waumini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Waumini Kanisa la Gwajima wafungua kesi ya Kikatiba kudai Uhuru wa Kuabudu

    Kesi ya Kikatiba nambari 16408 ya Mwaka 2025 iliyofunguliwa na waumini 52 wa kanisa la Ufufuo na Uzima (Glory Of Christ Tanzania Church) inatarajiwa kuanza kusikilizwa leo Julai 11, 2025 katika Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Kuu inayoketi Dar Es Salaam. Waumini hao 52 wanadai kufanyiwa...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mwendo wakunyata, waumini wakiondoka Kwa ulinzi wa polisi

    Muda huu, waumini wa Kanisa la Kilutheri la Afrika Mashariki (KKAM) Ubungo Kibo wameanza kutoka baada ya kumaliza ibada kwa utulivu, huku polisi wakiendelea kusimamia usalama bila kuwabugudhi wala kuwazuia waumini hao. Hali ya eneo hilo inaendelea kuwa shwari.
  3. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania kwanini waumini wa Gwajima wanateseka, Mungu yupo wapi?

    Ukisoma biblia kuanzia Mwanzo mpaka Ufunuo Mungu alijitokeza waziwazi pale anapoona watu wake wakiteseka na kuumizwa. Nimepita hapo ubungo nimeona police wakizingira kanisa la KKKT ambapo waumini wa gwajima wanasali hapo, kimachoenda kutokea hapo ni kipigo cha hatari, Mungu yuko wapi awatetee...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mtume bora angekubali kuomba sala 3 tu kwa siku, kusimamisha swala 5 kwa siku ni mtihani mzito kwa waumini.

    Katika hadithi ya jinsi waumuni walivyopatiwa kuswali sala 5 kwa siku inasemwa kwamba mtume akiwa katika safari yake mbinguni alipokutana na Allah alianza kwa kupewa sala 50 kwa siku, mtume aliposhuka mbingu inayofuata akakutana na mtume Musa akamwambia kwa jinsi anavyowafahamu binadamu hizo...
  5. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Tamko la TLS kuhusu kinachoendelea kwa waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima pamoja na haki ya kuabudu

    Siku chache zilizopita niliandika uzi unaoitwa: “Watu wanasali, mabomu yanalia. Je, kuna uhuru wa kuabudu?”Ulikuwa ni mwitikio wa kile tulichoshuhudia tarehe 22 na 29 June 2025: waumini wa dhehebu flani wakitawanywa kwa mabomu wakati wakiwa kwenye ibada. Sikuandika kwa lengo la kutetea mtu...
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ndani ya CHADEMA tupo Waumini wa Ufufuo na Uzima, Naomba Chama kitie nguvu kwenye Ibada zetu Kila Jumapili, kama ni mabomu tupigwe pamoja!!

    Niwaalike wanachadema wote Kwa ujumla,na watanzania wote na Wakristo, Kila Jumapili tuwepo , tuungane, tutie nguvu , Tupige kelele, tupaze sauti, Wacha wao watulige mabaomu, watuue, sisi tukusanyike, tufanye Ibada za Amani, tudai haki yetu ya kuabudu, TUIAMBIE DUNIA kua Tanzania Kwa Sasa Kuna...
  7. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Mgogoro kati ya serikali na kanisa la GCTC chini ya Askofu Gwajima: Polisi wazuia waumini kuabudu, wawapiga mabomu na kuwajeruhi wengi leo

    https://www.youtube.com/live/o_B5LqZdbCY?si=omR1VXMDoSHBZPLq Honestly, nimeshindwa kuelewa hii maana yake ni nini hasa... Polisi wamezuia majengo na mali zote za kanisa la GCTC - Ufufuo na Uzima Tanzania nzima zisitumiwe na wenye Mali kwa kuwa eti "jina la kanisa" lililosajiliwa serikalini...
  8. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Aisee kweli watanzania ni waoga gwajima kapigwa mkwara siku Moja tu kaingia mitini waumini wake wanateseka

    Nimeamini
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Polisi yatumia mabomu ya machozi kuwatawanya waumini wa Askofu Gwajima

    Jeshi la Polisi limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Glory Of Christ Tanzania Church waliokuwa wakisali pembeni ya barabara Ubungo Kibo jijini Dar Es Salaam
  10. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Simulizi za waumini kanisani: video

    Hili ni jambo Wachina wanapinga sana . Wanamwambia padre wa Kichina asikusanye sadaka.
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lazuia mkusanyiko wa Waumini wa Kanisa la Gwajima maeneo ya Ubungo

    Jeshi la Polisi limezuia mkusanyiko wa waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Gwajima waliokusanyika kufanya ibada pembezoni mwa barabara karibu na lililopo kanisa hilo Ubungo Kibo. Video: Jambo TV
  12. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Ufufuo na Uzima limefungwa Waumini hakuna kusali,Lissu gerezani hakuna kuabudu ?

    Heshima sana wanajamvi. Najiuliza kanisa la Ufufuo na Uzima limefungwa waumini wake hawana fursa ya kuabudu. Kanisa la Askofu Mwanamapinduzi limefungwa hakuna kuabudu. Lissu gerezani hakuna kuabudu ! Je hii imekaaje ?. Ngongo kwasasa Ukonga.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kamateni Askofu Gwajima ila waumini waacheni waendelee kuabudu

    Nilishasema Mama anahujumiwa. Ninarudia tena MAMA ANAHUJUMIWA. Kuna cartel inasukuma kete zake kwa ustadi mkubwa sana kumharibia mama kipenzi cha watanzania. Hii ishu ya kuzuia waumini wa kanisa la Gwajima kuabudu inaichafua zaidi serikali ya mama. Kama Gwajima ndo mwenye kosa basi akamatwe yeye...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Gwajima na waumini wake wafanye maombi makubwa ya kamatakamata kuwazuia polisi wanaofunga kanisa lao. Kwani wenye kosa ni waumini au ni askofu?

    Ni wakati sasa askofu Gwajima na kanisa lake wafanye maombi ya nguvu kuwazuia polisi wanaozuia waumini wa kanisa hili kufanya ibada yao ya Jumapili. Kwani kosa lilifanywa na waumini au na askofu mwenyewe? Huu ni uvunjifu mkubwa wa haki ya kuabudu unaofanywa na serikali ya CCM kupitia Polisi na...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polisi yatumia mabomu kuwatawanya waumini Kanisa la Ufufuo na Uzima

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam limelazimika kutumia mabomu ya machozi kutawanya waumini wa wa Kanisa la Ufufuo na Uzima (Glory Of Christ Tanzania Church). Waumini hao walikuwa wanaandamana kwenye njia ya Morogoro Road wakiwa na mabango yenye jumbe mbalimbali. Baadhi ya...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polisi wavunja Ibada ya Kanisa la Ufufuo na Uzima, wawataka Waumini kutawanyika

    Jeshi la Polisi Dar es Salaam limechukua hatua ya kuwataka waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima kutawanyika mara moja na kwa amani, baada ya kanisa hilo kuendesha ibada njee ya eneo la kanisa licha ya agizo rasmi la kusitishwa kwa shughuli zake. Tukio hilo limetokea siku chache tu baada ya...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Mwanamapinduzi Kibaha lawekwa utepe, waumini wafukuzwa

    Siku moja baada ya Naibu Katibu Mkuu wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church (Nyumba ya Ufufuo na Uzima), Askofu Maximilian Machumu maarufu Mwanamapinduzi kutangaza kuwa kanisa hilo halijafungwa na Serikali, tawi la kanisa hilo la Kibaha mkoani Pwani limevamiwa na watu wanaodhaniwa kuwa ni...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Waumini wa Gwajima: Someni ujumbe wa Alberto Msando DC wa Ubungo, muwe makini kesho

    Ameandika kwa lugha ya kilatini na kingereza. Alberto ndie kiongozi wa kamati ya ulinzi na usalama mahal pale yalipo makao makuu ya taasis/kanisa lenu
  19. R

    JamiiForums Tanzania Hivi Jasusi la Mbinguni Gwajima alionekana kwenye video ya waumini wake waliosali barabarani?

    Aloooh Mwamba anajikubali sana, siku zote ukiwa unasimamia haki au ukweli na una vidhibitisho huwezi kuogopa ukiwa na Imani, achana na wale machawa wanaojificha kwenye dini kumbe hawana lolote.
  20. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Waumini wa Gwajima watakiwa kusalia nyumbani

    Katibu mkuu wa Kanisa la Glory of Christ (Nyumba ya Ufufuo na Uzima), Dk Erick Shoo ametangaza kutokuwa na ibada katika matawi yote ya kanisa hilo leo Juni 8, 2025 ikiwa ni utekelezaji wa kufungwa kwa kanisa hilo. Hivyo Dk Shoo amewataka waumini hao kuabudia kila mtu nyumbani kwake hadi...
Back
Top Bottom