waumini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Je waumini wa dini zote mbinguni watachanganywa pepo moja, ama kutakuwa na Pepo tofauti kwa kila dini pepo yao peke yao ?

    Habari wadau. Naombeni msaada wa majibu. Je watu wa dini zote watakaotenda mema na kuingia peponi, watachanganywa pepo moja ama kila dini watakaa pepo yao peke yao. Je wataungana mbinguni kwenye pepo moja hata kama huku duniani hawataki kuungana ?
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Padri Muchunguzi ashangazwa na kauli za Rais, asema waumini wetu ni wanasiasa lazima tuwarekebishe

    https://youtu.be/KcSIOQxAh64?si=7rOHRwCBPK3Bcu2R My Take Rais asiwasikilize wapambe kina Wasira, akubali reforms
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Uchaguzi Mkuu, Viongozi wa Dini Wasiishie Kuionya Tu Serikali, Bali Wawashauri Pia Waumini Kutohatarisha Maisha Yao, Kama Hakuna Reforms.

    Viongozi wa dini, kwa dini zote, huchukuliwa kama wazazi na walezi wa waumini wao. Ni kwa sababu hiyo, viongozi wa dinni kwa kutambua wajibu wao, wametoa ujumbe kwa Serikali juu ya umuhimu wa kuwa na marekebisho ya sheria, kanuni na mifumo yetu ya uchaguzi, ili uchaguzi mkuu kuwa wa haki na...
  4. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Chama Cha Mapinduzi (CCM) inawatakia Watanzania wote hususani waumini wa dini ya kikristo Ijumaa Kuu njema

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) inawatakia Watanzania wote hususani waumini wa dini ya kikristo Ijumaa Kuu njema. #𝙆𝙖𝙯𝙞𝙉𝙖𝙐𝙩𝙪𝙏𝙪𝙣𝙖𝙨𝙤𝙣𝙜𝙖𝙈𝙗𝙚𝙡𝙚
  5. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Teknolojia: Waumini Kanisani watoa Sadaka kwa Lipa Namba na kuchanja kadi za benki (Credit Card Payment)

    Katika hatua dunia ipofikia sasa, Teknolojia inazidi kukimbiza kila sekta ya Dunia... mababu waliofakiriki kipindi cha utumwa wakifufuka Leo wanaweza kupigwa na butwaaa na kuacha vinywa wazi kama sisi tutakapo pigwa butwaa endapo tukifufuka mwaka 3025, yani miaka elfu 1000 toka sasa kwa jinsi...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Siku makanisa yakijaa waumini matajiri na kuongozwa na nabii mmoja aliye masikini basi yesu atakuwa alikuwepo kweli!!

    Siku ikitokea waumini wote wa mwamposa wakawa matajiri kumshinda mwamposa basi itakuwa ni ishara ya wazi kuwa yesu alokuwepo na anafanya kazi. Kinyume na hapo ni ujinga tu ma hadithi za kusadikika!!
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu Mkoani Tanga waswali Swala ya Eid el Fitr

    Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu wanaofuata mwezi mwandamo wa kimataifa, leo Jumapili Machi 30, 2025, wameswali Swala ya Eid el Fitr, baada ya kuhitimisha siku 29 za mfungo wa Ramadhan. Pichani baadhi ya waumini hao wakiwa katika Uwanja wa Ramole jijini Tanga wakihudhuria swala hiyo leo...
  8. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Sheikh Dr. Sulle atumia maji kuponya waumini wa kiislamu

  9. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Waislamu ni kwamba dini yao ni nzuri lakini hawaifuati

    Nasikitika kwa padre wa White Fathers kutekwa nchini Nigeria. Lakini, we must not take it personally. Kule Nigeria utekaji nyara watu ni national pastime. Ni hobby. Lakini Mwislamu anaonyesha kukosa imani na dini na kwa hiyo haifuati. Always lazima utofautishe kati ya Mwislamu na dini ya...
  10. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa hivi bado wapo vijana oeni, ndoa bila shela yafungwa kanisani na kushangaza waumini wengii

    1. Hakuna madeni 2. Hakuna kusumbua watu michango 3. Hakuna kupotezea watu muda kwa vikao vya mara kwa mara
  11. Vien

    JamiiForums Tanzania Tabia ya waumini wengi wa KKKT kuondoka kabla ya ibada kuisha, Ni ishara kanisa linahitaji mabadiliko makubwa ya uendeshaji wa ibada

    Habari wakuu, Mimi dhehebu langu ni Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Kanisa letu lina utaratibu wa kufuata kalenda ya mwaka, ni jambo zuri, Lakini kuna haja ya kufanya mabadiliko kwenye baadhi ya vitu ili kuendana na dunia ya leo Usomaji wa matangazo ya week, Kwa dunia ya...
  12. Moaz

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Njia zinazotumiwa na chama tawala kuwahadaa wananchi na waumini wa demokrasia katika nchi za dunia ya tatu

    Vyama vya siasa, hasa vyama tawala katika nchi za Dunia ya Tatu kama Tanzania, hutumia mbinu nyingi za hadaa kuwashawishi wananchi na waumini wa demokrasia ili waendelee kushikilia madaraka na kulinda maslahi yao. Hapa ni baadhi ya mbinu wanazotumia: 1. Kutumia Ahadi za Uongo Wakati wa Kampeni...
  13. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Tukiweka pembeni ufia Dini kwanini makanisani kuna walinzi na viongozi wa dini wana walinzi lakini sisi waumini tunaambiwa malaika watatulinda?

    Makanisani yote makubwa ya mjini yana walinzi na mageti ukienda kwa watumishi (manabii,Mitume) wana bodyguard zaidi ya 4 na wanawalipa kabisa.Imefikia wakati hata akiwa anahubiri huko madhabahuni ana walinzi.Angalia ibada za Geodav na kiboko ya wachawi. Zaidi ya yote ukifika kwenye familia zao...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Serikali kuweka siku ya jumamosi kuwa siku ya Usaili ni kuwakosea Haki Wahitimu waumini wa kisabato

    Serikali kuweka siku ya jumamosi kuwa siku ya Usaili ni kuwakosea HAKI Wahitimu waumini wa kisabato. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Sabato Njema. (itikia Njema Sana). Wahitimu wa kisabato wanasikitika baada ya baadhi Yao kukosa kwenda kwenye Usaili kutokana na siku iliyowekwa kwaajili ya...
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mh. Kiasi: Viongozi wa Dini wahangaike pia na njaa ya haki ya Waumini wao

    “Natoa wito kwa Viongozi wetu wa Dini, Maaskofu, Mapadri na Masheikh wetu, na wao ni Watanzania, yakiharibika yanaharibika na kwao yakitengamaa yanatengamaa na kwao, wasikubali kuambiwa wajibu wao ni kuombea roho za Waumini wao tu, wajiulize je miili ya Waumini wao ipoje, wahangaike na njaa ya...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini 95% ya Waumini viherere Ibadani Makanisani ndiyo wanaoongoza kwa kuwa na Sifa za Uchawi mitaani Kwao wanapoishi?

    Na wakiwa Ibadani Makanisani ndiyo hupenda kukusanya Sadaka na kufanya kila aina ya Shughuli za Ibadani hata kama zingine haziwahusu. Hupenda pia kuwa wa Kwanza kupokea Sakramenti ya Bwana na Nyimbo mbalimbali zikiwa zinaimbwa hupenda Kuimba kwa Sauti za Juu kuliko Sisi Waumini wengine (hadi...
  17. Faana

    JamiiForums Tanzania Wahubiri na waumini kuna jambo la kujifunza hapa

    Nimemsikiliza mtumishi huyu, nimejifunza jambo muhimu sana katika kujiimarisha kiimani Nawe msikilize https://www.facebook.com/reel/8974835319238058
  18. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Namna Wachungaji waovu wanavyoiharibu amani ya Waumini Duniani

    Duniani kuna Wachungaji wa aina mbili, wema na wabaya Wachungaji wema mara zote wanahubiri habari njema za Mungu, mara zote wanaeneza Upendo, Amani, Mshikamao na kupigania utulivu ndani ya mioyo ya Wanadamu wote Wachungaji Wema sifa zao kubwa wanakuwa ni wasomi wa hali ya juu na wanaoendesha...
  19. magnifico

    JamiiForums Tanzania Al Ahly SC yawatakia Merry Christmas Waumini wa Kanisa la Coptic huko Misri

    Leo ni Krismasi huko Ethiopia….! Pia kwa Coptic wa pale Alexandria Misri nao wanasherehekea sikukuu ya Krismasi na wao huifuata kalenda yao maalum…! Kwa Coptic huwa wanaita Alexandrian Calendar✅ Wanasherehekea kuzaliwa kwa Masihi Yesu Kristo kwa mujibu wa Kalenda yao ya Orthodox! Ethiopia...
  20. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Siku hizi waumini tunapenda mahubiri ya kumiliki vitu vya dunia

    🔘 Siku hizi waumini hatutaki INJILI ya kuambiwa/kuhubiriwa; ✓Acha umalaya ni dhambi. ✓ Acha kudanga ni dhambi. ✓ Acha wizi ni dhambi. ✓ Acha uchawi ni dhambi. ✓ Acha kutoa mimba ni dhambi. ✓ Acha pombe ni dhambi. ✓ Acha rushwa ni dhambi. ✓ Acha ushoga na usagaji ni dhambi. ✓ Acha kubaka watoto...
Back
Top Bottom