kanisa katoliki

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. Mama Amon

  Dodoso la maswali 50 Kuelekea Sinodi ya 16 ya Maaskofu Mwaka 2023: Kanisa Katoliki Linapaswa Kutumia Zana Gani Katika Kuzisoma Alama za Nyakati?

  Papa Francis akiwa mimbari I. USULI Kitu kinachowaunganisha wanajumuiya ni imani ya pamoja kuhusu vitu vinavyoonekana na visivyoonekana (belief), kanuni za kimaadili zenye kutamko miongozi na miiko kuhusiana na matendo binafsi na matendo ya pamoja wakati wa kutekeleza ajenda ya pamoja (norms)...
 2. S

  Hongera Baba Askofu Shao wa Kanisa Katoliki Zanzibar

  Kiongozi wa dini ni kiungo cha jamii. Hapaswi kuwa mrengo wa kulia au kushoto (katika kujenga jamii moja). Hivyo ni muhimu mno kwa kiongozi wa dini atumie vema ulimi wake ili mwisho wa siku utoe matunda ya umoja, amani, utulivu, usalama na upendo katika jamii. Ndivyo alivyofanya Baba Askofu...
 3. Almighty

  Je, Bila Kanisa Katoliki Tanzania isingekuwa huru tarehe 09|12|1961?

  == Siweki neno sikiliza hii mpaka mwisho||
 4. Farolito

  Ajinyonga kwa kutotajwa na Padri kwenye misa ya Shukrani

  Mwanaume mmoja kutoka wilayani Ludewa amekatisha uhai wake kwa kujinyonga sababu ikiwa ni kutotajwa na padri katika misa ya Shukrani. Bwana huyo na mke wake walikuwa wakitoa Shukrani katika Kanisa la Moravian kwa mtoto wao kupona lakini kwa sababu zisizofahamika Padri aliyeongoza misa hio...
 5. mbenge

  Kashfa kwa Vatikan na kwa kanisa la Romani Katoliki

  Yametukia matukio mbalimbali fedheha na udhalilishaji wa kijinsia yenye kuwahusisha viongozi wa kidini wa kanisa Katoliki la Roma. Matukio haya ya aibu kubwa na ya kashfa za kingono yanawahusu vijana na watoto wenye umri wa chini ya miaka 18, wote wa kike na wa kiume yakiambatana na vitendo vya...
 6. Diplomat Son

  Tukiwa tunasema Kanisa Katoliki ndiyo Alama rasmi ya Ukristo Tanzania na Duniani muwe mnatuelewa tafadhali

  Kanisa Katoliki ndilo kanisa halisi linaloonesha ukristo wa kwelikweli. Nimejifunza nidhamu ya hali ya juu ya mababa askofu, nidhamu ya hali ya juu kwa waumini dhidi ya viongozi wao- Alhad Mussa Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam. Chanzo: bavicha.tz Ukiona mpaka Muislamu anasifia Jambo...
 7. B

  Historia ya Kanisa Katoliki Tanzania

  HISTORIA YA KANISA KATOLIKI TANZANIA Jubilei ya Miaka 150 ya uinjilishaji Tanzania: Furaha ya Injili KANISA Jubilei ya Miaka 150 ya Uinjilishaji Tanzania: Furaha ya Injili Kanisa lililo hai ni lile, linalojiweza katika uinjilishaji, utawala na kujitegemeza. Kanisa la Tanzania limepiga hatua...
 8. H

  Kupotea taratibu kwa alama ya Kanisa Katoliki katika kupinga dhuluma

  Tangu kale, tangu enzi za manabii, Kanisa lilisimama katika ukweli, lilifundisha, lilikemea na kuwaonya watawala dhidi ya dhuluma. Mifano ipo mingi. Muelekeo huo wa Kanisa uliwaongezea imani kubwa waumini, wasio waumini na hata watawala waliheshimu sana kauli za Kanisa kwa sababu waliamini kuwa...
 9. chinembe

  Kanisa Katoliki lina mkono wake katika vurugu za CHADEMA za kuipinga Serikali? UVCCM, turuhusuni vijana wenu tuingie Kanisani na bendera, nguo za CCM

  Kila mara anapotokea Rais wa dini ile, basi lazima utaona vitimbi vya kanisa Katoliki, sasa kanisa katoliki limeruhusu, rasmi, chadema wafanye siasa makanisani kuipinga Serikali. Baadhi ya wanakwaya,wahudumu na waumini wamepewa ruksa ya kuvaa nguo za kisiasa makanisani kwa lengo la kisiasa...
 10. F

  #COVID19 Kanisa Katoliki Arusha na uzembe kwenye Corona

  Nimesali leo Kanisa Katoliki Ngaranaro (kwa Babu) ibada ya misa ya kwanza. Nimesikitika sana hakuna tahadhari yoyote kuhusu corona hakuna hata tangazo zaidi ya vindoo vya maji ambavyo hakuna kuhimizwa watu kunawa. Ibada ni ndefu bila sababu kuanzia saa 12.30 asubuhi mpaka saa 2.20 asubuhi...
 11. Suley2019

  Baraza la Maaskofu Kanisa Katoliki lafanya Uchaguzi wa Rais, Makamu na Katibu Mkuu

  Wanabodi, Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania katika mkutano wake Mkuu wa 77 uliofanyika makao makuu Kurasini kuanzia tarehe 21-25 Juni 2021 walifanya uchaguzi wa Viongozi watakaosimamia wa shughuli za baraza katika miaka mitatu ijayo kuanzia 2021 mpaka 2024 Baraza limemchagua...
 12. Bujibuji Simba Nyanaume

  Ipi siri ya kanisa Katoliki kujimilikisha ardhi kubwa kwa jina la Vatican?

  Kanisa Katoliki kwa miaka nenda rudi wamekuwa na utamaduni wa kujilimbikizia maeneo makubwa ya ardhi nchi mbalimbali, na ardhi hiyo huwa inasauiliwa Vatican kama milki yao halali. Kanisa limekuwa likifundisha kwamba tusijiwekee akiba duniani, lakini lenyewe ndio kinara wa kujilimbikizia ardhi...
 13. M

  Tunaomba Kanisa Katoliki na KKKT watusaidie kukemea uvunjaji wa Katiba unaofanywa na Spika wa Bunge na Naibu wake

  Kwenu Maaskofu, Amani ya BWANA iwe nanyi, Ni matumaini yangu, mnaendelea salama na kwa amani tele katika majukumu yenu ya kuwapa chakula cha roho kondoo wenu. Nimeonelea leo niongee nanyi ili kuwaomba wazee wetu mtusaidie sisi Wananchi wenzenu ambao wengi ni kondoo wenu katika tatizo hili...
 14. Bu'yaka

  #COVID19 Marekani: Maaskofu wa Kanisa Katoliki wapinga chanjo ya Covid-19 ya Johnson & Johnson

  OFISI KUU ya Mafunzo ya Imani ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Marekani. Pamoja na maaskofu wa dayosisi kadhaa nchini humo wamewaonya wana kondoo wao kuepuka chanjo ya Covid-19 inayozalishwa na kampuni ya Johnson and Johnson kwa sababu imekiuka misingi ya maadili ya kanisa kuanzi...
 15. Papaa Mobimba

  Kanisa Katoliki lapoteza Mapadri 25 na Watawa 60 kwa tatizo la upumuaji ndani ya miezi miwili

  Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima amesema kuwa ndani ya miezi miwili iliyopita zaidi ya mapadri 25, masista na manesi 60 na wenyeviti wawili wa Baraza la Walei wamefariki dunia kwa sababu mbalimbali ikiwemo changamoto ya upumuaji. Ameongeza kuwa vifo...
 16. Erythrocyte

  #COVID19 Sheikh Ponda Issa Ponda aunga mkono waraka wa KKKT na Kanisa Katoliki kuhusu kujikinga na Corona

  Sheikh Ponda ambaye ni miongoni mwa Masheikh wanaoheshimika sana na Waislam wa Afrika kutokana na kupigania haki za Waislam bila uoga amesema Juhudi za Makanisa kuwaelekeza waumini wao njia bora za kujikinga na Corona haziwahusu waumini hao pekee, bali zinawahusu wananchi wote wa Tanzania...
Top Bottom