nabii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Mke wa nabii azimia na kukimbizwa kwa mganga

    BERAKING NEWS🚨🚨 Mama Eda anaumwa hamsemi ukweli, mnampeleka kwa waganga wakienyeji?? kwahiyo huyu aking'ata shuka nahodha atakuwa nani?yule mzanzibar wa idodomiya? makamu atakuwa nani? hebu watu waanze maandilizi ya SAFU BASI🥱maana safari hii amechokoza mwenyewe majasusi kumkamata nchimbi na...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania NABII NUHU(a.s) NA GHARIKA

    Nabii Nuhu (a.s) kama ilivyo kawaida kwa mwenyezi Mungu kutuma mitume kwa waja wake waliokishirisha madhambi. NUHU baba yake aliitwa Lamik ibin Matushalakh. Alianza kazi ya utume akiwa na miaka 40 na alifanya kazi ya utume kwa miaka 950. Alitumia kila njia ya kufanya kazi aliotumwa,kwa...
  3. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania "'Milango ya Mauti Imefunguliwa': Nabii Genoveva Atoa Onyo la Mwisho kwa Kajala Masanja Kufanya Toba"

    Nabii Genoveva, anayejitambulisha kama mtumishi wa Mungu, ametoa ujumbe mzito wa kiroho akidai kuwa mwigizaji na mfanyabiashara mashuhuri nchini Tanzania, Fridah Kajala (Kajala Masanja), yuko katika hatari ya kupoteza maisha muda si mrefu iwapo hatatubu madhambi yake na kutengeneza mfumo wa...
  4. Powder

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi na ya Kiunabii kwa Nabii David Richard: Kuhusu Mifumo ya Sadaka za Ulinzi (Covering) na Ustawi wa Maskini Kanisani.

    Ninaiweka barua hii hapa nikiamini itamfikia mlengwa, Nabii David Richard anayehudumu hapa Dar es Salaam katika huduma ya The Angels of God Ministry au itawafikia wasaidizi wake wa karibu. Ninaandika haya si kwa nia ya kushambulia huduma yake, chuki, wala dharau. Ama kumshambulia yeye mwenyewe...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kwa maisha ya zamani sasa hivi tungemsoma kama Nabii mkubwa

    Hamjambo! Bila kuwa na maneno mengi. Ni hakika katika nchi yetu kama ingekuwa zamani basi leo hii tungekuwa na Nabii aitwaye Tundu Antipas Lissu. Anatimiza vigezo vyote vya kuwa Nabii. Nimewasoma kina Daniel, Ezekiel, Kina Yeremia, kina Isaya na wengineo. Kwa mambo anayoyafanya Lisu ni wazi...
  6. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Siku tano zimepita tangu Nabii Tito akamatwe, lakini hadi leo hajapandishwa mahakamani.

    Nabii Tito tangu akamatwe siku ya Jumamosi hadi leo hajafikishwa kwenye mahakama yoyote. Tunaomba Polisi wamwachie mara moja au wampandishe mahakamani.
  7. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hizi story kuwa Nabii Tito atunae ni za kweli?

    Nimekutana na hii taarifa kua nabii Tito kapoteza maisha, je ni za kweli hizi taarifa? Ikumbukwe nabii Tito alimdhihaki MUNGU, Kwa kujiita ye MUNGU na yesu ni mwanae
  8. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Jicho la Shaka: Je, Ni Ukichaa halisi au Nabii Tito ni chambo kinachotumiwa na watu wa nyuma ya pazia?

    Katika kumbo hili la wakati, hata mtu anayeonekana kupoteza fahamu za kawaida za kijamii bado anajua nguvu ya simu janja na mitandao ya kijamii. Lakini linapokuja suala la maudhui anayoyatoa kwa haraka kuna sababu kadhaa zinazomfanya atumie mitandao kutukana viongozi wa kisiasa, mathalani...
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Polisi Wamemkamata Nabii Tito wakati 2018 walimuachilia kwamba ana matatizo ya akili?

    Kukamatwa kwa Nabii Tito ni Ishara tosha kwamba Polisi wanatumilka Kisiasa. Mwaka 2018 Polisi walimkamata Dodoma, Halafu wakampeleka Mirembe, kisha wakamuachia eti ana matatizo ya akili. Kipindi hicho alikuwa anaisifia CCM. Alipoanza kusema CCM na Samia ni wauaji wa Oktoba 29 mwaka 2025...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nabii Tito ambaye aliumbwa kwa sura na mfano Mungu

    Nabii Tito ambaye aliumbwa kwa sura na mfano Mungu amekuwa akipaka 💋 lipstik ili kulainisha mdomo. Alitabiri Mengi kama ifuatavyo 1.Mafuta kupanda bei 2.Kesho kuwa Jumamosi 3.Kuvaa life jacket kujikinga na baridi 4.Wema kujifungua 5.Walevi kunywa pombe
  11. Think2

    JamiiForums Tanzania Mungu hawezi kutuletea nabii mnyakyusa tusidanganyane

    Kumekuwa na ongezeko la manabii hapa nchini hao manabii walitabiliwa wapi na nani aliwatabiria kuwa watakuja kuwa manabii? Hakuna popote kwenye maandiko ya torati hata angano la kale kwamba tizama tanzania atatokea nabii mnyakyusa akili kichwani wewe kanunue mafuta utajirishe manabii wa uongo...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa maandiko matakatifu Ellen G. White wa kanisa la Wasabato ndiye Nabii wa mwisho duniani na hakuna Nabii mwingine baada yake

    Wadau tafadhali mjisomee biblia takatifu kwenye kitabu cha Ufunuo wa Yohana mtakuta ushahidi kamili huko, muhimu ukiwa unasoma omba roho mtakatifu akuongoze. She's the last prophetess
  13. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania Pastor anusulika kufa maji baada ya kutaka kuigawanya bahari kama alivyofanya Nabii Musa

    Ndugu zangu katika imani kama hauna upako na kibali cha Mungu husithubutu utakufa maji.
  14. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Je, Yericko Nyerere ni nabii? Mengi aliyotahadharisha ndo yanawakumba CHADEMA kwa sasa

    Hili jasusi la bamia ni nabii? Ninashangazwa karibu kila kitu alichotahadharisha kuhusu CHADEMA ndo kinatokea kwa wakati huu. CHADEMA wakampigie magoti ili awavushe. Jamaa ana kipawa kikubwa cha kiroho. Nitakumbushia machache aliyotahadharisha. Yeriko alikitahadharisha chama chake cha zamani...
  15. tpaul

    JamiiForums Tanzania Nabii Suguye: Kufunga ndoa kanisani ni upagani

    Sitaki kuwachosha, hebu twende kwenye mada moja kwa moja. Nabii na mtume mkuu wa kanisa la WRC amewaambia wafuasi wake na jamii kwamba kufunga ndoa kanisani ni upagani. Mtume huyo, ambaye ni maarufu kwenye kauli tata, amesema hayo wakati akiwahubiria waumini wake huko Matembele, Kata ya Kivule...
  16. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Nabii feki Uegber Angel adai Rais mstaafu wa Zambia Lungu alikufa kwa sababu alimkatalia kuingia Zambia

    Nabii feki Uegbert Angel toka Zimbabwe amedai mbele ya misukule inayomwabudu kuwa kifo cha Rais mstaafu wa Zambia Hayati Edgar Chagwa Lungu kimesababishwa na yeye kuzuiliwa kuingia nchini Zambia enzi za uhai wa Lungu. Amedai Hayati Lungu alimzuia kuingia Zambia. Ikumbukwe huyu nabii feki...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Nimepata maono kuwa kiranga atabadilika na kuwa mtume au nabii

    Ataitwa Pastor Kiranga au nabii kiranga au mtume kiranga. Atakua mlokole haswa anayenena kwa lugha na atakua anatoa mapepo. Atahubiri na kueneza neno JF na kwingineko. ataweka hadi spika kwenye mikusanyiko na kuhubiri. Destiny yake nimeshaiona karibu mtume Kiranga
  18. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kichoitwa kikao cha wanaume chini ya nabii feki IPM kinashusha hadhi ya mwanaume

    Tangu lini wanaume tukawa na kikao kinachotutaka tushone sare? Hili ni jambo la hovyo mno. Haina tofauti na Kitchen party galla. Mbaya zaidi kikao kilikuwa cha kuchambana na kusemana vibaya wanaume. Ikumbukwe huyu nabii feki ndo alisema ni aibu mtu kufika miaka 50 bila nyumba wala gari...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Ni Bahati Mbaya Wengi Hawajui Utimizo wa Unabii wa Biblia Kuhusu Matukio ya Dunia, Mfano hii Vita-Iran

    Niwakumbushe tu kuwa kama wewe unaiamini Biblia na Unabii wake, utakuwa umegundua kuwa inakubidi uijue historia ya matukio halisi ya wanadamu yalivyotokea hapo nyuma na kuhusisha na kile Biblia iliandika. Kuna Unabii ktk Agano la Kale zilitimizwa vipindi hivyo hivyo vya kale mfano Kuharibiwa...
  20. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Wakristo wenzangu, kwahiyo pamoja na kuwa na elimu zetu Bado tunaamini Nabii Yona alimezwa na nyangumi na akatapikwa akiwa Yu hai?

    Hapa sasa nakubaliana na Mzee Kikwete hasa aliposema Akili za kuambiwa changanya na zako. Inawezekana vipi mtu amezwe siku3 nzima mchana na usiku Kisha akatapikwe akiwa Yu hai? Haihitaji maelezo mengi sana naishia hapa ila Mimi pamoja na ukristo wangu nakiri wazi tulipigwa chumvi iliongezwa...
Back
Top Bottom