tb joshua

Temitope Balogun Joshua (12 June 1963 – 5 June 2021) was a Nigerian charismatic pastor, televangelist, and philanthropist. He was the leader and founder of The Synagogue, Church of All Nations (SCOAN), a Christian megachurch that runs the Emmanuel TV television station from Lagos. He was one of Nigeria’s millionaire church pastors who fly private jets.
Joshua was known for his popularity across Africa and Latin America and his social media presence with 3,500,000 fans on Facebook. His YouTube channel, Emmanuel TV, had over 1,000,000 YouTube subscribers and was the world's most viewed Christian ministry on the platform before it was suspended. He was described as the "Oprah of Evangelism" and "YouTube's most popular Pastor".He was awarded various accolades, notably receiving the Officer of the Order of the Federal Republic (OFR) by the Nigerian government in 2008 and being voted the Yoruba man of the decade by Pan-Yoruba media outlet Irohin-Odua. He was called one of Africa's 50 most influential people by Pan-African magazines The Africa Report and New African Magazine.As of 2011, according to Forbes, Joshua was Nigeria's third-richest pastor, although the claim was immediately denied in a statement by the church. He was known to be controversial, and was even 'blacklisted' by the government of Cameroon in 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. ward41

    Sina mashaka na tuhuma dhidi ya TB Joshua

    Wengi wetu tunamkumbuka TB Joshua na huduma yake ya ki kanisa. TB Joshua aliaminika na watu wengi sana Africa na duniani kama nabii wa Mungu. Mimi kama mfatiliaji sana wa biblia, TB Joshua alikuwa nabii wa uongo. TB Joshua amechangia pakubwa sana kuharibu ufalme wa Mungu. Biblia inasema wazi...
  2. ward41

    TB Joshua alikuwa nabii wa uongo na yuko jehanaum

    Tuhuma zinazomkabili TB JOSHUA zinaweza kuwa za kweli japo hakuna ushahidi wawazi. Ila ushahidi wa kwamba alikuwa nabii wa uongo upo wazi. TB Joshua amedanganya watu wengi Sana na ndiyo muasisi mkubwa wa haya mafundisho ya mafuta ya upako, maji ya upako, nk. Yeye ndiyo aliezalisha watu kama...
  3. Suley2019

    Mwamposa aibuka na kumtetea TB Joshua

    Mwamposa anadai waliotoa tuhuma kuhusu TB Joshua ni wale waliowahi kufukuzwa kwenye kanisa hilo. Kama wangetaka kujua ukweli wangefuata watoto wa TB Joshua. Anaongeza kuwa, hata mtu atakayefukuzwa katika kanisa lake la Rise and Shine hawezi kusema mazuri kuhusu kanisa lake baada ya kufukuzwa...
  4. 5 Nyingi

    Baada ya Kutupatia Ubuyu wa TB Joshua, BBC Waje Tanzania Kutupatia Ubuyu wa Mitume na Manabii wa Mchongo

    BBC Wahini Tanzania mtupe ubuyu wa wanaojiita mitume na manabii wanao wabebesha watu maji, mafuta, vitambaa, sabuni na vyupi vya upako. Naamini BBC kama chombo cha udaku cha kimataifa kitalifanyia kazi ombi hili na kutupa ubuyu
  5. Concoo

    Waliolipwa kumchafua TB Joshua BBC wafichuliwa

    Wakati huu ambapo Shetani anajaribu kuingiza Agenda yake ya technologia ya kuingiziwa chip watu kwebye mapaji ya uso na mikononi (666) ili kufanya manunuzi kwanza anataka auchafue ukristo ambapo amemchafua Baba mkuwa wa imani ya Kinabii Prophet TB Joshua ili ukristo udharauliwe na kutukanwa...
  6. Mjanja M1

    Dstv yaondoa channel ya Emmanule Tv ya TB Joshua

    Kampuni ya televisheni ya Afrika Kusini ya Multichoice Africa imetangaza kuwa itasitisha matangazo ya Emmanuel TV, kituo cha kidini inayomilikiwa na marehemu Nabii Temitope Babatunde Joshua, mwanzilishi wa Kanisa la Synagogue Church of All Nations, kuanzia Januari 17, 2024. Uamuzi huo unafuatia...
  7. UMUGHAKA

    Unahoji uhalali wa BBC kuhusu tuhuma za TB Joshua ila unashindwa kuhoji uhalali wa Gwajima Kufufua Mfu!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!. Kama kuna jambo kwenye karne hii ya 21 linalowafanya Waafrika wafedheheke huko ulimwenguni basi ni haya mambo ya dini.Dini siyo tatizo ila tatizo ni Dini!. Narudia tena " DINI SIYO TATIZO ILA TATIZO NI DINI" Yawezekana members wenye akili nusu...
  8. Sildenafil Citrate

    Uchunguzi: TB Joshua aliwanyanyasa na kuwabaka wafuasi wake

    Ushahidi wa unyanyasaji ulionea na mateso kutoka kwa mwanzilishi wa mojawapo ya makanisa makubwa ya kiinjili ya Kikristo duniani umefichuliwa na BBC. Makumi ya waumini wa zamani wa Kanisa la Synagogue Church of all Nations - watano Waingereza - wanadai ukatili, ikiwa ni pamoja na ubakaji na...
  9. uttoh2002

    Documentary ya BBC kuhusu TB Joshua

    https://youtu.be/UZZVQxjXWCg?feature=shared
  10. Mhaya

    BBC imepanga kutoa video inayoonesha Unabii Feki wa TB Joshua

    Breaking News: BBC inatazamia kuchapisha nakala ya uchunguzi wa kuacha vinywa wazi inayoeleza matukio ya kikatili, Miujiza ya Kughushi, uhalifu, na ubakaji uliofanywa na Marehemu Mchungaji Temitope Balogun Joshua, almaarufu Nabii TB Joshua!!! Kupitia page ya twitter ya Sahara Reporters...
  11. matunduizi

    Nguvu ya Media: Aliyepaswa kuwa maarufu ni OYADEPO sio TB Joshua

    Ukiteka vyombo vya habari umeteka dunia. TB Joshua (hayati) alikuwa amkaribii kwa chochote Mzee Oyadepo. Oyadepo ndio mchungaji Tajiri kuliko wote ulimwengini. Amehamasisha watu wengi kuwa matajiri duniani. Ukisoma kitabu cha Oyadepo ukaja ukisoma cha TB ni sawa na kula Mua na kisha...
  12. S

    Ibada ya kuaga mwili wa TB. Joshua inaendelea muda huu

    Ibada inaendelea mda huu wageni toka sehemu mbalimbali duniani wamehudhuria, kwa hapa Tanzania inaonyeshwa kupitia wrm TV ya Chief suguye ambayo inapatikana kwenye kisambuzi cha startimes, tuendelea kufatilia ibada hii ya kusherekea maisha yake.
  13. A

    Jinsi ilivyokuwa ibada ya kumuaga TB Joshua

    Prophet T.B. Joshua Lying in State. Earlier, there was a procession conveying the body of God’s servant from The SCOAN Prayer Mountain to the church auditorium at The SCOAN, Ikotun-Egbe, Lagos, Nigeria. Peaceful indeed is the rest of a man who preached and acted nothing but love, humility...
  14. Suley2019

    TB Joshua kuzikwa Julai 11

    Mwili wa TB Joshua unatarajiwa kuzikwa Mwezi huu, Nchini Nigeria Kwa Mujibu wa ripoti kutoka Nchini Humo TB Joshua atapumzishwa kwenye Makazi yake ya Milele Siku ya Jumapili (julai 11, 2021). Ikumbukwe TB Joshua alifariki dunia akiwa na umri wa miaka 57 mwaka huu juni, 5 nchini humo. Taratibu...
  15. matunduizi

    TB Joshua hakuwahi kubatizwa wala kumpokea Yesu! Nimeshangaa sana

    Nimekuwa nikifuatilia kifo cha gwiji huyu wa gospo tangu kilipotokea. Jana nilishangaa hoja ambazo Jumuia ya makanisa ya kikristo ya Nigeria na Jumuia ya makanisa ya kipentekoste kumkataa kabisa TB Joshua kama Mkristo mwenzao. Alipoulizwa sababu ya kumkataa, mwenyekiti mmoja wa jumuia hiyo...
  16. Elitwege

    TB Joshua hakupendwa na wahubiri wenzake

    Baada ya kuwazidi nguvu na kanisa lake kufurika watu, wahubiri wenzake wa Nigeria walimchukia TB Joshua bila sababu ya msingi. Licha ya kutompenda lakini alizidi kuwa moto wa kuotea mbali duniani kote, kama ilivyokuwa kwa Magufuli hapa Tanzania baada ya wanafiki Chadema kujitokeza kutompenda...
  17. Ben Zen Tarot

    Fahamu utabiri na utata uliomzunguka TB Joshua

    Licha ya kuwa na wafuasi chungu nzima kutoka mataifa tofauti duniani, pia alikuwa na wakosoaji wengi vilevile kutokana na mafunzo ya kanisa lake. Hii leo tunakuangazia kuhusu utabiri aliotoa na utata uliomzunguka. Maji ya Upako Mwaka 2013 hamu ya maji ya upako {Maji matakatifu} ya TB Joshua...
  18. K

    Temitope Balogun Joshua, (TB Joshua) afariki Dunia

    Mhubiri wa Kimataifa kutoka nchini Nigeria, Temitope Balogun Joshua, maarufu kama TB Joshua amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 57 Amefariki saa chache baada ya kumaliza Huduma ya kichungaji katika Kanisa lake Jijini Lagos Ni mwanzilishi wa Kanisa la Synagogue Church of All Nation (SCOAN)...
Back
Top Bottom