Kwa nini wachungaji na wainjilisti wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Kupitia DAYOSISI ZAO, wanaostaafu baada ya kulitumikia Kanisa na jamii kwa miaka mingi wanaonekana kukabiliwa na changamoto za mafao ya uzeeni?
Je, viongozi hawa wanapokea mishahara? Kama wanalipwa, je, kuna...
Ole wenu nyie viongozi wa Dini, Maaskofu, Mapadre na Wachungaji na wale wa ngazi za chini yenu, kwa kutopaza sauti zaidi na zaidi kupinga UDHALIMU katika Nchi yetu.
Kristo mnayemhubiri alipinga udhalimu kwa nguvu zote kutoka kwa watawala wa wakati ule. Alifanya hivyo mchana kweupe, jicho kwa...
Kichwa cha habari kiko wazi. Kwanini Mungu ambaye haonekani wala hana uhitaji asanye sadaka? Tuzinduke.
Nawasilisha. Kama wahusika hawaibi wala kula sadaka, huu utajiri wanaupata wapi na lini? Kwanini wanapenda sana kuweka matajiri hata wanaopingana na itikadi zao mbele? Kwanini wengi wamo...
Kutokana na jua kuwa kali sana, na kuchoma usoni, mwili, mpaka mifukoni, kumekuwa na ongezeko kubwa sana la waganga na manabii kwenye mitandao ya kijamii, hasa kule Tiktok.
Ukifungua kidogo tu, mara pasta fulani anatokea, hujakaa sawa, mara nabii, hujakaa tena sawa mara mganga wa utajiri n.k...
Hivi wanatumia maandiko gani kuruhusu wanawake wanao vuja damu kila mwisho wa mwezi kusimama mimbalini kama wachungaji au maaskofu?
Ili hali Biblia nzima inakataza mwanamke kuwa kuhani.
Haya ni machukizo,ndio mana hili kanisa haliishi migogoro na uchawa.
Inatia uchungu sana mwaka jana nilinunua kiwanja ekari tatu maeneo ya kibaha na mwaka huu mwezi wa tano nimeanza kujenga kanisa langu na nina amini nitapata wafuasi wengi kama akina kuhani mkuu, kiboko ya wachawi, Suguye,Mwamposa n.k.
Sasa kuna hawa wachungaji ambao inaonekana kabisa wanachuki...
Ndugu zangu miongoni mwa mambo yanayofanXya Imani ionekane uhuni ni pamoja na hili la wachungaji kuisujudia pesa.
Musikilize mwenyekiti wa CPCT (The Council of Pentecostal Churches of Tanzania) Yaani mwenyekiti wa umoja wa makanisa ya kilokolo (wokovu) anavyowakilisha asilimia kumbwa ya...
Hivi unajua kuwa unapoona mtu anatapika "nyoka" kanisani au kiwete anatembea ghafla, mara nyingi hushuhudii nguvu za Mungu, bali unatazama mchezo wa kuigiza uliosukwa kwa ustadi na nguvu za giza (Occultism)? Je, unajua kuwa sekta hii imekuwa biashara kubwa inayovuna mabilioni kwa kutumia maagano...
Kuna mambo yanazidi kuweka aibu na kutufanya kuwa channel ya vituko kwa wengine wanaotutazama.
Hivi ushaona mchungaji mara nyingi wa KKKT wana kora kama hiyo upande wa kushoto.
Huyu wa kulia sijui wamemkurupusha na visungura na koti la kuokota.
😄
Wakuu ccm haipo ila ilichokifanya kwa miaka mingi ni kuingza makada kwenye taasisi zote za serikali ambao ndo wanatumika kulinda harufu ya ccm fatilieni watendaji, polisi, wafanyakaz halmashauri, walimu hawa wengi wao ni makada wa ccm ambao waliingzwa huko kwa lengo la kulinda chama hawa ndo...
Mtoto ana biashara yake nzuri tu, pesa ipo,
anamtumia pesa mama yake kila mwezi milioni 1,
Mchungaji wa kilokole kampiga swaga mama wa watu, katika milioni anachukua laki 6.
Gari zake ni za bei kubwa, anaoshea car wash za gharama, hio laki 6 ni pesa ya bili ya kuoshea gari.
Mtoto anajiuliza...
Huu ndio ukweli usio na shaka yoyote Ile.
Wachungaji pamoja na ma father wetu wanajua fila tukioa wanawake wawili au hata watatu wane hivi watakakoswa sadaka na Zaka na michango kedekede wanayoiunda makanisani.
Maana wanajua hela zetu zitakuwa zinatumika kwa matumizi mengi hivyo kulizibiti...
Ni habari nzito sana kutoka Kanisa la Wasabato Nakiru kenya. Wachungaji hao wanakataa baadhi ya mafundisho ya Kanisa hilo ikiwemo Utatu Mtakatifu Holy Trinity Doctrine yaani Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho mtakatifu. Wengine wakidai kuwa Yesu Kristo ndiye Sabato Halisi The Seventh Day...
MIMI: Maandiko yanaonesha kuwa
Adam alikuwa na watoto
wawili:
Kaini na Habili.
CARDINAL: ndio, Alikuwa na Watoto
wawili.
MIMI: Hakuna moto mwingine...
Jirani yetu wa kike analalamika Wachungaji walikuwa wakimtekenya maziwa walipokuwa wakimuombea
Alidai kwamba walipokuwa wanamuombea walikuwa wakimlazimisha ajibu maswali waliyokuwa wanamuuliza
Katika hali hiyo akawa amechukizwa na maswali yale na kuwa katika hali ya ukimya
Walipoona hataki...
Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste mkoani Arusha, jana Desemba 13, 2025 ulifanya kikao cha dharura katika Kanisa la ARCC Sakina, kujadili madai ya Vitendo vya Unyanyasaji vinavyodaiwa kufanywa na baadhi ya Vijana wa jamii ya Kimaasai, dhidi ya Wachungaji wa Makanisa ya Kipentekoste, Wake zao na...
Kama tumeamua kuisafisha nchi hawa watu ni hatari zaidi ya wasanii. Wasanii wao wanatafuta pesa kwa njia yeyote hata kwa kuungana na wauaji they don't care kulingana na shule zao za hapa na pale.
Wachungaji wao (sio wote) wengi wamesoma ili watapeli watu, mbali ya kutafuta pesa kwa ushirikina...
Mange Kimambi anampiga Rais haramu, je Mange Ni TEC?
Ally Kibao aliuawa kihuni, je alikuwa TEC
Nifa kakaa mahabusu mwezi, je alikuwa TEC?
Shehe ponda kaongea, je yeye ni TEC?
Zitto Kabwe kaibiwa uchaguzi halafu kawekwa ndani siku 6, yeye ni TEC?
Waliokamatwa na makesi ya uhaini kwenye...
Extortion au a protection racket kwa kutumia mgongo wa Shetani, ni mbinu wanayotumia Wachungaji kujipatia fedha kutoka kwa Waumini wao
Je wanafanyaje?
Kwasababu imeshazoeleka kuwa Shetani ni mbaya na wakutisha basi wanapita kwenye mgongo huo wa hofu kujipatia fedha
Wanapokuwa katika Ibada...
Mambo ambayo madikiteta wote duniani hufanya ni kutumia masikini kupigana na masikini wenzao;
Yaani wanaodai haki kwa amani huzuiliwa kwa mikono ya masikini dhalimu
Hakuna hata siku moja utamkuta dikiteta yuko mbele katika mapigano yoyote;
Bali hutumia masikini wasiojitambua kwenda kupigana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.