha kuwaua kanisani kwake kama zindiko.

    Haya makanisa yanasiri kubwa sana. Nimesikia Leo asubuhi BBC nimrbaki kinywa wazi. Najivunia kusali kanisa moja takatifu katoliki na la mitume. Haya makanisa mengine ni utapeli na ujanja wa namna ya kuishi tu. Hata Hawa akina mwamposa, gwajima, gamanywa nk siku wakifa tutasikia mengi.
  13. Sildenafil Citrate

    Uchunguzi: TB Joshua aliwanyanyasa na kuwabaka wafuasi wake

    Ushahidi wa unyanyasaji ulionea na mateso kutoka kwa mwanzilishi wa mojawapo ya makanisa makubwa ya kiinjili ya Kikristo duniani umefichuliwa na BBC. Makumi ya waumini wa zamani wa Kanisa la Synagogue Church of all Nations - watano Waingereza - wanadai ukatili, ikiwa ni pamoja na ubakaji na...
  14. Mhaya

    BBC imepanga kutoa video inayoonesha Unabii Feki wa TB Joshua

    Breaking News: BBC inatazamia kuchapisha nakala ya uchunguzi wa kuacha vinywa wazi inayoeleza matukio ya kikatili, Miujiza ya Kughushi, uhalifu, na ubakaji uliofanywa na Marehemu Mchungaji Temitope Balogun Joshua, almaarufu Nabii TB Joshua!!! Kupitia page ya twitter ya Sahara Reporters...
  15. BARD AI

    Kituo cha Runinga cha T.B Joshua (Emmanuel TV) kitazima matangazo yake DSTV Januari 17, 2024

    Just a few hours before the new year, DStv consumers were very alarmed to see a termination notice put up on Emmanuel TV. A christian television channel founded by the former TB Joshua is set to go dark various DStv and GOtv platforms across the country from January 17. Emmanuel TV is currently...
  16. biabia

    Kwa utetezi wa Joshua Mollel, soma maelezo mengine hapa chini

    Huku mjadala wa Joshua Mollel ukiendelea kufanywa, baada ya interview ya baba mzazi kuzidi kuwachanganya watanzania, kuna vitu taarifa chache nimeweza kuzipata. Naendelea kutoa pole kwa familia ya Mollel. Ndugu Ephata Nanyaro amefanya kazi nzuri sana ya kusaidia kuelezea na kufisha conspiracy...
Back
Top Bottom