mchungaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. bless on

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Ajambiana Kanisani Kuponya

    Limpopo, Afrika Kusini — Mchungaji Christ Penelope, mwanzilishi wa Seven Fold Holy Spirit Ministries, amekuwa gumzo baada ya kuhusishwa na njia isiyo ya kawaida ya kuwaombea waumini wanaotafuta uponyaji. Inadaiwa kuwa wakati wa ibada hiyo, mchungaji hukaa juu ya uso wa muumini na kumjambia...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mchungaji awatenganisha hadharani wana ndoa ambao walikuwa Mme mmoja wake wawili

    Mume ni mmoja, lakini ana wake wawili: mke mkubwa na mke mdogo. Mke mkubwa aliokoka. Baada ya mume wake kusikia mafundisho ya Injili, alimwacha na kukimbia, akamuacha kanisani.Baadaye, alipooa mke mwingine, huyo mke naye akaokoka. Anafanya kazi katika eneo lake, anachanga na anashiriki katika...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Harvest Mission chamtunuku PhD Mchungaji Mstaafu Samwel Mwahalende

    MCHUNGAJI Mstaafu wa kanisa la Pentecostal Holiness Mission ( PHM), Samwel Mwahalende, ametunukiwa Shahada ya Uzamivu (PhD) na Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Harvest Mission cha Texas, Marekani, ikiwa ni kutambua mchango wake wa muda mrefu katika kulitumikia Kanisa na jamii. Akizungumza muda...
  4. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Gwajima yupo wapi? Hatuoni akijitokeza na kuongelea mustakabali wa nchi kama tulivyomzoea

    Je Gwajima amelambishwa asali? Je Gwajima amepata vitisho ? Je Gwajima ameona aliokuwa anawatetea sio watu sahihi ni heri ajiunge na wenzake wana ccm kujichotea mali za uma nk? Hatujamzoea hivi , au kuna mahali wamembana kaona akifanya fyoko watamfilisi ikiwezekana kumbambikia kesi? Jasusi...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Busara za Mchungaji Msigwa kwa mtangazaji Aloyce Nyanda

    Aloyce Nyanda unaweka mjadala mahali pasipo sahihi. Swali halipaswi kuwa: “CHADEMA ibadili msimamo gani ili Lissu aache kuteseka?” Swali sahihi ni: “Kwa nini Serikali inamtesa Lissu kwa sababu ya msimamo wa kisiasa?” Kumhurumia Lissu ni jambo la kibinadamu, lakini kuitumia huruma hiyo...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kahama: Kukemea mabaya ya serikali, Mchungaji Elij Daniel akamatwa na jeshi la polisi

    Pastor Elij Daniel amekamatwa tangu jana baada ya kutofahamika alipo na kutorudi nyumbani. Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana, baada ya kufuatilia mahali alipo, imebainika kuwa Pastor Elij Daniel yupo katika Kituo cha Polisi Kahama. Taarifa zinaeleza kuwa uwepo wake katika kituo hicho...
  7. Huihui2

    JamiiForums Tanzania KKKT Loliondo wasalia nje kisa hawamtaki Mchungaji aliyeletwa na Askofu

    Mgogoro unaendelea katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Loliondo, Jimbo la Maasai Kaskazini, umeingia katika hatua mpya baada ya waumini kuendelea kufanya ibada nje ya jengo la kanisa kwa zaidi ya wiki nane, wakipinga kuondolewa kwa mchungaji wao, Hery Johannes...
  8. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Mchungaji Msuya kilivyoibua kumbukumbu maisha yake

    Kifo cha Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mwanga, Sylvanus Msuya, kimeacha simanzi miongoni mwa waumini, viongozi wa dini na watu wengi walioguswa na ushuhuda wa maisha yake. Baadhi wamekumbuka safari yake ya kutoka kwenye changamoto za maisha hadi kuwa...
  9. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: Watanzania tumshukuru Dkt. Nchimbi, 'ametusanua'

    Mchungaji Peter Msigwa, aliyedai kwamba hotuba ya Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi imewaamsha Watanzania kuwa licha ya kwamba Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia ilani yake ya uchaguzi 2025/30 imeweka suala la upatikanaji wa Katiba Mpya kuwa miongoni mwa mambo yake ya msingi katika...
  10. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Bwana Mungu ndiye mchungaji wangu mwema, sitapungukiwa na kitu

    https://youtu.be/pfMiJk9pH4k?si=WpiEJixA5JZL34ZZ zaburi 23 Hakika Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu msaada utakao onekana tele hata wakati wa mateso. Mungu yeye ni nguvu zetu na wokovu wetu. Hata kama unapitia magumu kiasi gani haijalishi majaribu mazito na makubwa kiasi gani unayoyapitia...
  11. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Tumuombee Mchungaji **AMIELI KATEKELA** vita anayopitia kila mara wanajaribu kumuua kwa sumu /bunduki kwa yeye kuhubiri injili ya kweli.

    Kama kichwa kinavyojieleza watu wa Mungu tuzidi kumuinua kwenye maombi mchungaji AMIELI KATEKELA mara kwa mara amekuwa akiwekewa sumu na hata kutumiwa watu wenye silaha za moto bunduki kutafuta kumuua ,kwa sababu ya kuhubiri injili ya kweli ambayo kwa sasa haihubiriwi sana,mitume na manabii wa...
  12. V

    JamiiForums Tanzania Je, huyu ndiye muwakilishi wa wachungaji wachoyo zaidi?

    Ndugu zangu miongoni mwa mambo yanayofanXya Imani ionekane uhuni ni pamoja na hili la wachungaji kuisujudia pesa. Musikilize mwenyekiti wa CPCT (The Council of Pentecostal Churches of Tanzania) Yaani mwenyekiti wa umoja wa makanisa ya kilokolo (wokovu) anavyowakilisha asilimia kumbwa ya...
  13. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Kimondo: Amani ipo iwapo haki itatendeka

    Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Steven Kimondo, amesema haiwezekani taifa likapata amani ya kudumu ikiwa haki za kikatiba za wananchi na vyama vya upinzani zinaendelea kukandamizwa. Amesema viongozi wa serikali na vyombo vya dola wanapaswa kutambua kuwa amani ya...
  14. Ambuje Akunnungu

    JamiiForums Tanzania Tanzania na kenya: Tofauti za kiuelewa kwa wananchi wa kawaida hadi kwa wanataaluma. Kumbukumbu ya gwiji mzee wangu MCHUNGAJI CHRISTOPHER MTIKILA

    NIMEJIKUTA NAMKUMBUKA MCHUNGAJI MTIKILA. Binafsi nimefuatilia sana siasa za kenya kama kama ninavyofuatilia siasa za hapa nchini kwetu Tanzania. Ukweli ni kwamba nchi hizi mbili ni miliki ya jumuiya moja ya Africa mashariki na zina historia ya kiasi fulani ya utawala wa kingereza kama...
  15. USSR

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Suzan John Pombe Magufuli mwenye huduma hapo Mwenge Mawasiliano ni nani?

    Huyu mtumishi Suzan John Pombe Magufuli ni nani huko Dar es Salaam Ni mke mdogo wa hayati magufuli? Ni mtoto wa hayati? Ni dada,mdogo wake magufuli ? Ndio yule aliyehongwa Nyumba ya serikali? Nivyojua ndugu za magufuli ni weusi kwa maana ya ukoo na watoto aliozaa na Janet Jonh Pombe Magufuli...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto Sekondari Mchungaji Mwema: Walimu, Mishahara na Utawala

    KERO Mimi kama mzazi na mdau wa elimu shule ya sekondari mchungaji mwema iliyoko chini ya dayosisi ya Kagera nakelwa na mambo kama haya 1. Walimu KUNYIMWA MKATABA ambao ni silaha ya kulinda ajira yao Kwa mujibu wa SHERIA. 2. Mishahara ya kusuasua Kwa WAFANYAKAZI na kulipwa kinyume na SHERIA...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ngara, Kagera: Wafanyakazi wa shule ya Mchungaji Mwema tunaomba kusaidiwa ili shule itupe haki zetu

    Tunaomba Serikali iingilie kati kuhusu maslahi ya Wafanyakazi wa Shule ya sekondari Mchungaji Mwema iliyopo Wilaya ya Ngara, mkoani Kagera Wafanyakazi wa shule hiyo tunakabiliwa na changamoto mbalimbali zinazohitaji uangalizi na hatua za haraka kutoka kwa mamlaka husika, zikiwemo: Kunyimwa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Twaha Mwaipaya: Kama sheikh, Mchungaji na Padri wako hajawahi kukemea mauaji, basi njoo Maria space usali ukemee mauaji kuitikia amri ya MUNGU "USIUE"

    Ndio ujumbe wake leo huko Maria spaces. Kama hao viongozi wa dini yako wanashindwa kukemea mauji ya 29th October 2025, ja maovu mengine, basi achana na huko njoo Maria spaces ukemee mauaji!
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: Sikujua kama Watu walikuwa wamekasirishwa sana, mimi kuhama kutoka CHADEMA kwenda CCM

    Mchungaji Msigwa aliyekuwa mbunge wa Iringa Mjini kupitia Chadema kwa miaka 10 (2010/20), alijiunga na CCM Juni 30, 2024 kabla ya kutangaza kurejea rasmi Chadema Mei 23, 2026 amesema; "Mimi sikujua kwamba watu walikuwa wamekasirishwa sana na kitendo cha mimi kuhama kutoka Chadema kwenda CCM...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: Naiona CCM ikiondoka Madarakani kama haitajirekebisha

    "CCM naiona inaondoka madarakani. Kama mmenisikiliza vizuri hayo mambo ninayoyazungumza ni ya msingi sana. Eh, nimesema labda sikusema mwanzoni, Roman Empire ilikuwa na jeshi kubwa sana lilikuwa litifu sana, lakini Roman Empire haikuanguka kwa sababu ya kushambuliwa kutoka nje. Ilianguka yenyewe...
Back
Top Bottom