kigoma

Kigoma is a town and lake port in north western Tanzania, on the north eastern shores of Lake Tanganyika and close to the border with Burundi and The Democratic Republic of the Congo. It serves as the capital for the surrounding Kigoma Region and has a population of 135,234 (2007 census) and an elevation of 775 m.
The historic trading town of Ujiji is 6 km south-east of Kigoma.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANROADS: Tutafunga kamera za kificho na za wazi barabara za Kigoma ili kudhibiti uharibifu wa miundombinu

    Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Kigoma imetoa rai kwa wananchi wanaoishi pembezoni mwa miundombinu ya barabara kushiriki kikamilifu katika kulinda na kutunza miundombinu hiyo ili iweze kudumu kwa muda mrefu na kuendelea kuwa salama kwa watumiaji. Rai hiyo...
  2. Think2

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa tawi la chuo kikuu MUHAS Mkoani Kigoma wafikia 78.9%

    Kutoka kwenye chanzo cha kuaminika serikali imejenga tawi la chuo kikuu MUHAS mkoani kigoma na umefikia aslimia 78.9 ambapo mwezi wa nane utakamilika rasmi na kuanza kupokea wanafunzi kwa mwaka wa masomo 2025/2026.
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi tulioajiriwa mwaka 2022 tunacheleweshwa kupanda madaraja licha ya kukidhi vigezo vya kisheria na kiutumishi

    Watumishi tuliopata ajira mwezi Julai 2022 tunaomba kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu kucheleweshewa kupandishwa madaraja licha ya kukidhi vigezo vya kisheria na kiutumishi. Tumekuwa tukiambiwa kuwa sababu ya kuchelewa kupandishwa madaraja ni kwamba tuliajiriwa katika “mwaka mpya wa serikali”...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nilipata huduma mbaya katika Hospitali ya Mkoa Kigoma (Maweni), wajirekebishe

    Mimi ni mkazi wa Kigoma Mjini, napenda kutoa malalamiko yangu kuhusu huduma niliyoipata katika Hospitali ya Mkoa Kigoma Maweni wakati nilipompeleka mke wangu kujifungua. Tulipofika hospitalini majira ya saa 3:00 asubuhi, hali ya mke wangu ilikuwa mbaya sana, hakuweza hata kusimama. Nilipowaomba...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kigoma: Nsengiyumva na Advela Dickson washtakiwa kwa kuchapisha taarifa ya “Mauaji ya 29 Oktoba 2025 hayawezi kufichwa na Tume ya Uchunguzi”

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma, imewashtaki Nsengiyumva Lenga Lutendeli na Advela Dickson Bishikira kwa kosa la kuchapisha taarifa za uongo kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram, kinyume na Kifungu cha 16 cha Sheria ya Makosa ya Mtandao Na. 14 ya mwaka 2015. Kwa mujibu wa hati ya...
  6. BigTall

    JamiiForums Tanzania 1/6/2026 Mahakama Kuu Kigoma kusikiliza maombi ya Marejeo yanahusu uhalali wa Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Oktoba 29

    TAARIFA KWA UMMA Kesho tarehe 1/6/2026 Mahakama Kuu Masijala ya Kigoma mbele ya Jaji Rwinzile itasikiliza maombi ya Marejeo (Judicial Review) yaliyofunguliwa na 1. Buberwa Ephraimu Kaiza 2. ⁠Joseph Daudi Mabugo Maombi hayo yanahusu uhalali wa Tume iliyoundwa na Mh. Rais ya Kuchunguza Ujinai...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Rukwa, Katavi na Kigoma tunaendelea kuoga vumbi kwenye barabara za kuunganisha mikoa yetu huku kila siku ni ahadi tu zinatolewa

    Wakati Waziri Mkuu Nchemba anaanza kazi, alisema Serikali ya Awamu ya Sita inaenda kudeal na mambo ya mtu mmoja mmoja. Akitolea mfano kwamba mambo ya barabara za lami kuunganisha makao makuu ya mikoa yalishamalizwa na sasa ni lami kuunganisha wilaya. Hali ni tofauti kwa wakazi wa Rukwa, Katavi...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Wasira akonga nyoyo za wananchi Kigoma mjini

    WASIRA AKONGA NYOYO ZA WANANCHI KIGOMA MJINI Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewahutubia na kukonga nyoyo za mamia ya wana CCM na wananchi wa Kigoma mjini huku akiwataka kudumisha amani, umoja na mshikamano. Wasira amewahutubia wananchi hao leo Mei...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Mashujaa FC 0-3 Simba SC l Ligi Kuu ya NBC l Lake Tanganyika l 14.05.2026. Yanga na Simba tofauti sasa ni pointi 2

    Licha ya kuwa timu ngumu inapocheza kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika, Mashujaa FC imekubali kupoteza kwa magoli 3-0 dhidi ya Simba ambayo imeendelea kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kuutafuta ubingwa wa Ligi Kuu Bara. Simba imebaki katika nafasi ya pili ikwa na pointi 52 katika michezo 23 nyuma...
  10. UTPC

    JamiiForums Tanzania KIGOMA: Wazazi Kasulu washauri kubadilishana zamu kupunguza Utoro Shuleni

    Sehemu ya pili ya makala hii iliweka wazi chanzo kikuu cha tatizo la utoro wa wanafunzi zaidi ya 2000 kuacha masomo kila mwaka, ifikapo msimu wa kilimo katika halmashauri ya wilaya ya Kasulu kuwa ni mitazamo hasi ya jamii juu ya elimu, ikichanganywa na changamoto za kiuchumi, miundombinu na...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania KIGOMA: Tukio la Watu watatu kujeruhiwa kwa risasi Uvinza, Polisi yasema inafanya uchunguzi

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma linafanya uchunguzi wa tukio la fujo zilizopelekea majeruhi ya watu watatu, ni kwamba Mei 5, 2026 muda wa saa 12.00 mchana huko katika Kijiji cha Kililani, Kata ya Buhingu, Wilaya ya Uvinza, Mkoa wa Kigoma, Jeshi la Polisi, Idara ya ardhi na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ameporomoka sana kisiasa. Hana ushawishi tena. Hata Kigoma walishamkataa

    Amebakiza makunyanzi tu usoni. Amekuwa hana ushawishi na hata CCM waliokua wanamtumia walishamtosa.Ndio maana ameshindwa na kilaza Kama baba Levo ambaye hajui hata Hansard ni nini Shetani hana rafiki. Ayatollah wa ujiji
  13. Red black

    JamiiForums Tanzania Bangi inaweza kukufanya ukumbuke vitu ambavyo haijawahi kutokea kabisa. Unajiona uko New York kumbe uko Kigoma ndani ndani

    unajiona tajiri una majumbu kila city kumbe ni hallucinations inayosababishwa na shada/bangi Cc Vincenzo Jr
  14. B

    JamiiForums Tanzania KERO Abiria Kigoma Mjini tumechoshwa na tabia ya baadhi ya magari kufaulisha abiria wao kwenye Kampuni ya Takbiir bila ridhaa yao

    Kumekuwa na tabia ambayo imekuwa endelevu kwa baadhi ya mabasi mengi yanayotokea Kigoma kuelekea MWANZA, mfano GTA Express, kuuza wateja wake baada ya kukata tiketi usiku wake unapigiwa simu eti "samahani gari halitoweza kwenda limekodishwa, hivyo mtapanda basi la Kampuni ya TAKBIIR". Wanafanya...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ujiji Kigoma kukoje? Kwa nini Bar imepingwa vikali? Wakazi wake ni Waislamu wa msimamo mkali?

    Kuna tayari nimeiona ya wiki kadhaa zilizopita kuhusu ufunguzi wa Bar/Pub Kigoma Ujiji ulioleta mtafuruku mkubwa sana mpaka ikabidi aliyefungua Bar aende kukaa na vizee vya hapo kupata ridhaa zao! Wahojiwa wengi wa hapo wakizungumzia jambo hili la Bar kufunguliwa Ujiji ni kama vile wale raia wa...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malipo ya likizo kwa Watumishi: Baadhi ya Halmashauri Mkoa wa Kigoma hawalipwi kulingana na Umbali

    Kuna Halmashauri iliyopo mkoa wa Kigoma, suala la malipo ya likizo haipewi kipaumbele na ukiomba malipo yanakatwa bila kupewa sababu ya msingi. Unachoambiwa ni ujaze Vendor Form alafu unaingiziwa kiasi wanachojua wao. Je! Kwanini elimu isitolewe kuhusu malipo ya likizo ili kuepusha kunyimwa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Shule ya Msingi Kamara iliyopo Mungonya, Halmashauri ya Kigoma, walimu wamewageuza wanafunzi vibarua wao

    Walimu wamekuwa na tabia ya kuwapeleka wanafunzi muda wa vipindi kufanya kazi za shamba, ikiwamo kulima, kupalilia, kuvuna na kupukuchua mahindi pamoja na kuwachotea na kuwapelekea maji walimu majumbani kwao wale wanaoishi kwenye nyumba za kota za shule. Nyakati nyingine wanafunzi wanarudishwa...
  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania Boti iliyozama Kigoma na Watumishi wa afya, Kwanini haikuwa na life jackets?

    Mamlaka zetu zinafanya kazi gani? Inakuaje Boti inakosa life jackets au Maboya? Na Watu wanakaa maofisini? Uzembe wa Serikali ya awamu ya Sita inaendelea kuteketeza roho za Watanzania. Damu ya binadamu 29.10.2025 haikuwatosha Watumishi sita wa afya kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma...
  19. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Sambo wa Kigoma na Doreen wa Dar es Salaam washinda Pikipiki Kupitia Promosheni ya “Shinda Boda” ya PigaBet

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Mjasiriamali Daniel Deogratus Sambo, mkazi wa Kigoma Mjini, na mwanadada Doreen Masawe wameibuka washindi wa pikipiki aina ya TVS kupitia promosheni ya “Shinda Boda” inayoendeshwa na kampuni ya michezo ya kubahatisha ya PigaBet. Akizungumza baada ya kupokea...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hali ya Barabara eneo la Kibirizi, Manispaa ya Kigoma Ujiji iboreshwe, mashimo yanakera

    Hapa ni Kibirizi, jirani na Msikiti wa Mtendeni Manispaa ya Kigoma Ujiji, hii barabara ni kubwa, inaelekea katika Bandari ya Kibirizi na kuelekea Kigoma Mjini. Eneo hili limekuwa kero ya muda mrefu kwa madereva wanaotumia barabara hii. Licha ya uwepo wa kero hiyo ila bado wahusika wameendelea...
Back
Top Bottom