Kutokana na jua kuwa kali sana, na kuchoma usoni, mwili, mpaka mifukoni, kumekuwa na ongezeko kubwa sana la waganga na manabii kwenye mitandao ya kijamii, hasa kule Tiktok.
Ukifungua kidogo tu, mara pasta fulani anatokea, hujakaa sawa, mara nabii, hujakaa tena sawa mara mganga wa utajiri n.k...
Katika utitiri na mfululizo wa ujenzi holela wa makanisa kila sehem/kona,hilo kanisa likifunguliwa lazima kuna nabii wake.
Huu mfumo umekuwa endelevu na unapata nguvu Kila siku kutokana na ujinga wa waumini wao wanaosubiri kusomewa vipande vifupi vya biblia.Hawo manabii (feki) wanajua asilimia...
Hapo vip!
Binafsi naheshimu na kuamini dini zote zinazomtambua na kumuamini Mungu.
Ila binafsi nimejikuta mimi ni mkristo na naamini nipo eneo au katika imani sahihi na ya kweli pasina shaka.
Ila nina swali huwa najiuliza,biblia yetu pendwa na iliyojaa hekima,unabii,upendo ,unyenyekevu na...
Siku moja nikiwa Ifakara nilikutana na kijana mmoja aliyenimbia kuwa wana kikundi chao ambacho hukodishwa na Manabii na mitume feki.
Kijana yule alinithibitishia kuwa kikundi chao hicho kazi yao kubwa ni kuwezesha "miujiza" ya Manabii au mitume hao kutendeka na kuaminika.
Baadhi ya Manabii...
Hivi unajua kuwa unapoona mtu anatapika "nyoka" kanisani au kiwete anatembea ghafla, mara nyingi hushuhudii nguvu za Mungu, bali unatazama mchezo wa kuigiza uliosukwa kwa ustadi na nguvu za giza (Occultism)? Je, unajua kuwa sekta hii imekuwa biashara kubwa inayovuna mabilioni kwa kutumia maagano...
Habari ndugu wanajamii
Ningependa kushea nanyi list ya majina matukufu ambayo manabii waliyatumia pia, mfano nabii issa(yesu) aliyatumia majina haya kufanya miujiza mingi hata ya kufufua watu, lakini majina haya yalitumiwa na nabii mussa(moses) kuiamrisha bahari ipasuke, lakini majina haya...
NIkupe tu taarifa wewe unae hangaika na vitu vya kufikirika kuwa huu ni uchezaji tu wa akili yako.
PESA HUZAA PESA.
BAHATI NI PALE FURSA IKUKUTE UKIWA NA UTAYARI.
Hakuna cha nyota wala aura, hakuna cha mikosi wala nuksi.
Kama umefulia umefulia tu, patabadilika pale utakapo chukua na panaweza...
Kuna science ya kucheza na akili ya mwanadamu ili awe mfuasi wako na ataishia kufanya lolote kwa ajili yako na hata ukifa ataendelea kukutukuza kufanya yale ulimfundisha.
Human brain is a mystery.
Hello
Hope mko salama..
Hii kitu inanikata sana unakutana na kijana mzuri tu ila unamuuliza anasali wapi anakwambia nasali kwa Mwamposa au nasali kwa Kuhani Musa..
Anyway sio mbaya kila mtu na imani yake ila kwa upande wangu sifurahishwi na wanaume wahumini wa makanisa hayo yanayo trend na...
Ilikuwa 2023 hivi kama sitakosea, manabii 2 vijana kutoka Marekani Lovy Elias mwenye asili ya Kongo na Passion Java mwenye asili ya Zimbabwe walikuja Tanzania kwa huduma.
Kwa muonekano wao nikasema hawa ni mashoga wametumwa na Ibilisi kusambaza ushoga.
Jf niliweka nyuzi kuwasagia sumu ...
Maandiko Yasemavyo Kuhusu Manabii na Mitume wa Kweli na Uongo
Huduma ya mitume na manabii wa uongo na hasa ya kinabii, ilitabiriwa tangu enzi za Agano la Kale, kwamba itakuwepo duniani, na sasa ipo.
Kitabu cha Yeremia 14:14: "NDIPO BWANA AKANIAMBIA, HAO MANABII WANATABIRI UONGO KWA JINA LANGU...
Kitaa hali ni ngumu sana, hata ukiacha haka kamvua ka leo.
Ukame
Joto
Fukuto
Ukosefu wa maji
Mke wa Kapola aliwahi kuishiwa na gesi ya kupikia. Mumewe akafanya muujiza, mtungi ukajaa gesi, mambo yakawa sawa. Japo hatukuwahi kupata mrejesho kama ile gesi ya muujiza iliisha au la, wala kama...
Msomi uliyefikia kiwango hicho kama nilivyo taja juu na bado akili yako haijajua kupambanua nyeusi na nyeupe ni ipi wewe ni galasa Type1
Ni ajabu kwa kweli wafuasi wakubwa wa hawa manabii matapeli ni wasomi.
Mfano unaambiwa waumini/washiriki wa makanisa ya wahuni masanja mkandamizaji na...
Nianze Kwa kuwataka Wananchi, Hakuna Kupoa , Hakuna Kumwachia Mungu, tupambane ,tukimuomba Mungu ,Maandamano yakiendelea bila Kikomo.
Ninahisi, Msululu wa Hizi Nabiii, lengo lake ni Kupooza mionyonya Watanzania, Wahisi kwamba Wao kama Watanzania hawana Wajibu wa Kupigania Nchi yao, Wananchi...
Mungu wangu Nitamsoma kwenye Biblia tu ,nitasaidia Masikini, nitatoa sadaka zangu huko .
Kupelekwa Sadaka na Dhaka Kanisan ziliwe na Viongozi wa Dini ambao Taifa linapitia maumivu, Mauaji ,ukosefu wa Haki ,wao wako Kimya, Nilkujikosea mwenyewe.
MUSA aliua Mmisiri ili aokoe Wana Israel.
Joshua...
Manabii toka enzi na enzi wamekuwa wakiwaonya viongozi kwa mujibu wa biblia kama inavyosomeka hapo juu.
Hivyo kufumbia macho mauaji na ufisadi ni mambo ambayo yamesababisha viongozi wengi duniani mwisho wao kuwa mbaya.
Miezi ya hivi karibuni watumishi wengi sana wa Mungu walitoa unabii juu ya Tanzania wengi wao walisema utawala huu umefika tamati wengine walisema kwa mafumbo na wengine waziwazi
Ghafla tunakaribia uchaguzi wako ambao wanaona samia anaenda kushinda kwa hiyo wanahaha na kuanza kutupia lawama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.