mavazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Civilian-Coin azindua mavazi rasmi yaitwayo "African map wear" au " Home boy gear"

    Civilian-Coin Msanii wa Hip Hop/RnB kutoka African-Tanzania amezindua mavazi ya aina yake yaitwayo "African map wear" au "Home boy gear" ambayo yametokana na wimbo wake uitwao "Home boy" alioutoa mwezi Jana na ndio umebeba jina la Albam. T-Shirt na blausi zote zimefanywa na C-C Digital Pro.
  2. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuwafikisha mahakamani watakaojipachika vyeo na kutumia mavazi ya chama kwa nia ya kukichafua chama na viongozi

    Tumekubaliana mawakili wa Chadema sasa tutakuwa tunawapeleka mahakamani watakaokuwa wanakichafua chama kwa manufaa yao. Kwa yeyote mwenye nia ya kukichafua chama kwa manufaa yake yoyote, aache mara moja maana hatutaruhusu tena kuendelea kwa hali hii. - Mhe. Dickson Matata.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mavazi yanahusikaje na utendaji kazi wa mtu?

    Sababu bahati mbaya sasa hivi sisi wengi tuna mkwamo. Unakuta bosi ndio kama mimi wa miaka 70, mtoto kazaliwa 92, 95... Mimi nikifika pale, kwanza naangalia: "Wewe umevaa vipi sasa?" Si kitu cha kwanza ulivyovaa tu? Wewe unaambiwa sasa hivi unaenda ofisini huwezi kuingia na jeans, huyu umeona...
  4. Marry Diana

    JamiiForums Tanzania Unadhifu na mpangilio wa mavazi kwa mwanamke

    Shikamoon wakubwa zangu Wadogo zangu,hamjambo. Leo niongee kitu cha tofauti kidogo,hususani kwetu Sisi wanawake, mm mwenyewe si msichana tena,hata mamangu mara nyingi ananihusia hili kuhusu mwenendo wangu na mpangilio wa mavazi. Hebu Kwanza niulize, Hivi wanawake wenzangu mnaovaa taiti za...
  5. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Mungu ana angalia moyo wako na sio mavazi

    Mungu angalii mavazi au jinsi ulivyo Mungu ana angalia moyo wako unaweza kuwa unavaa Unavyopenda na Mungu akakutumia , jikite kuwa mtu mwenye upendo, utu, kusamehe, kusaidia ayo ndio mambo ya msingi . Mavazi sio dhambi kama watumishi wengi wanavyosema Mungu ana angalia moyo , Watumishi...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Hivi wanawake huwa hawaoni kero kuvaa mavazi yanayowatesa wenyewe?

    Unakuta mtu amevaa sketi fupi mwenyewe halafu anaanza kuivuta vuta chini akiwa anakaa au anatembea! Au gauni linapeperuka anahangaika kulirudisha. Wengine unukuta kavaa nguo/juba/dera kubwa mno la kupwa limepitiliza mpaka linaburuta chini halafu anaanza kushikilia tena kwa kuning'iniza mkononi...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Wakristo Tumeonywa, Tusifunge Kwa Kujionesha kwa Watu, Wala Tusirarue Mavazi Yetu Bali Turarue Mioyo Yetu Iliyo na Dhambi.

    Kwa bahati mbaya, kumekuwa na mijadala mingi kuhusiana na kufunga, na hasa kwa sababu mwaka huu Kwaresma ya Wakristo imeangukia kipindi sawa na Ramadhani ya waislam. Mbaya zaidi mijadala imekuwa ya kejeli, kujionesha nani yupo sahihi, na nani hayupo sahihi. Siongelei funga ya waislam kwa sababu...
  8. pambe samanini

    JamiiForums Tanzania Mavazi yetu

    Inanishangaza kabisa kuona kila kazi ina vazi lake na hutumika mahala pake. Pamoja na kazi nzuri za mavazi ikiwepo kustiri mwili, kupendeza ,kutunza joto, mavazi hayo yakivaliwa hayana uhiari na hutumika kama wenye nayo watakavyo kuyatumia. Daudi havikwa mavazi ya Mfalme ili aweze kuwa askari...
  9. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Mitindo, Tupeane dress code za Beach

    Wakuu. Tupeane dress code za beach leo. Kwa wanaume na wanawake. Na wapi unaweza pata izo dress. Kuna wakina sisi kila sehemu tunavaa jezi ya Arsenal, angalau tuweze shine mara moja moja. Pamoja. PS: Tupo jukwaa la Lifestyle, nisikaripiwe.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kuhusu ndevu ama mavazi, hoja za Butiku ni dhaifu mno

    Nadhani Mzee Butiku kapaniki tu maana anajua mtiti aliokabiliana nao kaka yake mwaka 1964 jeshi lilipoasi. Lakini hawa hapa ni Wanajeshi mashuhuri kabisa sasa aje hapa Butiku aseme wao kuwa na ndevu ama kuvaa “pull neck” kumewapunguzia sifa gani? Fidel Castro Paul Kagame Assimi Goïta
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mbunifu wa mavazi mbobezi Giorgio Armani amefariki September 4, 2025 akiwa na umri wa miaka 91 bila mke wala mtoto

    Bwana Giorgio Armani alizaliwa mwaka 1934 nchini Italia. Alisoma shahada ya kwanza ya udaktari wa binadamu, baada ya hapo alijiunga na jeshi kabla hajagundua kipaji chake cha ubunifu wa mavazi. Bwana Armani Amani kubuni mavazi ya nyota jwa dunia katika ulimwengu wa filamu kama Julia Robert’s...
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi wanamuzuki watu wazima kuimba wakiwa wamevaa mavazi ya wanafunzi wa shule?

    Nimewahi kumuona Zuchu anaimba akiwa kama na mavazi ya wanafunzi, pia nimewahi kuona Bangor la picha ya maigizo bongo muigizaji kavaa sketi kama mabinti wa shule. Hii ni sahihi
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kazakhstan yapiga marufuku mavazi ya kidini ya ninja(niqab) kwa wanawake

    Kazakhstan yenye raia wengi waislamu(70%) kupitia bunge la nchi hiyo imepiga marufuku vazi la niqab katika umma kwa wanawake wa taifa hilo. Mwaka 2023 Kazakhstan ilipiga marufuku uvaaji wa hijabu kwa wanafunzi na walimu katika shule za taifa hilo.
  14. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Mavazi na matumizi ya ngozi ya chui wa Africa

    Ngozi ya chui hutumika kama ishara yenye nguvu ya uungu na mamlaka katika tamaduni mbalimbali za Kiafrika, inayojumuisha nguvu, uhusiano wa kiroho, na utambulisho wa jamii. Katika Kusini mwa Afrika, watu wa Himba wa Namibia wanaona ngozi ya chui kama ishara ya utajiri na uhalali wa viongozi...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya serikali, kuanzisha chombo kitakachodhibiti suala la mavazi vyuoni

    Muonekano na tabia ya mtu daima hupambwa na mavazi. mavazi hubeba dhima kuu za tabia ya mwanadamu kisaikolojia . Na ndio, maana hata tapeli, nyakati nyingine, akitaka kumkwida mtu huangazia kwanza muonekano wa mtu, uliobebwa na mavazi . kifupi yako mavazi ukivaa hata kama moyoni unajiona...
  16. KikulachoChako

    JamiiForums Tanzania Mavazi ya mabinti wa vituo vya kuuzia mafuta yanawadhalilisha na kutia kinyaa!!

    Habari za muda huu waungwana...... Huko kwenye vituo vyenye biashara ya kuuza mafuta ya kuendeshea vyombo vya moto maarufu kama "SHELI" kama ilivyozoeleka na wengi....kuna mavazi ambayo kwa jicho la kiungwana hayaja kaa Sawa...... Sasa sijui ndio muongozo na matakwa ya kazi yao au ni utashi...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mavazi ya Jeshi na bajeti zake USA

    Mavazi ya kivita katika Jeshi la Marekani (U.S. Military) ni ya kisasa, yanayotumia teknolojia ya hali ya juu kwa ajili ya kulinda askari vitani, kuongeza ufanisi na kuwapa uwezo wa kuhimili mazingira mbalimbali ya mapigano. Gharama ya mavazi haya inategemea na aina ya kikosi (kama Army, Navy...
  18. Setfree

    JamiiForums Tanzania Wanawake, jipambeni kwa mavazi ya kusitiri mwili

    Katika ulimwengu wa leo, mitindo ya mavazi imegeuka kuwa uwanja wa mashindano ya kuonyesha miili badala ya kuonyesha heshima, adabu, na utu wa mwanamke. Kinachosikitisha ni kwamba hata wanawake wanaodai wanamjua Mungu sasa wamekumbatia mavazi mafupi, suruali za kubana na mavazi yanayoacha wazi...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Trump apost picha akiwa amevaa mavazi kama Papa, Uongozi wa Kikatoliki New York wamshukia

    Rais wa Marekani Donald Trump amezua gumzo mitandaoni baada ya kupost picha akiwa amevaa kama kiongozi wa kanisa Katoliki duniani (Papa). Hii inakuja siku chache baada ya kuulizwa na Waandishi habari kuhusu nani angependelea awe papa, akajitaja yeye mwenyewe lakini ghafla akabadili na kuonesha...
  20. Evelyn Salt

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana kuishi kwa bajeti ya kila kitu? Chakula, mavazi, matumizi binafsi, nk?

    Ma bro hamjambo....... Hili jambo huwa linanitafakarisha sana, najaribu jaribu bajeti siku chache mara napoteana, ila kiukweli siku nnazoishi kwa bajeti naona kabisa matumizi ya pesa yanakuwa vizuri. Bajeti namaanisha kuanzia eneo la chakula nyumbani, yani unapanga matumizi na kuishi ndani ha...
Back
Top Bottom