kutengeneza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. youngkato

    JamiiForums Tanzania UKITUMIA CAPCUT KUTENGENEZA CONTENT YA BIASHARA, LAKINI BADO UNATEGEMEA TOLEO LA BURE—HUENDA UNAJINYIMA ZANA ZINAZOWEZA KUIPELEKA CONTENT YAKO LEVEL N

    Kama wewe ni Content Creator, TikToker, YouTuber, Graphic Designer, Social Media Manager au mfanyabiashara, video zako si burudani tu—ni sehemu ya brand yako, mauzo yako na namna watu wanavyokuona. CapCut Free inaweza kukusaidia kufanya editing za kawaida, lakini unapohitaji kufanya kazi kwa...
  2. Arch Barrel

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha kutengeneza Misumari

    Habari wanajukwaa. Wakuu natambua humu kuna wajuzi wa mamb mbali mbali. Nina dhamira ya kufungua kiwanda kidogo cha kutengeneza misumari aina zote. Ninaomba nipate mtu anaejua biashara hii, anaweza kuwa bisness consultant wangu ili niweze kushindana sokoni. Ninafikiria kuanza na mikoa mitatu...
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu wawili wakamatwa Kabete kwa kutengeneza juisi bandia

    Maafisa wa upelelezi kutoka Kituo cha Polisi Kabete wamewakamata watu wawili wanaodaiwa kutengeneza na kusambaza juisi bandia katika eneo la Muthua, Kabete. Washukiwa hao, Alex Mwaruta na James Munala Inyangala, walikamatwa wakiwa katika mchakato wa kutengeneza juisi hiyo baada ya polisi kupata...
  4. Kyatile

    JamiiForums Tanzania Je, simu gani inafaa kutengeneza kwa ajili ya kutengeneza content za biashara?

    Habari wanabodi. Nina duka la nguo na nataka kuanza kuandaa content kwa ajili ya kumarket biashara yangu. Kwa wenye uzoefu nisaidieni kujua ni simu gani kwa bajeti ya 2.5M itanipatia simu nzuri yenye kutoa video bora? Je ninunue Samsung S26 Ultra mpya au Used iPhone 16/17 pro max au google pixel?
  5. C

    JamiiForums Tanzania Colabo ya Joel Na Diamond aina afya kabisa kutokana na maadili ya Diamond

    Nimeona mjadala wa colabo iliyofanywa ikimshirikisha Diamond,waislam wameuhamisha kuwa wa kidini. Waliomlaumu Joel Lwaga,walimlaumu kwa sababu ameshirikiana na mtu wa muziki wa kidunia. Sio tu muziki wa kidunia,bali msimamo wa mtu huyo kuhusu maadili. Siyo tu msimamo wake,bali kazi nyingi...
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya imechaguliwa kutengeneza kidonge kipya cha kuzuia HIV

    Kenya imechaguliwa kuwa miongoni mwa nchi tatu za Afrika zitakazohusika katika utengenezaji wa alimatravir, kidonge kipya kinacholenga kuzuia maambukizi ya HIV na kinachotarajiwa kutumiwa mara moja kwa mwezi. Kidonge hicho kitatengenezwa nchini na kampuni ya Universal Corporation, chini ya...
  7. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Namna ya kutengeneza mtindi mzito na mtamu sana nyumbani kwako.

    Jinsi ya kugandashia maziwa nunua maziwa fresh lita 2 au vile upendavyo yachemshe yapoe Kisha chukua vijiko 4 vya kulia chakula vya mtindi (culture) iwe asass, au Tanga fresh ambayo unapenda weka kwenye maziwa Yako ambayo yamepoa👌Kisha weka kwenye chombo kisichopitisha hewa funika kwa masaa 24...
  8. C

    JamiiForums Tanzania NSSF kutengeneza kiasi cha zaidi ya Trilioni 11 ni matokeo ya sheria za kidhalimu

    Jana nimeona katika vyombo vya habari NSSF wakijinasibu kwa ukwasi mkubwa waliotengeneza. Jambo hilo linaonekana kama hatua ya mafanikio kwa shirika hilo lakini mimi nalifananisha na jambazi mwenye silaha za moto aliyefanikiwa kupora mali za watu na sasa anatoka hadharani kutamba kwamba...
  9. Kelvin John Joseph

    JamiiForums Tanzania Nimeweza kutengeneza App kwa kutumia AI

    Katika harakati zangu za kuhakikisha wazo langu halibaki kichwani tu, nikaanza kutafuta njia za kulifanikisha wazo hilo. Si ndo nikakutana na AI, basi bwana, nikatia nia, nikatia juhudi na maarifa kidogo, na sasa hatimaye nimefikia hapa. Ni PataChumba, hii ndiyo ilikuwa ndoto yangu ya muda...
  10. Al-akhdally

    JamiiForums Tanzania KARIBUNI KWA KAZI ZA KUTENGENEZA PVC CARD

    Natengeneza id card za plastic kwa ajili ya matumizi mbali mbali 1. Id card 2. Visitors card 3. Coupon 4. Business canrd 5. Wedding card Karibuni tupo kariakoo 0717470234 Mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa. our value is speed and acuracy
  11. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Mmoja atupwa jela, wawili waachiliwa kwa Plea Bargain kwa kutengeneza pombe feki Arusha

    Arusha. Mtu mmoja amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela na Mahakama ya Wilaya ya Arusha, huku wengine wawili wakiachiliwa huru kwa Plea Bargain baada ya kukutwa na hatia ya kutengeneza na kukutwa na pombe feki pamoja na stempu feki za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Adhabu hizo zimetolewa...
  12. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Ndani ya Miaka 5 ya Uongozi wa Rais Samia,Tanzania Yaanza Kuzalisha Smartphone na Kutengeneza Ndege Ndogo

    My Take Kuna nyumbu watabisha na kuanza kutukana Walisema kibaraka anawania tuzo ya Mabeberu 😂😂 Kazi nzuri sana ya kuhuisha sera Bora za biashara na uwekezaji zimefanikisha wawekezaji wa ndani na Nje kuanzisha Viwanda vya kimkakati kama hivi. Ushauri wangu ni tununue "Made in Tanzania",Mimi...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Hersi anahusika kutengeneza wahuni kwenye soka

    Tumeona ya jana jinsi kocha wa Gaborone alivyopigwa ngumi na staff wa Yanga bila sababu yoyote ya msingi.Hiyo nawaambia ni trela tu picha lenyewe linakuja pale nyuma mwiko watakapopoteza mechi muhimu kwenye hii ligi wanayoitawala nje na baadae ndani ya uwanja. Huyu mtu amefanikiwa kuufanya...
  14. Mmanu

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuache kutengeneza taharuki. Kama Nchimbi ana shida familia yake ingesema

    Wana JF natumai hamjambo kabisa Kuna wimbi limeanza kusambaa sasa la baadhi ya watanzania kuleta taharuki ambazo hazina mbele wala nyuma. Kuhusu suala la kutokuonekana hadharani Balozi Dk. Emanuel John Nchimbi imefikia kwa baadhi ya watanzania kuleta stori ambazo zinaibua hisia hasi vichwani...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi wa kutengeneza hydraulic tile press

    Nahitaji fundi/mtaalamu wa kutengeneza mashine ndogo ya hydraulic press kwa ajili ya kutengeneza vitofali vya cement. Vipimo/mahitaji: Hydraulic jack: 30 Ton Kitofali kimoja kwa kila press Ukubwa wa tile: 300 × 100 × 18 mm Mould: Steel mould inayoweza kutoa tile kwa urahisi (ejector/removable...
  16. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Simu za Raddy zinazotengenezwa Tanzania, ingependeza ziwe na quality nzuri na bei nzuri kuanzia mwanzo ili kutengeneza trust kwa wateja

    Nimeona leo tangazo la simu za Raddy ambazo zinatengenezwa Tanzania. Ni hatua nzuri na nimefurahi kuona simu hizi za hapahapa Tz, maana wanasema kiwanda kimeajiri watz zaidi ya 1000 ila natamani wangeimprove product zao Kwa mfano nimeona hii simu yao inaitwa "Raddy Janja Pro" inauzwa 350,000/=...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanausalama wa Barabarani Dar waache kutengeneza mazingira magumu kwa madereva Bajaj

    Kero yangu ni upande wa Traffic Polisi kwa Mkoa wa Dar es Salaam, hivi kwanini wanakazia sana kupewa rushwa tena wanaomba kiasi kikubwa cha fedha, kikikosekana wanakuandikia fine kubwa ya makosa kuanzia matano. Changamoto hiyo inawakuta hawa wenye magari na madereva wa Bajaj, mfano sisi watu wa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kuanza kutumia teknolojia ya mionzi kuchapisha taarifa katika tabaka kwenye kitambiulisho cha Taifa

    Hayo yamesemwa leo na Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa leo 1, Septemba 2026 kwenye uzinduzi wa Septenba ya Utambulisho Amesema kuwa, "Ni kuboresha teknolojia ya kuchapisha vitambulisho. Tumekuwa na maoni mengi kutoka kwa wananchi juu ya uboreshaji wa kitambulisho. Sasa ndugu zangu waandishi...
  19. GANJIBHAAI

    JamiiForums Tanzania Hivi Jamii Forums haiwezi kutengeneza Bidhaa (merchandise) zake zikaitwa jina moja tu Jamii

    Nimetest hii AI yangu ya kichovu wamba njooni mtie nyama 😃
  20. O

    JamiiForums Tanzania Tuanze kufikiri namna ya kuwa na Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) kwenye Katiba ijayo ili kutengeneza umoja na mshikamano wa kitaifa

    Watanzania ,ninaleta kwenu wazo la kuwa na Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwenye Katiba mpya.Ninapendekeza kwamba chama cha siasa au mgombea binafsi atakayepata kura kuanzia Asilimia Kumi (10%) kiwe ndani ya Serikali. Hii itasaidia kuondoa mtindo tulio nao sasa wa mshindi kuchukua vyote hata kama...
Back
Top Bottom