wauawa

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. Analogia Malenga

  Uganda yakamata washukiwa wa ugaidi huku wengine 7 wakiuawa

  Uganda inasema kwamba washukiwa saba wameuwawa na wengine 106 wanashikiliwa kutokana na matukio ya kigaidi. Hayo yametokea wakati wa oparesheni iliyofanywa na vikosi vya usalama wakihusishwa na washukiwa watatu wa mabomu ya kujitoa muhanga katika mji mkuu Kampala wiki iliyopita, kwa mujibu wa...
 2. The Sheriff

  Ecuador: Wafungwa 68 wauawa katika mapigano ya magenge hasimu

  Takriban wafungwa 68 wameuawa kwenye mapigano mapya katika gereza la Ecuador. Ghasia katika gereza la Litoral katika mji wa Guayaquil inasemekana zilianza Ijumaa jioni. Ripoti zinasema Polisi ambao wameingia kwenye majengo ya magereza wamekuta bunduki na vilipuzi. Zaidi ya wafungwa 100...
 3. beth

  Niger: Watu 69 wauawa katika shambulizo. Serikali yatangaza maombolezo ya siku mbili

  Taifa hilo limetangaza maombolezo ya siku mbili kuanzia leo Novemba 05, 2021 baada ya takriban watu 69 kuuawa kwenye shambulio lililotokea karibu na Mpaka wake na Mali Serikali imesema miongoni mwa waliopoteza maisha ni Meya pamoja na Kiongozi wa Wanamgambo. Hakuna kundi ambalo limetangaza...
 4. beth

  Nigeria: Takriban watu 20 wauawa baada ya watu wenye silaha kuvamia soko

  Takriban watu 20 wameuawa katika eneo la Sokoto baada ya watu wenye silaha kuvamia soko na kuchoma magari. Tukio hilo ni mwendelezo wa ghasia za magenge ya uhalifu Nchini humo Tangu Desemba 2020, ukanda wa Kaskazini magharibi mwa Nigeria umeshuhudia wimbi la matukio ya utekaji nyara wa Watoto...
 5. Analogia Malenga

  Mtera: Wavuvi 12 wauawa na viboko kwa kipindi cha kuanzia Februari 2020 hadi Agosti 2021

  Wavuvi 12 wamepoteza maisha na wengine 15 kujeruhiwa katika kipindi cha mwezi wa pili 2020 hadi mwezi wa nane 2021 kufuatia matukio ya kuvamiwa na mnyama kiboko wakiwa ndani ya Bwawa hilo katika shughuli zao za uvuvi. Hayo yamezungumzwa katika Ziara Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mohamed Hassan Moyo...
 6. Mkalibari

  Hofu Kigamboni: Adaiwa kuua walinzi wawili na kujeruhi wengine kwa kuwagonga kwa Lori baada ya kushindwa kesi ya madai

  Habari Wadau ,hivi Sasa nimepitia maeneo ya Kigamboni Tungi kwenye Round about kuelekea Darajani,Kibada na Feri kwa mbele kidogo Kuna Kituo Cha mafuta. Nimekuta Kuna zogo kubwa la watu,kutahamaki ni milio ya Risasi na watu wanakimbia hovyo. Sijajua chanzo rasmi ni Nini,japo wengi wanasema kile...
 7. Analogia Malenga

  Burkina Faso: Watu 47 wauawa na waasi

  Wapiganaji wenye uhusiano na Al-Qaeda na ISIL wameua watu 47 ambao 14 kati yao ni wanajeshi. Mauaji hayo yametekelezwa baada ya wapiganaji kuvamia mji wa Arbinda. Hata hivyo wapiganaji wa serikali walifanikiwa kuwaua waasi 16 katika mapigano hayo. ===== In an attack near the northern town of...
 8. Evarist Chahali

  Sad News: Watanzania Wanne Wauawa Afrika Kusini Katika Vurugu Zinazoendelea Nchini Humo

 9. Analogia Malenga

  Watoto wawili wauawa Nzega, ng’ombe zachukuliwa

  Tabora. Watoto wawili wenye umri wa miaka kumi na mbili wameuawa na miili yao kuzikwa ndani ya nyumba baada ya kurubuniwa na kuchukuliwa ng'ombe walizokuwa wanachunga. Tukio hilo limetokea mwishoni mwa wiki eneo la Ndala wilayani Nzega usiku wa kuamkia jana Jumapili Julai 11, 2021. Kamanda wa...
 10. Analogia Malenga

  Watu 38 wauawa na radi wakijipiga picha ‘selfies’ India

  Takriban watu 38 wamefariki dunia kwa kupigwa na radi ambapo 11 kati yao walikuwa wakipiga picha (Selfie) katika jengo la Kitalii la Amber Fort wakati mvua inanyesha Katika matukio mengine, watu 18 walifariki kwa radi huko Uttar Pradesh ambapo imeelezwa wengi wao ni Wakulima. Pia, Polisi...
 11. Analogia Malenga

  Somalia: Wapiganaji 18 wa Al-shabaab wauawa kwa amri ya mahakama

  Wapiganaji 18 wa Al-Shabaab ambao walihukumiwa kifo, wameuawa Juni 27 katika Galkayo Jimbo la Puntland nchini Somalia. Wapiganaji hao walihusika na mauaji ya watu muhimu wa nchi hiyo yakiwemo mlolongo wa matukio ya mauaji na ulipuaji katika maeneo ya Galkayo na Mudug. Mwenyekiti wa Mahakama ya...
 12. Sam Gidori

  Burkina Faso: Magaidi wenye silaha waua watu 138

  Wapiganaji wenye silaha wanaodhaniwa kuwa wa Jihadi wamewaua takriban watu 138 kaskazini mwa Burkina Faso, katika shambulio linalotajwa kuwa baya zaidi kushuhudiwa tangu mwaka 2015. Rais wa taifa hilo, Roch Marc Christian Kabore amelaani shambulio hilo akiliita la kishenzi na lililofanywa kwa...
 13. Sam Gidori

  Wapalestina 36 wauawa katika mashambulio ya roketi ya Israel

  Mamlaka katika eneo la Gaza zimesema takriban Wapalestina 36, wakiwamo watoto 10 wamefariki kutokana na mashambulio ya maroketi kutoka Israel, huku wengine 250 wakijeruhiwa siku ya Jumatano. Mashambulizi haya ni ya hivi karibuni zaidi yanayoongeza mvutano ulioanza baada ya Hamas kuvitaka...
 14. Analogia Malenga

  Kibaha: Watu wawili waliotoka jela kwa msamaha wauawa

  Watu wawili waliotoka gerezani hivi karibuni kwa msamaha wa Rais wameuawa baada ya kukamatwa wakidaiwa kuiba vitu mbalimbali huko kwa Mathiasi mjini, Kibaha mkoani Pwani. Watu hao walifungwa kwa makosa ya wizi katika kesi ya jinai namba 273/2020 na 260/2020 na walipata msamaha wa Rais wa...
 15. Kurzweil

  BURKINAFASO: Takriban Wanakijiji 30 wauawa baada ya kushambuliwa na Wanamgambo

  Wanamgambo wanaosadikika wa kundi la Jihad wamevamia kijiji mashariki mwa Burkinafaso na kuua wanakijiji wanaokadiriwa 30. ‘Kundi kubwa la watu wenye silaha lilivamia kijiji cha Kodyel jimbo la Komandjari jumatatu asubuhi na kufanya shambulio liligharimu maisha ya watu wanaokadiriwa kufikia 30...
Top Bottom