dua

 1. Wako Mtiifu

  Dua yangu kwa Paulo Makonda

  Saalaam kwenu WanaJamvi Baada ya pilikapilika nyiIngi kupita, pilika za kutangaza nia, kuchukua fomu, kampeni na hatimaye Uchaguzi mkuu hatimaye sasa Jahazi la nchi yetu limeanza kutulia kabla MZEE hajatangaza baraza lake la mawaziri na kuanza kusonga mbele rasmi kwa pamoja. Kwangu mimi...
 2. M

  Zanzibar 2020 Wazanzibar nguvu yenu Dua, amkeni usiku Tahajjud mumshitakie Mwenyezi Mungu

  Wazanzibar mnaodhulumiwa, enyi mnaoonewa, mtume Muhammad alishafundisha, silaha ya muumini ni dua!. Amkeni usiku, Tajeni lile jina kuu la Mwenyezi Mungu ambalo mtume alifundisha kuwa ukiomba kwalo Mungu anajibu. Amkeni usiku mswali Tahajjud, mumlilie Mwenyezi Mungu kwa dhulma hii mnayofanyiwa...
 3. M

  Uchaguzi 2020 Dua ya Askofu Mwamakula: Atakayehusika na kudhulumu uchaguzi afedheheshwe yeye hadi kizazi chake cha nne!

  Kama watumishi wa NEC, TISS, Wakurugenzi, Watawala, Wasimamizi wa vituo na mtu yeyote anayehusika na uchaguzi wanataka waendelee kuishi kwa baraka katika maisha yao, basi wajichunge sana namna watakavyoendesha na kusimamia uchaguzi huu. Wawe makini kwa sababu kuna dua nzito sana imeombwa na...
 4. Erythrocyte

  CHADEMA na Siku Maalum ya Dua, Sala na Shukrani nchi nzima

  Lengo kuu la jambo hili ni kumshukuru Mungu kwa wema na ulinzi wake mkubwa sana alioutenda katika kipindi chote cha kampeni.
 5. J

  Mchungaji Erasto: Hakuna ubaya sheikh alhad Salum kumuinua Yesu katika dua ya kuombea wananchi na uchaguzi!

  Kufuatia majibizano ya wanazuoni wawili shehe alhad Salum na shehe Idd kuhusu kumhusisha Yesu ( nabii Issa) kwenye dua, mchungaji Erasto anasema siyo dhambi wala hakuna ubaya wowote. Mchungaji Erasto anasisitiza kuwa ukimuona mwislamu anampinga nabii Issa bin Mariam basi ujue mtu huyo hayajui...
 6. T

  Serikali ipige marufuku dua na maombi kwenye mikutano ya kisiasa!

  Pamoja na kwamba mimi ni mwamini Mungu lakini naona huu utaratibu ni kama unatuvuruga tu wananchi, kwani unaondoa dhana ya kutenganisha siasa na dini. Isitoshe mambo mengi ya siasa yamejaa uongo uzushi jazba na visasi mambo ambayo ni kinyume kabisa na maombi/dua/sala za viongozi wa dini.
 7. Replica

  Uchaguzi 2020 BAKWATA yakaa kikao cha dharura, yakemea viongozi wake kupiga kampeni na Dua kinyume na Uislam. Kuwachukulia hatua

  Leo Oktoba 15, Baraza Kuu la Ulamaa BAKWATA Taifa limeketi kikao cha dharura na limetoa nasaha na maelekezo matano. Sehemu kubwa ya tamko hilo ni juu ya mienendo ya viongozi wake hasa kipindi hiki cha kampeni. Miongoni ni kukemea Dua zinazofanywa kinyume na mafundisho ya dini ya Kiislam na...
 8. Bujibuji

  Maombi, sala na dua za mke wangu ni kero kwangu

  Nina mwaka wa nane wa ndoa na hakika nimekuwa ni mvumilivu Sana na mwaminifu Sana kwa ndoa yetu. Nimezaliwa na kukulia kwenye familia ya Kikristo yenye msimamo mkali wa kiimani, hivyo Basi sijawahi kuvuta sigara, kunywa Pombe na hata uzinzi sio mzinzi, mke wangu ni mwanamke pekee kulala naye...
 9. K

  Salamu za Lissu DUA: Pamoja na wagombea wetu kuenguliwa, Watanzania wametuunga mkono kwa nguvu kubwa. Tunataraji ushindi mkubwa mwezi Oktoba

  Mgombea urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu, ametuma salamu zake kwa Democrat Union of Africa (DUA) ambacho kimefanya mkutano wa uchaguzi huko nchini Ghana. DUA ni ushirika wa vyama vya siasa vya mrengo wa kati-kulia barani Afrika. Ilianzishwa huko Dakar, Senegal, mnamo 1997. DUA inalenga...
 10. M

  Uchaguzi 2020 Askofu na Sheikh wamwaga dua nzito dhidi ya watakaofanya dhulma katika uchaguzi huu

  Katika mkutano wa Chadema leo Kawe, Askofu Mwamakula na Sheikh Katimba leo wametoa dua nzito sana dhidi ya mtu yeyote atakayetenda dhulma kudhulumu haki za watanzania kwenye kupata viongozi wao halali wa nchi hii. Askofu Mwamakula amesoma dua nzito ya kuomba Mungu ashushe Malaika...
 11. J

  Uchaguzi 2020 Mkutano wa Viongozi wa Dini wa kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli kuelekea Uchaguzi Mkuu!

  Karibu. Mkutano uko mubashara kupitia Channel ten kutoka ukumbi wa JNICC na mgeni rasmi ni waziri mkuu mh Majaliwa. Up dates; Kwa sasa mh Majaliwa anahutubia na anajaribu kuelezea kwa kirefu mafanikio ya serikali ya awamu ya 5 Waziri mkuu anawashukuru viongozi wa dini kwa dua zao zilipelekea...
 12. B

  Uchaguzi 2020 Esther Bulaya achukua Fomu ya Bunge, afanyiwa sala na Viongozi wa Dini

  17 Agosti 2020 Bunda Mjini Tanzania ESTER BULAYA ALIVYOCHUKUA FOMU YA UBUNGE, MASHEHE, MAPADRI WAMPIGIA MAOMBI, SALA NA DUA KWA SAA NA NUSU Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini Ester Bulaya akikabidhiwa fomu ya Kuwania ubunge wa jimbo hilo na Msimamizi wa Uchaguzi Janeth Mayanja ili...
 13. mtwana

  Uchaguzi 2020 Dua ya kuombea Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba 2020

  Wana ukumbi habari zenu, Ama baada ya salamu, nlikua nina Ombi kutoka kwenu kwa ajli ya nchi yetu. Ama kwa ombi lenyewe ni kuomba Dua kwa aliyetuumba, atujaalie uchaguzi wa safari hii uwe wa huru na wa haki tumuombe pia. Aliyetuumba kutupa Subra katika kila jambo na mwenye nia mbaya ya nchi...
 14. Pascal Mayalla

  Tukidhani ni Binadamu wenzetu, kumbe ni mashetani! Mtu unaombeaje mwenzako afe kwa Corona? Can't believe this wickedness! Huu sio utu, ni ushetani!

  Wanabodi, Mtu unachokiandika, ndicho unacho kiwaza!, kuna watu, tunaishi nao, tunakula nao, tunalala nao, tukidhani ni binaadamu wenzetu, kumbe ni machoni tuu ndio kama watu, lakini mioyoni ni mashetani wakubwa!. Mtu unaombeaje binaadamu mwenzako afe kwa Corona?!. Can't believe this wickedness...
 15. R

  Wazanzibari wa kijliwe cha Jaws Corner wasoma dua kumuombea Sultan Qaboos wa Oman

  Je wa oman nao huwa wanawaombea viongozi wa zanzibar publicly namna hii?
 16. J

  Wiki ya Maulidi: Viongozi wa BAKWATA watembelea miradi ya Maendeleo ya Serikali

  Viongozi wa BAKWATA walioko Jijini Mwanza ikiwa ni katika wiki ya maulidi ambayo kitaifa sikukuu itafanyika jijini humo wamempongeza na kumshukuru Rais Magufuli kwa maendeleo anayotuletea. Viongozi hao wamekaguwa miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali ikiwemo ujenzi wa meli mpya za...
 17. N

  Tetesi: 🌺kila mtu anatamani kukamilisha swala yake na kuna njia nyingi kufanya haya kama sunna kusoma qur an au kuomba baada ya swala.😍

  Miongoni mwa dua baada ya Swalah - ASTAGHFIRU LLAH (Namuomba Mwenyezi Mungu msamaha) (mara tatu), ALLAHUMMA ANTASSALAAM WAMINKA SSALAAM TABAARAKTA YAA DHAL’JALAALI WAL’IKRAAM (Ewe Mola! Wewe ni Amani, na amani inatoka kwako, Umetukuka, ewe Mwenye utisho na utukufu) [ Imepokewa na Muslim.]...
Top Bottom