Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa Mahakama Kuu ya Tanzania, inatarajiwa kutoa hukumu katika Kesi ya Kikatiba inayohusu haki ya mawakili kukutana kwa faragha na mteja wao, Tundu Antipas Lissu, akiwa gerezani bila kusikilizwa au kuingiliwa na maafisa wa magereza.
Kwa...
Rais William Ruto amezua mjadala baada ya kumhusisha Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna na pombe alipokuwa akizungumzia uzinduzi wa chama kipya cha kisiasa, The Equitable Party (TEP), na madai ya Sifuna kuonekana kwenye baa baada ya hafla hiyo.
“Niliona Sifuna alienda kulaunch the Empty Party alafu...
Mwanzilishi wa kanisa la Mamlaka Hill Chapel, Askofu Charles Muhia Ng’ang’a, amefungua kesi katika Mahakama ya Ajira na Mahusiano ya Kazi jijini Nairobi akitaka kurejeshwa kwenye nafasi yake baada ya kufutwa kazi, huku akidai fidia ya zaidi ya KSh21 milioni.
Ng’ang’a, ambaye alikuwa akipokea...
Nimeandaa makala inayochambua utekelezaji wa Government Notice No. 487A of 2025, inayozuia wasio raia kufanya baadhi ya shughuli za biashara Tanzania.
Lengo la kuwalinda na kuwawezesha Watanzania kiuchumi ni muhimu. Lakini kuna swali linalohitaji mjadala; Nini kinatokea kwa kampuni zilizokuwa...
Wa-Houthi wa Yemen katika wiki za karibuni wamezidisha mashambulizi ya kijeshi ya makombora kwa nchi ya Ufalme ya Saudi Arabia wakipiga maeneo muhimu ya kimkakati katika taifa hilo ambalo wamekuwa wakipigania nalo vita kwa zaidi ya miaka kumi sasa.
Katika siku za hivi karibuni imeshuhudiwa...
Picha yenye maandishi "Je, Wanandoa Wanapaswa Kukaguana Simu zao?"
Ndugu zangu wa Jukwaa la Mahusiano, Mapenzi na Urafiki (MMU),
Katika zama hizi za mapinduzi ya kidijitali, kifaa cha kiganjani (smartphone) kimeacha kuwa chombo cha mawasiliano ya sauti pekee. Kimegeuka kuwa mtambo unaohifadhi...
OKOA CONGO: Kabila Amkataa Tshisekedi Kuhudumu kwa Muhula wa Tatu na Kuwataka Wananchi Wachukue Hatua Kuokoa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC): Hoja kuu 10 kutoka katika hotuba ya Rais wa zamani Joseph Kabila.
1️⃣ Kongo iko katika hatari ya kusambaratika...
Baada ya hoja ya Mdau ambaye aliandika = Vijana tulioshiriki Mkutano wa LCOY Tanzania 2026 Dodoma tumepigwa, tumebaki na madeni ufafanuzi umetolewa kutoka kwa wahusika.
Taarifa ya Ufafanuzi Kuhusu Usaidizi wa Wajumbe Katika LCOY Tanzania 2026
Imetolewa na: Kamati ya Maandalizi ya LCOY Tanzania...
Mahakama kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam, imeahirisha kutolewa kwa uamuzi wa maombi ya zuio katika kesi inayowahusisha Said Issa Mohamed na Ahmed Rashid Khamis dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Mahakama imesema uamuzi huo umesogezwa mbele hadi tarehe 22...
Matukio ya kuanzia mwaka 2022-2026 yamebadilisha sana akili za watu wengi duniani. Propaganda na ulaghai vimekuwa vikipwaya kila siku dhidi ya ukweli na uhalisia wa mambo. Kumekubwa na maswali mengi mazito ambayo hata wenye akili wanashindwa kuyatolea majawabu ya moja kwa moja:
Mosi, Israeli na...
Leo, tarehe 8 Oktoba 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam, inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu Maombi ya Zuio katika Maombi Madogo Na. 14864 ya mwaka 2026.
Maombi hayo yanahusu shauri la Said Issa Mohamed & Ahmed Rashid Khamis dhidi ya Registered Trustees of Chama cha...
Kuna shauri la kikatiba alifungua Zitto Zuberi kabwe akipinga kuondolewa kwa Professor Asad katika nafasi yake ya CAG. Mahakama ya Rufani iliyokaa na Majaji watano (5) likiongozwa na Jaji wa Mahakama ya Rufani waheshimiwa Barke Mbaraka Aboud Sehel, Dr. Gerald Anthony Mwandambo, Dr. Mary...
TANZANIA imewataka Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi kuchukua hatua madhubuti na za pamoia kukabiliana na mabadiliko va tabianchi, uchafuzi wa bahari na matumizi yasiyd endelevu ya rasilimali za baharini.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad...
HABARI Kansela wa Ujerumani, Friedrich Merz, amewasili katika mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, akisema Rais Volodymyr Zelenskiy anaweza kutegemea uungwaji mkono wa Ujerumani, huku mashambulizi ya Urusi yakizidi.
Merz, pamoja na wakuu wa kampuni kadhaa za ulinzi, amesema mashine ya vita ya Urusi...
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, amesema bunge la sasa halina kambi rasmi ya upinzani kwa sababu wabunge wa upande wa wachache ni 11 tu, sawa na asilimia tatu.
Alitoa kauli hiyo jana katika mkutano wa hadhara wilayani Tandahimba, kata ya Kitama, mkoani Mtwara.
Ado alisema mwaka 2015...
Habari wana jamii.
Kuna taarifa imepostiwa mtandaoni ikieleza kukamatwa kwa wezi (wahalifu) ambao wanafanya kazi ya kuchakachua mitungi ya gesi za kupikia (LPG) jijini Dar-es-salaam.
Taarifa hiyo inadai kuwa watu hao huwa wanafanya kazi ya kupunguza kilo za gesi kutoka kwenye mitungi iliyojaa...
Ninaandika haya ili kueleza uzoefu wangu kama mfanyakazi na changamoto nilizokutana nazo katika mchakato wa ajira na kusitishwa kwa mkataba wangu na Talents Solution Company Limited.
Nilikuwa nimeajiriwa kwa mkataba wa mwaka mmoja, ambao kwa mujibu wa mkataba wangu ulipaswa kuendelea hadi...
Rais wetu ni mvivu wa kufikiria ndio maana hataki kupoteza muda na yeye anaangalia yake makali tu yaliyotengwa ccm anayapa ubunge so shame.
Yaani teuzi zake ni mwenye nacho anaongezea.
Mtu amekuwa mbunge alafu unamteua awe DC baada ya kushindwa ubunge ccm
Nchi ni ya watanzania haiwezekani...
The point is;
Msafirishaji alipokea pesa ya nauli na alimpa biria tiketi ya safari ya kwenda mji mwingine kwa ajili ya safari iliyotajwa.
Abiria aliripoti ipasavyo katika kituo maalum cha kupandia na akasalia akiwa tayari na mwenye nia ya kusafiri.
Muda maalum wa kuondoka ulipita, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.