upako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MIHAYO1710

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu Mafuta ya Upako

    “Kingdom True Anointing Standards: A RENAISSANCE” Ni makala ndefu, kwa sababu hata watu wamedanganywa kwa kirefu! Uongo mkubwa unahitaji maelezo Makubwa! Mwenye moyo na nguvu na asome! AMANI NA SALAMA! Mimi ni mzima wa afya, Karibu tujifunze! **Kama umekuwa ukisikia habari za Mafuta ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Wa Upako, Anthony Lusekelo: Usiache kusikiliza Watu, lakini usizimishe Sauti ya moyo wako, Kiburi ndio safari ya mwanzo wa Aibu

    Mzee Wa Upato, Anthony Lusekelo amesema: "Nasema, katika dunia hii ya akina Trump, dunia hii ya akina Putin, dunia hii ya vita na magomvi na mambo mengi mengi. Nakuomba sana, sikiliza watu, usieache kusikiliza watu, lakini usizimishe sauti ya moyo wako. Sikiliza watu, lakini usizimishe sauti...
  3. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mzee wa Upako: Wanaosema Rais Samia anakosolewa sababu Muislamu, wamefilisika kimawazo. Wajibu hoja, wasiingize mambo mengine

    Mzee wa Upako Anthony Lusekelo amewataka wanaosema kuwa Rais Samia anakosolewa sababu ni Muislam, wajibu hoja na siyo kuleta mambo mengine ya udini. Ameongeza kuwa Udini ni mbaya na haufai kwenye nchi yetu, huko tumeshavuka Lusekelo amesema, katika kura 98% alizopata Samia kuna kura za...
  4. The Magnifico

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mzee wa Upako: Tumeitia doa nchi yetu, tuangalie wapi tumejikwaa turekebishe, huu sio wakati wa kulaumiana

  5. Think2

    JamiiForums Tanzania Mwamposa ni mfanyabiashara kupitia kanisa lake na wala sio mtume kama wengine wanavyofahamu

    Naanza na hii ●kaingia mkataba na kampuninya ice drop kwamba awe anatumia maji yanayozalishwa kwenye kampuni hio kama majinya upako baada ya kuyaombea kwaio ice drop na A rise and sunshine ni trade partners Uthibitisho unajionesha wazi maana kuna logo ya ice drop na hio ya mwamposa A rise and...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Upako na siasa.( Sihasa)

    Habari wakuu,, Salamu ki ufupi tuu, Leo nilienda kwenye Ibada katika kanisa la arise and shine, Kwa Imani yangu Mimi binafsi ninamkubali sana Tena sana huyu bwana Bulldoza mwamposa.( Kila MTU na Imani yake kwa hili tusilijadili) Kama kawaida baada ya Ibada kuisha Kuna jambo moja kwangu...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako aibuka, awaka serikali kufungia makanisa, asema 'vile mnavyowavumilia wakatoliki na hao muwavumilie vilevile'

    "Nataka niongee na serikali, isitufungiefungie makanisa, mbona katoliki hawafungagi jamani. Mnatuzalilisha mbona hamfungi katoliki. Tumesikia juzi katoliki wametoa waraka mzito wameamuru muwaachilie wafungwa sijui ni na nini, mbona hamuwafungii makanisa yao. Akina Bagonza sijui wanasema maneno...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mzee wa upako: Wakionewa watu wengine mnakaa kimya, hayatuhusu, leo mmeguswa unalalamika

    Wakiguswa wengine mnakaa kimya hayawahusu. Leo ni kwako nadhani utajifunza kitu hapa chini: Martin Luther King Jr. > Quotes > Quotable Quote (?) “Injustice anywhere is a threat to justice everywhere. We are caught in an inescapable network of mutuality, tied in a single garment of destiny...
  9. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Mnakumbuka ile thread ya kumalizia upako?

    Kuna mtu humu aliwahi kuandika uzi kuhusu kumalizia upako kama alivyoita mwenyewe. Alisema alikuwa anafanya kazi nyumba za kulala wageni kwahiyo wateja wanaokuja na wenzi wao wakimaliza mambo yao mwanamke akibaki ndiyo wanaenda kumalizia sasa huo upako. Kuna siku moja zamani sana nilikuwa na...
  10. Setfree

    JamiiForums Tanzania Utapeli wa “Chumvi na Mafuta ya Upako” Wafichuliwa

    Kabla ya kuufichua huo utapeli, hebu tuwasikilize kwanza hawa manabii feki: Nabii XXL: Aisee, hizi sadaka tunazopata hazitoshi kununua ndege, na kutufanya tuishi maisha ya kifahari. Naomba tubuni mbinu ya kuongeza mapato. Nabii X: Mi nafikiri wakati wa maombezi, tuwe tunawauzia watu chumvi...
  11. Twilumba

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako: Ukikuta Mwanamke hana Bikira huyo sio mke wako

    Hii imekaaje wakuu, mbona km tumeoa wake za watu?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tutafakari kwa pamoja kwanini Dube na Ateba wameanza kufumania nyavu baada ya upako?

    Mpira wa Tanzania ni mgumu sana, mpira wetu ni wa kikwetu kikwetu, wakati mwingine unapowaambia watu kuwa mpira wa Tanzania hauangalia uwezo wa makocha watu wanabisha, mfano mzuri moira unaochezwa na timu yangu ya Simba utasema kuna kocha mle? Au gusa achie twende kwao kuna mpira pale? Mpira...
  13. Magical power

    JamiiForums Tanzania Nilitamani sana nione miujiza ya Mafuta ya upako na udongo wa upako miujiza ya uokoaji na uponyaji pale Kkoo.

    Nilitamani sana nione miujiza ya Mafuta ya upako na udongo wa upako miujiza ya uokoaji na uponyaji pale Kkoo. Kadhalika na wale masharifu feki na wazee wanaodai wanamvuta mpenzi alioko mbali wakawavute na ndugu zetu kutoka katika janga lililowakuta.
  14. Exogenous Factor

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Ubungo Riverside karibu kwa mzee wa Upako, Kibangu Ruge-SQM 2700

    Habari,ninauza kiwanja kilichopo wilaya ya ubungo, Kata Makuburi, kipo karibu na kwa mzee wa Upako. Karibu Km 1.5 kutoka Mandela road. Ni mwendo wa dk 20 kwa miguu kutoka kituo cha daladala ubungo riverside. Kiwanja kina ukubwa wa SQM 2700, kimepimwa, kina nyaraka za serikali ya mtaa (Hati...
  15. Anonymous77

    JamiiForums Tanzania Nudreen Kishk kujibu kama katika Usilam kuna upako

    Hivi karibu baada ya kusambaa kwa video fupi mtandaoni ikimuonyesha sheikh aliekuwa akinadi mafuta na akidai kuwa ni mafuta ya upako. Hatimae mhadhiri wa kimataifa SHEIKH NUDREEN KISHK, amekuja na mada ninayosomeka JE, KATIKA UISLAM KUNA UPAKO? OCT 18, IJUMAA HII MASJD IHSAAN TEMEKE VETENARY...
  16. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Misikitini waanza kutumia mafuta ya Upako, Sheikh aonekana akinywesha watu mafuta katika ibada

    Sheikh huyu amekuwa akitumia mafuta ya upako na kuwanywesha watu wenye matatizo mbalimbali waliohudhuria swala msikitini.
  17. T

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Ubungo makoka kutokea Riverside kupitia kwa Mzee wa Upako inaenda miezi minne mpaka sasa hakijamalizika

    Wakuu kwenye hii barabara ya kwenda Ubungo Makoka kupitia kwa Mzee wa Upako, kuna kipande kama mita 300 kinaongezwa kwa kiwango cha lami inaenda miezi minne mpaka sasa hakijamalizika. Jamaa wakijisikia wanafunga barabara hamna gari kupita, njia mbadala ni milimani na ndogo magari hayapishani...
  18. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukistastaajabu ya mafuta na maji ya upako hapa bongo. Pasta Ng'ang'a atupa sadaka za waumini kisa ndogo

    Mchungaji wa Neno Evangelism Centre James Ng'ang'a atupilia mbali pesa zilizokusanywa kama sadaka kutoka kwa waumini wake wakati wa ibada. Katika video iliyoshirikiwa na Qare Jane kwenye TikTok, mchungaji huyo alionekana akiiangalia kwa dharau sadaka hiyo. Wakenya walioshuhudia video hiyo...
  19. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Kuna nguvu za giza zinatumika kwenye kinachoitwa upako. Mnakuwa wateja kwenye duka la shetani

    I am not joking to any body/ faith but I think we have to use force or praying for our beloved sister and mother as well as brother and fathers to set them free from devilship chair. Majuzi nilikuwa nimetune radio jina kapuni ilikuwa ni mahubiri ya kikristo bhana bhana nikajikuta nataka...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kiboko ya wachawi kafanyiwa zengwe. Kama serikali iko serious iwafungie Suguye, Dr. Sule, Mwamposa, mzee wa upako, n.k

    Mimi ni miongoni mwa watu wanaozichukia sana hizi huduma za watu binafsi za kidini. Kama kweli wana hizo nguvu za kuleta utajiri, kuondoa magonjwa n.k basi wote wakusanywe uwanja taifa waombee watanzania wote wawe matajiri na wapone magonjwa yanayowasumbua. Suguye anakusanya kucha na nywele za...
Back
Top Bottom